Entertainment

Cinema listings, TV shows, Music, Gigs, Exhibitions, Theatre, Clubbing, Comedy and much more...
hope watu wangu mna tiketi tayari... cc Madame B vivian@amu Mentor@Kakakiiiza,
0 Reactions
1 Replies
661 Views
HIVI karibuni vyombo vya habari nchini, vilipambwa na taarifa ya msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini, Joseph Haule, maarufu kama ‘Profesa Jay’ kujiunga na siasa kupitia Chama cha Demokrasia...
0 Reactions
0 Replies
842 Views
Home » Entertainment Money laundering sends Kajala’s husband in jail By Karama Kenyunko 26th March 2013 Email Print...
0 Reactions
1 Replies
6K Views
What a talent..........RIP our dear MJJ The Jackson 5 - ABC - YouTube
0 Reactions
3 Replies
777 Views
Wakuu heshima mbele, nimekuja kiuhitaji zaidi, na this time nina shida na nyimbo za bibie Judy Boucher. Kwa yeyote anayefahamu napowea kuzipata tafadhali, maana nimehangaika kuzitafuta maduka...
0 Reactions
5 Replies
4K Views
Wadau mimi ni mpenzi sana wa vyombo mbalimbali vya ala za muziki kama vile piano,gitaa na drums,ila napenda sana piano. Napenda kujifunza kupiga piano,je kwa hapa bongo/Dsm kuna sehemu/college...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
kwa fans wa hii reality show,napenda tujuzane housemates wa tz na nchi nyingine,kwa tetesi zilizozagaa gudlyf wata represent uganda,tonto dikeh naija
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Katika pitapita yangu kwenye TV nimegota Channel TEN baada ya kumuona baba wa Taifa akikataa ombi la watoto wake kurithishwa nafasi za uongozi kwa kutumia nafasi yake akiwa rais wa nchi hii...
0 Reactions
1 Replies
912 Views
Jamani wana JF mwenye kuweza kuniwekea wimbo Marijani Rajabu - Mwanameka tafadhali naomba sana huu wimbo nilikuwa nauzimia kinoma.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
License to Shill: Unearthed 'Thunderball' James Bond Wristwatch Expected to Fetch $90KBy Mike Krumboltz Posts By Mike Krumboltz | Movie Talk – 10 hours ago The famed 'Thunderball' watch...
0 Reactions
0 Replies
747 Views
CARLY RAE JEPSEN-Call Me Maybe I threw a wish in the well, Don't ask me, I'll never tell I looked to you as it fell, And now you're in my way I'd trade my soul for a wish, Pennies and dimes for...
0 Reactions
1 Replies
730 Views
Mimi ni mpenzi mzuri sana wa kuangalia movies za nje, na mara zote sijapata kuangalia Animation film yoyote nikiamini ni za kitoto Jana nilidownload movie imeandikwa jina lingine na baada ya...
0 Reactions
42 Replies
4K Views
NISHA WA BONGO MOVIE AWATOSA WATOTO YATIMA.... MSANII wa maigizo, Salma Jabu ‘Nisha,’ amedaiwa kuwatosa watoto yatima waliokuwa wakimsubiri baada ya kuweka ahadi kuwa angekwenda kuwatembelea na...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nataka kujua mwimbaji unaopenda kushinda wote ndio nani? Kwa sababu gani? Ni wimbo gani ya hao msanii ambao unaupenda kuliko zote nyingine?
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Njaa inapo tekea nchini.nani alaumiwe
0 Reactions
0 Replies
799 Views
Je? wasanii wa muziki wanajiibia wenyewe? kwa muda sasa kumekuwa na manung"uniko kuhusu wasanii wa muziki katika mauzo ya call ring tone back. Mi nashindwa kuelewa je hawa wasann huwa wana sainiwa...
0 Reactions
0 Replies
783 Views
Lady Jay Dee: MAZUNGUMZO YA MAKUBALIANO YA LINAH NA BARNABA KAMA IFUATAVYO Linah na Barnaba ni watoto wazuri sana Hawana makuu ila katika hili kuna jambo limepita katikati Ambalo liko nje ya...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Naombeni kufahamu ukweli kuhusu Jean Claud Van Vernberg a.k.a Van Damme katika filamu ya CYBORG iliyotoka mwaka 1989 Zamani katika miaka ya 1990 niliangalia filamu hii ya CYBORG lakini kuna mtu...
0 Reactions
14 Replies
11K Views
Back
Top Bottom