Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
Wadau, Naombeni mdondoshe ngoma kali kutoka Naija ambazo upigwa mara kwa mara clubs na maeneo mengine ya starehe. Kuwa free kutiririka, mimi naanza na Skelewu by Davido.
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Tupo wengi ambao tunaagiza magari lakini tunakuwa na mashaka juu ya ushuru wa customs unakuwa ni wa asilimia ngapi au bei gani kulingana na gari uliyo agiza hapa kuna mwangaza jinsi ya kupiga...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Watu wote wa hip hop naimani tumeridhia ROMA MKATOLIKI kuchukua tuzo hiyo akiwa kama mkali wao kwani kuna mtu anapinga? nadhani hakuna asante kwaku msapooti bwana huyu.
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Daaaaahh kuna msanii mmoja namuheshimu na nimmoja wa fans wake ila Jana ameonyesha dhahili yy c muungwana baada kupost Kent social network moja maneno yasiyotegemewa hasa kwa mashibik wa kazi yake...
1 Reactions
2 Replies
790 Views
pamoja na Diamond kuwa ana ng'aa sana kwa sasa katika tasnia ya bongoflaver na kuvaa umaarufu mkubwa hasa africa ya mashariki, lakini kwa mtazamo wangu ALIKIBA ni mwanamuziki bora kuliko hata...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
TUSKER PROJECT FAME (TPF6) Leo mtanange bado unaendelea baada ya Eviction show ya jana,waliokuwa probation walikuwa wiki iliopita walikuwa Fess - Kenya Jennifer – Kenya Michelle...
5 Reactions
3K Replies
130K Views
Hongera sana kwa Azam kwa mafanikio yenu kibiashara hasa bidhaa zenu zenye ubora hapa nchini. Naamini hakuna mtanzania ambaye hafaidiki nazo, kwa maana hii mnapata sapoti ya watanzania wote...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Tunashukuru TPF kwa burudani iliyotupatia hadi kufika tamati leo hii. Lakini hebu tujiulize matunda ya hii kitu yako wapi.? Hebu fwatilia hii link uone jinsi gani washindi wote 5 walivyopoteza...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
TPF imefikia tamati. kwa kweli kama si kutumia njia ya voting ingekuwa vigumu kumpata mshindi. Hisia ni hodari na kukaa kwake ndani hilo jumba kumempolish sana. Vijana wote wamejitahidi na...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
samahan wakuu, aina ya mziki ninaouzungumzia hapa ni ule kama unaopigwa na akina GYPTIAN,DEMARCO,CHRIS MARTIN N.K kuna hizi nilizonazo sasa CHRIS MARTIN-PAPER LOVIN MAVADO-DESTINY...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Magwiji Tabu Ley na Dr Nico ambao walikuwa bendi moja miaka ya 1960 walipiga shoo ya pamoja 1981 jijini Kinshasa. Hii ni baada ya mchawi wa solo Dr Nico kuvumishwa kafariki. Hata hivyo, Dr Nico...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Members wa JF mjipakulie kitu adimu na kikali kabisa kutoka kwa Hayati Le seigneur Ley; Tabu Ley. Pakua hapa. Download unrar (tumia winrar)Pasword tabuley.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
ENJOY MUSIC WA DISCO 2013 DISCO MUSIC 2013 CPS FINAL
0 Reactions
0 Replies
716 Views
WAKATI DUNIA IKIOMBELEZA KIFO CHA SHUJAA NELSON MANDELA MIMI BINAFSI NILIMFAHAMU HUYU MWANAMAPINDUZI MWAKA 1983 SIKUMBUKI TAREHE ILA ILIKUWA MWEZI WA SITA, ILIYOKUWA REDIO TANZANIA DAR ES SALAAM...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari mabestitooooooooooooo Marafiki wachague mwanamziki bora bendi bora na waimbaji bora wa mwaka huu 2013 karibuni uwanja wenu mabestito
0 Reactions
0 Replies
832 Views
Tanzania inaorodha ndefu ya vivutio vya utalii ambavyo vinasimamiwa kikamilifu na Shirika la Hifadhi za Taifa la Tanzania (TANAPA) lakini kuna ambazo zinafaa kutembelewa wakati huu wa sikuu kuu...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Mwishoni mwa mwezi wa October, Rhys Torrington, CEO wa Azam TV, aliitisha press conference na kuahidi kuwa wangeanza kuuza ving'amuzi 'katikati ya mwezi November' na kuwa Azam TV ingezinduliwa...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
http://youtu.be/x0IqNxQUGL8 Nimeipenda hii hata kwa sisi wazee inasaidia kuondoa vitambi!
0 Reactions
4 Replies
1K Views
"...usifikiri nimekukataa, mimi ni wako wa daima, uyasahau yale wanayosema, shaka ondoa ninakwambia, ubora wa mtu ni tabia, uzuri wa mtu si shani."
0 Reactions
9 Replies
6K Views
Kwa wapenzi wa stand up commedy, leo ndio show ya mwisho wa mwaka iliyoandaliwa na Evans Bukuku (Vuvuzela Co. Ltd). kutakuwa na wachekeshaji wa ndani na wengine kutoka kenya na nigeria.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Back
Top Bottom