Great Thinkers

JF's Great Thinkers' home | If you want to be enrolled, contact us

JF Prefixes:

Possible Antidote for the V-Serum and the Current Spike Protein Contagion Dr. Judy Mikovits (1 min. MP4 is attached) has revealed that the medical establishment has known all along about the...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Tokea enzi za utumwa mpaka sasa bado tuna changamoto nyingi sana tunakabiliana nazo kama taifa na kama watu weusi. Sababu ambazo zilitupelekea sisi kutaliwa nyingi bado tunazo., tunaishi na...
4 Reactions
0 Replies
2K Views
Nawasalimu kwa jina la JMT. Kuna siku moja nilimsikia Mwalimu Nyerere kwenye hotuba akisema. "Serikali za mitaa ni serikali kamili, serikali kuu haiwezi kuziongezea madaraka wala kuzipunguzia."...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Tanzania imebarikiwa kila kitu kinachofaa kwa kilimo cha umwagiliaji. Tuna ardhi ya kutosha kabisa. Nchi yetu ina eneo kubwa la kilomita za mraba 900,000+ . Wanasema tuna eneo la hekari milioni...
11 Reactions
5 Replies
4K Views
Mjadala wetu utakuwa na sehemu SITA kama ifuatavyo: Kufuatia utangulizi, sehemu ya kwanza itaangalia kwa kifupi historia ya nafasi ya Makamu wa Rais katika jamhuri ya muungano wa Tanzania. Katika...
9 Reactions
40 Replies
10K Views
Habari Great Thinkers .... Katika jamii zetu za kiafrika kumekuwa na mambo(desturi) kadha wa kadha ambazo kwa namna moja au nyingine zimekuwa zikitudumaza ama kutuchelewesha kwenye maendeleo...
4 Reactions
3 Replies
3K Views
History's 10 greatest entrepreneurs This list of truly entrepreneurs were able to spot markets and opportunities and trends that no one else sees. Their visions, when realized, have the power to...
5 Reactions
2 Replies
3K Views
Wanajamvi Uchaguzi wa US umekamilika jana baada ya D.J Trump kuwa Rais wa 45 Leo ilikuwa siku ya kwanza kamili ya Trump kama Rais wa US Uzi utakuwa utaangalia serikali mpya na mwelekeo wa siasa...
21 Reactions
1K Replies
177K Views
Wakati mwingine tunafikiri hasi kuhusu sisi wenyewe. Hii ni hatari sana kwetu. Tukifikiri hasi kuhusu sisi wenyewe tunazuia ukuaji wetu na tunajidumaza. Pengine tunapaswa kukaa na kujitafakari...
4 Reactions
6 Replies
3K Views
Kama kuna kitu cha wazi ambacho ni funzo kubwa kwetu Watanzania katika miaka minne hii ya Awamu ya Tano na "Utawala" (maksudi kabisa badala ya kutumia uongozi) wa Magufuli ni UTHUBUTU! Uthubutu...
49 Reactions
96 Replies
24K Views
Mwenye busara hutumia hekima kwanza kabla ya nguvu. Faida ya kutumia hekima kabla ya nguvu uwapa ufahamu wale wanaotakiwa nguvu itumike kwao ili wajielewe. Na kujielewa ni jambo ambalo taifa...
5 Reactions
0 Replies
2K Views
Hata mbwa anaweza kufundishwa na kufanya baadhi ya mambo, binadamu anapaswa kuwa juu ya kufundishwa. ANAWAJIBIKA kwa kutumia akili yake mwenyewe kuzalisha maarifa sio kupokea tu maarifa...
18 Reactions
3 Replies
3K Views
Uwepo wa polisi, mahakama, jeshi na majela, ni ushahidi kwamba ubaya upo. Lakini je ubaya unatoka wapi? Kwa shetani? Ukweli ni kwamba ubaya tumeutengeneza wenyewe na tunauwezo wa kuuondoa. Au...
11 Reactions
0 Replies
2K Views
Kichwa cha habari hiki sicho nilichokiposti. Pana mtu amefanya stealth edit. Whoever did that: It is unethical. Umenilisha maneno nisiyoyaandika. Ukiedit, jipe credit. Au ukiona unayo mawazo ya...
8 Reactions
2 Replies
6K Views
Baada ya vita ya Korea, Korea kaskazini ikaanza kuhangaika kujenga uchumi wake. Ikagundua kuwa ili iwe na uchumi imara inahitaji viwanda. Ikagundua pia, kuwa viwanda haviwezekani bila kuwa na...
25 Reactions
27 Replies
7K Views
Wale wanaopenda ukweli hawaangalii nani kauongea, ana umaarufu kiasi gani, ana cheo kiasi gani au ana kiasi gani katika akaunti yake benki. Ukweli ni ukweli hata ukiongewa na mtu mwenye viraka...
21 Reactions
0 Replies
2K Views
Kiwanda cha Bodaboda Ikiwa kichwa cha habari kimekufanya uwaze mitambo ya kutengeneza pikipiki, karibu kwenye mada. Mada hii si kuhusu mitambo ya kutengeza pikipiki (factory). Mada hii inahusu...
4 Reactions
3 Replies
4K Views
Umewahi kufikiri inawezekanaje nchi kubwa kama Tanzania kuwe na upungufu wa ajira tena sio tu kwenye sekta binafsi bali hali ni mbaya zaidi Serikalini . Kumekuwa na mazoea kuifanya hali hii kuwa...
12 Reactions
4 Replies
4K Views
Nashukuru nilipata bahati ya kutembelea baadhi ya nchi zilizoendelea na zile ambazo bado. Safari hizo zilinipa fursa ya kutafuta jibu la maswali yaliyosumbua kwa miaka mingi: 1. Mataifa...
3 Reactions
14 Replies
8K Views
Wanajamvi kwa ujumla, Tarehe 23 June 2003 ni siku ya tukio muhimu katika bara Ulaya. Britain itapiga kura ya maoni (referendum) kuamua ibaki Ulaya (EU) au itajiondoa. Hii si mara ya kwanza...
19 Reactions
94 Replies
32K Views
Back
Top Bottom