Teamo, Hili neno Aliimba Rihana bila shaka inafahamika na wengi alikusudia nini.
Mbaya zaidi na kwa mtu naye muheshimu kama AY naye akaja kulirudia.
Pia nimelisikia katika wimbo wa Banana...
Jana,katika kesi iliyokuwa na mvuto mkubwa duniani..Mwanariadha Pistorious anayedaiwa kumuua mpenzi wake bila kukusudia huko South Africa siku ya wapendanao mwaka jana..amehukumiwa miaka 5 jela...
nazipenda sana nyimbo za live...kuliko original version zake...so kama kuna yoyote ambae anazo naomba aziweke hapa au anipm nimpe email anitumie...nyimbo ziwe za bolingo,rhumba,zouk,afro na hata...
Kwanza salute kwako Ally K, hakika ulijipanga na kuteka umati wa maelfu kwa shangwe zile, na pole sana Diamond kwa kuzomewa. Alianza Aly k kupanda stejini, alishangiliwa sana kupita maelezo muda...
1.beenie man back it up.
2,sean paul gimme the light
3,ruppe tempted to touch
4,shaggy church heath
5,beenie man dude,
6,chaka & pliers bam bam rmx
7,daville ft.snean paul always...
Wale wadau wa nyimbo za injili (Gospel music) tembeleeni << Injili - Music - Hulkshare >> for free downloads. Tracks zitakua zikiongezwa kila siku na ni za kibongo tu, so keep visiting! :violin:
Huku kwetu manzese ni kama tangazo sasa!radio,sim,tv zote ni mwana dsm!!Kiba kaua sana mule..Vp kwenu huko?Tupe report..
NOTE:
FORM is temporary but CLASSIC is permanent!!!!!
RIP die.....!!
Wakati naangalia show ya Fiesta kupitia TBC, na baada ya kuwaona wasanii wetu wa ndani na wasanii wa kimataifa hasa Davido, nikajiuliza hili swali, kama tuna wasanii "tunaowaita wa kimataifa"...
Itabidi turudi shule kujifunza kingereza upya,walisikika baadhi ya watu waliokua kwenye show ya fiesta.
Hii ni baada ya umati mkubwa wa watu waliokuwepo kwenye show hiyo kuambulia patupu nyimbo...
Wanasema bongo flava ni kama Big G ukisikiliza miezi mitatu tu utamu kwisha, lakini naamini kwamba kuna bongo flava ambazo kiukweli haziishi hamu kusikiliza.
Nia ya kuanzisha thread hii ni...
Habari wanaJF;
Wapenda burudani wote nadhani mnafahamu kuhusu hili tamasha kubwa linaloendelea katika mikoa kadhaa ya Tanzania, linaloitwa Fiesta. Ukisikiliza matangazo ya Radio Clouds ambao ndio...
Mahakama ya Hakimu Mkazi, Kisutu Dar es Salaam imemzuia msanii kutoka Nigeria, Adedeji Adeleki (Davido) ku-perform katika tamasha la Fiesta linaloandaliwa na Clouds FM na Prime Production, October...
Ni muda sasa niko hapa Arusha town sisikii wala sioni dalili za serengeti fiesta.
Last time 2010yr ndio fiesta niliyoishuudia wakati huo fiesta ilimleta diamond na wengineo huku washabiki na...
wale wanaoenda kumuona T.I kesho kwenye Fiesta, kuna Terms and Conditions wameandika kwenye tiketi zao.
Hivyo ni vema ukazijua kabla ya kwenda ili ikitokea bahati mbaya majanga usije...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.