Hamjambo wana JF! Naomba kama kuna mtu ana program au michoro ya namna ya kufanya mazoezi ya mwili anisaidie tafadhari.
Siwezi kwenda Gym kutokana na mazingira niliyopo nataka nifanye hapa hapa...
Avatar banned in China
Avatar has become China's most successful movie after making nearly £47 million, but that hasn't stopped the country's government pulling the film from some of its...
Mimi nilikuwa mpenzi sana wa picha za kihindi miaka ile ya 1980s.
Nakumbuka sana Majumba ya sinema ya Chox, Cameo, Avalon, Empire, Empress na Starlight ..wakati ule unalanguliwa ticketi kuona...
Haya kwa wapenzi wa 24 ndio hivyo season 8 (inasemekana ni season ya mwisho) imeanza jana, kuto kuondoa uhondo kwa wale ambao hawajaangalia sitosema mengi.
Set in New York City, "Day Eight"...
Soul singer Teddy Pendergrass dies in Pa. at 59
PHILADELPHIA -- A relative says soul singer Teddy Pendergrass has died in suburban Philadelphia at age 59.
The singer's son, Teddy...
Stumbled upon this online and figured I should share. Y'all might remember Buzg Malone, he was in Kwanza Unit and had a somewhat big record with Zomba around '98 (Utaona).
Found his new...
Hivi wana JF kuna anayekumbuka zile enzi zetu za u-bitoz mabugi kwenye kumbi kama The New Palace, Splendid, The Margots, Anatoglo, Princess, Bahari nk?? Bendi za The Sparks, The Tonics, The...
jamani eeh!
Tunasoma sana siasa,tunaudhiwa sana na mambo yanayofanywa na viongozi wetu,tunachangia kwa jazba kuu.sehemu kubwa ya michango yetu inasaidia kufungua akili za watu.na kuna wakati...
Torino - Italy...
Kiungo anayeaminika kusakata kabumbu la mbinguni Ronaldo Assis de Moreirra almaaruf kama Ronaldinho Gaucho alifanikiwa kuifungia klabu yake kipenzi ya AC Milan magoli mawili...
Nimezunguka maeneo ya kupata kitu 'Entetainment' nimegundua bado haziridhishi kwa sababu Entertainment za hapa Bongo especially dar si za kupumzisha akili ndo maana kuna wingi wa stress miongoni...
Michael Jackson Wanted To Work With Lady Gaga
Posted Wed Jan 6, 2010 4:48pm PST by Billy Johnson, Jr. in Hip-Hop Media Training
Michael Jackson loved working with other artists. He and...
Jamani mimi ni mpenzi wa burudani na ni mpenzi sana kutizama TV,
ni mwezi kama na nusu hivi nilimsikia Mkurungezi wa cloudsFM akitutangazia wasikilizaji wa radio hiyo ujio wa CloudsTV na...
Basi kama ni kweli wanapenda iweje wakae kimya si wanafurahia?? kama sivyo kwa nini wasikate then wawashitaki??
Hahaha! Mpwa kumbe upo? weekend yote hii si ujipumzikie na kataska ka baridi nyumbani?
Siku ya kwanza tu polisi ananiomba rushwa kisa gari halina reg number hajui nilikuwa natoka nalo bandarini......akaomba 2000
Haya nikaenda kumwona Drogba nikiwa na mzenj wangu, nikakata tiketi za...
This thread is dedicated to the prophecy of Nasir Jones. Since we have one for 2Pac and one for The Notorious B.I.G, it's only right we look at arguably, the greatest Hip Hop poet of all time...
For all those who are still in a countdown to 2010, unafanya nini wakati ukiusubiri mwaka mpya. Unasoma nini, unasikiliza mziki gani, what are you snacking, unakunywa nini?.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.