Wadau, wale wenyekuitaji dvd za movie mpya na zazamani kwa ajili ya biashara ,zinapatikana kwa bei ya jumla, kama ni muhitaji plz ni Pm tufanye biashara
Jaman naomba mwenye wimbo wa Michael learns"complicated heart" aniwekee link hapa. Na kundi gani lilikuwa kali kipndi hicho? Kat ya " kool and the gang, air suply, commodores, Bee gees, atrantic...
nyimbo hz hapa
ya kwanza inaimbwa hv
"""mpenzi wangu samahani
"""makosa nimekosa mimi
"""naomba unisamee angali bado niko hai
Ya pili inaimbwa hv
""""sina demu kama...
Tunaweza kuwa na tofauti zetu na utani na hawa ndugu zetu Wabongo, lakini hapa utani kando, jameni hili kombe tulipiganie kama wana-EAC. Baadaye tutarejelea malumbano yetu. Naombeni tupige sana...
Mgombea wa nafasi ya makamu wa urais katika klabu ya Simba amesema anaidai klabu hiyo zaidi ya Sh. milioni 200.
Jamhuri Kihwelo ‘Julio' amesema anadai kitita hicho kilichotokana na kuvunja...
Vijana wa bongo fleva wameunganisha nguvu na tutengeneza bonge moja la collabo, vijana hao Gosby & ommy dimpoz wameshusha mzigo huu mapema week hii, nimeipata bongo five, Mnyonge mnyongeni lakini...
Kuna kipindi cha maigizo kinachorushwa na Clouds TV kinaitwa MAHUSIANO aisee ni kizuri,waigizaji hasa wale wawili(sijawajua majina) but ndo main characters wanajua kuutendea haki...
Ndugu wana jamvi tumeshuhudia maridhiano mbalibali yakifanyika chini ya mikataba zikiwemo katiba, hususani wanavikundi, vyama na wanaumoja. Ni mtazamo wangu sasa kuwe na katiba ya mapenzi.
Kuna jamaa anadai huo mstari wa davido katika kolabo yake na Diamondo haijakaa sawa.
Kwa tafsiri yake ni kuwa Davido kamtoa diamondo kwenda kumngarisha huko lagos na kwengine.
From Tanzania to...
Leo nilikuwa naangalia filamu ya Bongo Movie, kupitia king'amuzi cha Azam Tv, nikakutana na maneno ya kiingereza cha ajabu kilichotumiwa katika tafsiri (subtitles), lengo likiwa kutoa tafsri kwa...
Mbwiga Mbwinguke, mkora nyani kibwaya mkia, Midfield kisheti! Nazitupa tu huku kule halafu naziomba, nimchakamchaka tu, sako la nyani hilo ngedere haponi.
Sasa ngoja nikupe kosi hilo kosi hatari...
asee kuna vijana wa tamaduni music chini ya mpishi DUKE,yan hawa vijana nawakubali sana,hasa hasa SONGA NA MOKO WA MIUJIZA kwan licha ya kutoa burudan ,wanatoa elimu pia.
HIP HOP,TAMADUNI MUZIK...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.