Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Nimehangaika kwa muda mrefu kuzisaka nyimbo za omary kopa mtandaoni ila sijafanikiwa kudownload hata moja kwani natumia simu,naomba mwenye link ya direct download au aliyenazo azishare hapa...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Jamani mwenye link ya huu wimbo aweke hapa!! Mwenyekiti katisha sana...nomeisikia kidogo redioni!! Cc Matola
0 Reactions
13 Replies
7K Views
Habari zenu,, naitwa jayffa ni msanii wabongo flaver!! Nahitaji mtu atakaye weza kunipa support ili niweze kuinuka kimuzki unaweza kunipata 0758082840 ili tuweze kusaidian
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Alianza msanii mmoja iaka michache ilopita akaigiza filamu iliyoitwa "SHOGA" na baraza la sanaa likaizuiwa lakini hata iliporekebishwa bado muktadha wake haukuwa na faida kubwa kwa jamii ya...
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Pls share: Tazama video mpya ya joh_makini "Najiona Mimi (I See Me)" HAPA -http://youtu.be/g9cB8LVJyro- ikiwa ni kazi ya Director Enos Olik Toka Kenya na Audio mkono wa producer Nahreel, Powered...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Tumeona movie zinachezwa na mastaa mbalimbali duniani wakiigiza maisha ya Viongozi na watu mashuhuri, mfano ‘Long Walk to Freedom' aliyoicheza actor Idris Elba akiigiza kama Hayati Nelson...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Aisee hivi kile ni nini au ni macho yangu ki ukweli li kipindi halivutii hata kidogo haichekeshi hata kidogo nimeshangaa sana ina maana nyinyi ndo mlikaaa miez kadhaa mkajipanga ndo kmmerudi kwa...
1 Reactions
49 Replies
7K Views
wazee diamond yupo wp, mbona kimya sana? inamaana dharau za p.square kapotezea au? au ndo anaaandaa nae kazi huko nigeria? tujulishane basi
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Pls Share: Follow nikkimbishi therealnikkimbishi & download wimbo wa "Tulia" ft Lydia HAPA https://mkito.com/song/tulia-ft-lydia/7512 produced by ringtone toka Street Sound Music powered by...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Mshiriki wa Bigbrother mwaka 2014 Idris Sultan mshiriki wa mashindano ya Big Brother ‘hotshots’.Toka Tanzania ameibuka kidedea wa mashindano hayo yaliyokua yakifanyika nchi Afrika Kusini. Idris...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
http://m.youtube.com/watch?v=_TOHXS2zsD8
0 Reactions
6 Replies
7K Views
Habari zenu wanajamvi, ule mgogoro wa chinichini ambao unasifika kwa kukuzwa na media hatimaye umehitimishwa rasmi baada ya Mhe. Zitto Zuberi Kabwe kufanya kikao cha upatanisho baina ya mastaa...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Saa tatu kamili ET kipindi cha Eaten Alive kitarushwa kwa mara ya kwanza na stesheni ya Discovery. Eti jamaa alienda Peru kusaka joka la Anaconda ili aweze kupata tajiriba ya kumezwa na joka...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Ningependa nitangulize pongezi nzito kwa kijana Idris kwa USHINDI na mchango wake mkubwa kuleta ma $$$ Tanzania. Tanzania's Idris Beats Out Nigeria's Tayo To Win Big Brother Africa Hotshots...
1 Reactions
33 Replies
4K Views
kipindi cha nyuma kidogoo kam miaka mi5 sasa imepita niliona akipiga picha kwenye pool akisema mjengo wangu unaendelea hivyo so far sikuona kingine wala mkamiliko wa ile nyumba naomba pia...
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Mpigie kura mshiriki pekee wa Tanzania Idris na kuleta ushindi nyumbani. Tuma Idris kwenda 15426, gharama yake ni Tsh 600. Hii ni kwa wateja wa Tigo tu. Kuwa mzalendo.
0 Reactions
17 Replies
2K Views
KWA WA ZALENDO WA NCHI YANGU TANZANIA. Na hii ndio Zawadi kwa Taifa langu kadri ya uwezo wangu. Jiamini Wewe na Mimi tu Watanzania, tukijua hivyo tutailinda AMANI yetu na Upendo tuliyoachiwa na...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari zenu wanajamii forums hivi kupeleka Muziki redion ili ipigwe na pesa au inakuaje
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Hivi hii movie series Z nation ina uhusiano gani na ebola huko Liberia, kwa walioiona coz it's still brand new
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ikiwa tunaelekea mwisho wa mwaka 2014, tumeshuhudia mengi kutoka kwa wasanii wa hapa Tanzania, Juhudi na jitihada zimefanya wasanii wetu kuvuma kwenye media nyingi wakiwa na support za mashabiki...
0 Reactions
76 Replies
6K Views
Back
Top Bottom