Habari za wakati huu mabibi na mabwana, waungwana wote kwa ujumla, wale tulio kwenye mfungo, hongereni kwa hilo na natanguliza kheri na salamu za sikukuu ya Idi.
Itakumbukwa kuwa Jumanne ya...
Habari wana JF,
Kama tulivyoahidi tarehe 19/11/2012 katika Jukwaa la Siasa (katika thread hii), leo tumemkaribisha Mhe. Mbunge wa Kigoma Kaskazini kupitia CHADEMA, Zitto Zuberi Kabwe kama mgeni...
Mpambano wa FAM na TAL una afya
''Chawa Wanashona Sanda, Wapambe wanachimba kaburi
Kwa wiki, habari zinazotamalaki ni mpambano wa Uenyekitiki wa CHADEMA (CDM) kati ya Mh Mbowe (FAM) na Mh Lissu...
There is an urgent need for policies to allow for homeschooling in Tanzania. At the moment the legal and policy landscape does not provide for homeschooling. Now is the time.
EDIT 1: WHAT IS...
CCM kumbomoa Mbowe
Wadai watatumia mbinu iliyommaliza Sumaye
Na Mwandishi Wetu
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimeanza mkakati wa siri wa kubomoa upinzani, na sasa imedhihirka kwamba mlengwa...
Kilichonipa hamasa ya kuja na mjadala huu ni kauli ya Mwenyekiti wa Chadema (Taifa), Freeman Mbowe, aliyoitoa hivi karibuni ambapo alitamka (nanukuu):
"Iwapo CCM itashinda uchaguzi mwaka 2015...
Uzi utakuwa maalum kwa matukio mchanganyiko yanayojiri katika dunia yetu
Matukio ya kijamii, kisiasa, kiuchumi na kiutamaduni. Ni katika kupashana habari na matukio
Ni Mungu
Zaburi 76:12
Yeye huzikata roho za wakuu;
Na kuwatisha wafalme wa dunia.
Mungu humtumia mtu yeyote amtakaye Kufanya jambo lake, Hata Farao wa Misri alitumikia shauri la Mungu pia kwa...
Salaam wanajamii na hasa wafuatiliaji wa jukwaa hili.
Ni jana tu tumepata matokeo ya uchaguzi ya ndugu zetu wa Marekani, ambapo Trump, Donald aliibuka Kidedea. Sema nimeshangazwa kwa nini jukwaa...
The Curse of Salvation
This is a story of cursed salvation
Call it the curse of salvation
It sets a stage for what is to come
It reconstructs the whole scene
When things were serene...
US President in 2021
False Fraud Allegations
True Fraud Allegations
Remarks
President Biden
Jamii itawaona chama cha Republican na Rais Trump ni ving'ang'anizi...
UCHAGUZI US
Ni miezi miwili imebaki kwa Taifa kubwa la Marekani kufanya uchaguzi.
Wiki mbili zilizopoita Democrats na Republican vilifanya mikutano ya kuwathibitisha wagombea.
Mwaka huu kutokana...
Katika mambo yanayoshangaza ni namna Biblia inavyoonesha kurejea vitabu vingi ambavyo havipo ndani yake. Swali la kujiuliza ni je vitabu hivyo vimetajwa tu havipo au vimeondolewa? Na kama...
Achana na maandamano ya CHADEMA, miaka kadhaa iliyopita kulikuwa na maandamano ya wamachinga. Mtu mmoja ambaye alitajwa kuwa msemaji wa wamachinga alirekodiwa akiwataka watu wengine wasiandamane...
Matokeo ya kidato cha nne yameacha kujadiliwa, kama kawaida waandishi wameripoti bila kwenda kiundani zaidi kusema matokeo haya yana maanisha nini kwa jamii. Hata hivyo kuna mtu ndani ya JF...
Nchi kadhaa zimekuwa na mijadala juu ya ukomo wa umri ambao rais anatakiwa kutovuka ili kuendelea kutawala. Hata hivyo, baadhi ya marais wamekuwa wakibadili katiba zao ili kuhakikisha wanabaki...
HISIA ZAJITOKEZA, UTAIFA WATAWALA ''WATANGANYIKA WAKITOA YA MOYONI HAPAKALIKI' WAZANZIBAR WATAWANYIKA, HAWANA KAULI, SASA NGUMI MKONONI
SEHEMU YA I
Ndugu wanaduru Bunge la katiba la CCM au...
Shetani Kwa asili yake siyo mbunifu hata kidogo, sisi ndiyo tunampa nguvu kwa kutengeneza mapepo wenyewe "inverting demons". Kipindi tunajitengenezea taswira na picha za uongo shetani hujificha...
Sehemu ya I
Bandiko Duru: Hatima ya Muungano na dalili za kuvunjika mapema tulisema bila kura ya maoni na Katiba ,tuna ahirisha tatizo la Muungano kwa muda.
Kuna 'utatu' wa ''Katiba, Muungano...
Wanabodi,
Kitendo cha Kamati Kuu ya Chadema kuwavua uanachama madiwani wake wa Arusha, is "A Big Mistake"!, and there is a price to pay, so Chadema must pay very dearly and the price which is...