Visit the link below to download.
Featuring Kingston 13 Riddim,Turnpike Riddim,Real Reggae Riddim,Think Twice Riddim,Pursue Riddim,Kush Morning Riddim and many more.
HighGrade Sounds...
Kuna nyimbo mpya ya msanii Dully Sykes, Inahamasisha vijana kukaba na kuiba.
Sasa sijui hapa jukumu ni COSOTA au CHAMUDATA lakini ilitakiwa kabla vitu hivi havijaruhusiwa kusikilizwa na kutazamwa...
Dstv siku hizi kila kukicha wanapandisha gharama ya malipo ya king'amuzi chao, je kampuni hii imeshakuwa ya kifisadi? Kwa sasa malipo yamefikia shilingi 180,000/: kwa mwezi, huu c unyonyaji...
Joseph Kusaga ndio mwanzilishi na kinara wa kampuni ya Clouds FM, kama anavyoelezwa kwenye clip hiyo. Ruge Mutahaba ni General Manager, obviously ni bosi mwandamizi wa Clouds, lakini mwisho wa...
Nawaonea huruma sana hawa waandaaji wa Kilimusic Awards. Nawaonea huruma kwa kuwa ni wazi wanaishi ulimwengu mwingine. Music industry ya nchi hii imetawaliwa na utapeli rushwa na umafia kiasi cha...
Naipenda sana show ya akina Masanja na Nyerere ya 2 by 2 NA IKIBIDI NOMA IWE NOMA. Show nzuri sana, jamaa wana kipaji na wana chemistry nzuri sana. I hope wanalipwa vizuri na kufaidi jasho lao...
Huyo mama toka nianze kumuona enzi hizo nikiwa kinda mpaka leo bado yuko vilevile tofauti na wenzake kama Tshala muana,Tabia Mwanjelwa n.k.,i luv this song anyawayz..
1. Lugha zinazotumika, wakati mwengine kingereza si kingereza kiswahili si kiswahili. Mwengine hajui kizungu nae anataka aongee kizungu kwenye movie. Mwengine hajui tofauti ya "L" na "R". Gali...
wadua wa jf
niko katika mji wa osnabruck nchini ujerumani ambako kesho kunazinduliwa tamasha kubwa la sanaa linalokwenda kwa jina la 24th Eupoean media art festival. sanaa za aina mbalimbali...
So, big changes are ahead in the world Spartacus: Vengeance as champions become rebels and slaves become warriors. Not the least of those changes is the replacement of its titular star Andy...
kuanzia leo natangaza kuacha kufagilia wimbo wa HAKUNAGA kwa sababu mwanamziki aliyeimba wimbo huu SUma lee kaamua kuubadilisha maneno yake na kuwa HAKUNAGA kama CCM (nimeona kweny TV akiwa...
WAJALUO NA TAMADUNI ZAO WE ACHA TU! EBU ANGALIA HUO MUSIKI WA KIJALUO.
part 1.
http://www.youtube.com/watch?v=dr_Svw6DSTw
na part 2
Emily Nyaimbo : Chuo mabeyo iyuodo kanye? part 2 - YouTube
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.