Sisi tuliosoma enzi za awamu ya kwanza, enzi za Chama kushika hatamu, tunakumbuka elimu ya sanaa na ufundi. Hili lilikua somo kamili, kulikua na walimu waliohitimu mafunzo hayo.
Shule zilikua na...
Mwanzoni mwa mwaka huu katika kusherehekea kutimiza kwangu miaka 20 tangu nizaliwe, nilipata zawadi ya mkoba kutoka katika viwanda vya hapa kwetu. Mkoba ni nadhifu sana, bidhaa za ngozi huwa...
Sun Tzu aliwahi kusema, "Kuongoza jeshi kubwa hakuna tofauti na kuongoza jeshi dogo, unachotakiwa ni kuligawa jeshi lako."
Kwa kawaida kitu ambacho kipo centralized sana huwa ni kazi sana...
Kama vile uwepo wa hospitali unaonyesha uwepo wa magonjwa, uwepo wa polisi ni ishara ya ukosefu wa amani na utulivu, Wingi wa polisi katika nchi ni ishara ya amani ndogo zaidi, level za ukosefu...
Hakuna amani pasipo upendo. Upendo ni mama wa amani kama watu wanataka amani, wajifunze kupenda. Upendo haudhuru unalinda. Ukosefu wa upendo husababisha vurugu na fujo duniani. Upendo huheshimu...
Swali jingine muhimu ambalo linaweza kuwa mwongozo ni kujua kwanini tunaelimisha watu wetu, Kama lile swali la mwanzo nililouliza kwanini sisi ni taifa? Ni swali la kimsingi katika kutengeneza...
This is the soul searching question
Why we are a nation?
And we come together for what purpose?
And do we fulfil that purpose? Or we become a nation accidentally and we need to search for our...
Habari wa ndugu. Ni swala ambalo liko wazi kuwa nchi ya Rwanda imeendelea kwa vipimo vingi ukilinganisha na mkoa wa Kagera. Hizi sehemu mbili zimepakana na hali ya hewa na mambo mengine wanafanana...
Watanzania wanaoishi katika nyumba za hali hii ni wengi sana. Nyumba za hali hii huchangia afya mbovu. Tunapohamasisha BIMA za afya tufahamu pia tatizo linaanzia hapa.
Kiasili hakuna kitu kinachoitwa umaskini. Haukuwepo dunia ilipoumbwa.
Umaskini ni zao la akili za binadamu. Ni zao la gunduzi za binadamu. Kwenye asili hakuna umaskini.
Ni sawa sawa na kusema...
Habari wandugu. Naomba kuuliza ni vitu gani au sifa gani zinatakiwa kuwepo ili watu muweze kushirikiana vizuri? Inaweza kuwa ushirikiano ndani ya kikundi, mtu mmoja na mwingine , kikundi na...
Ninaomba tujadili hii mada, maana halisi ya utajiri ni nini? Pesa na mali vinaweza kukupa furaha duniani? Kuna raha gani ya kuwa tajiri ilhali umezungukwa na masikini katika nchi, mji mtaa hata...
Kumekua na ongezeko kubwa la vyuo vya elimu ya juu, tofauti na idadi tuliyokuwa nayo mpaka miaka ya 90. Licha ya elimu nje ya bara la Afrika, kuna waliobahatika kupata elimu ya juu katika nchi...
Maendeleo yote ya binadamu yametokana na gunduzi alizofanya, kwahiyo tunapozungumzia maendeleo ya binadamu hatuwezi kuepuka kuongelea gunduzi alizofanya na ukuaji wa kiakili wa jamii husika.
Huu...
Work hard to achieve it in a natural, automatic and instinctive way. Start by cultivating these eight habits by Jeff Haden, a ghostwriter, speaker and an influencer
1. They turn to praise. It's...
Haijalishi ukubwa wa harusi uliyofanya, kitu cha muhimu ni unachokwenda kukijenga baada ya harusi, baada ya watu wote kuondoka na kuwaacha peke yenu mwende nyumbani, mkaanzishe maisha yenu. hiko...
Kinachototuua Afrika ni uvivu WA FIKRA sio Uvivu wa mwili. Tatizo letu lipo hapa. Ni wepesi sana wa kuongea kuliko kufikiri . Tunachukulia kila kitu kirahisi rahisi na mara nyingi hatuna maono...
Udaktari wetu, uhandisi wetu, uanasheria wetu hauwezi kutuokoa hata kama ni bora kiasi gani katika field zetu dhidi ya maangamizi kama hatuna busara na kama hatutatumia utaalamu wetu kwa faida ya...
Msikilize Nicolo machiaveli anavyosema ndani ya The Prince.
SURA YA 17
Kuhusu ukatili, rehema na iwapo ni bora kupendwa kuliko kuogopwa
Kwa kuangalia sifa nilizozitaja hapo juu, nasisitiza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.