MAHARAGWE UNILISHE, NKIJAMBA NI MKAIDI?
Chonde Baba sinitishe, Ukimya si yangu Jadi
Ili ujisahihishe, Kukosoa inabidi
Kiakili nijishushe, kisa yako itikadi?
MAHARAGWE UNILISHE, NKIJAMBA NI...
Wana wa jamii kuna taarifa ya kwamba jana Nape aliingia Bungeni kama hero, kwani alishangiliwa na wabunge wote hata kumlazimu mwenyekiti kuwataka hayo mahaba wayafanye bila kelele, mwenye video...
Hatuwezi kumaliza suala la madawa ya kulevya kwa nguvu peke yake. Matatizo ya kijamii ambayo tunayokabiliana nayo sasa ni lazima tuyaangalie katika mifumo yetu ya makuzi na malezi na mahusiano...
Wanajamvi, mara nyingi tumeongelea muungano na madhaifu yanayotishia hatma yake
Kwa hali na mwelekeo uliopo ipo haja ya kuzungumzia tena na tena ili wakati ukifika tusijejiuliza maswali yenye...
I just read this news and thought it's worth sharing.
In order to get developmental assistance, Tanzania amended its legislation, which should give commercial investors faster and better access...
Kama chama chochote cha siasa hakitakusaidia uboreke zaidi katika fikra zako na katika tabia yako, na maono yako kuhusu maisha yako, na utaifa wako, na badala yake kikakufundisha kuwa mbinafsi na...
Raia wanapaswa kuiogopa serikali au kuiheshimu?
Raia hapaswi kuiogopa serikali yake bali kuiheshimu atakapoiogopa serikali yake atakuwa anauza uhuru wake na kuwa mtumwa.
Hivyo raia wasiogope...
Papa na Nyangumi: Nani atawavua tuwale?
Katika bahari, kuna samaki wakubwa wawili, Papa na Nyangumi. Samaki hawa wanaogopewa kwa kuwa ni wakubwa na wana uwezo wa kudhuru kila kilicho karibu yao...
Kumekuwepo na vita inayoitwa ya madawa ya kulevya vyovyote tutakavyoita ikiwa kama wapiganaji wanapigana sababu ya kupata umaarufu wa kisiasa, au kwasababu ya nia yao ya dhati na dhamira ya dhati...
Moja ya skill ya uongozi ambayo kiuongozi mzuri anapaswa kuwa nayo ni kusimamia agenda mpaka anaona mwisho wake, lakini pili kuifanya hiyo agenda iwe ya wananchi wenyewe kwakuwa wao ndio wajenga...
ELECTION NIGHT IN AMERICA
Ref: Duru za siasa: Uchaguzi Mkuu USA
H.CLINTON (DEM) VS D.TRUMP (GOP)
Wanajamvi
Miaka , miezi, siku na ni masaa machache tu uchaguzi wa Marekani utakamilika...
Ten years ago, one of our renowned intellectuals, Professor Issa G. Shivji, published a chapter titled "Critical Elements of a New Democratic Consensus in Africa (pp.25-38). It was featured in a...
Please take time and ponder a little some of these famous quotes about dictatorship...happy reading!
Adolph Hitler: All propaganda has to be popular and has to accommodate itself to the...
Tanzania hatuna Mungu kama taifa? Nianze mada yangu na swali hilo la uchokozi.
Kuna kamtindo kamezuka mtandaoni, mtu ataandika ya kuandika kisha anahitimisha kwa "mungu anakuona" , na sasa...
Binadamu, Ndege , wadudu na wanyama wa porini wote hufa.
Ni nani mwenye mamlaka dhidi yetu?
Mwenye mamlaka dhidi yetu ni yeye afanyaye viumbe vyote kufa.
Kipindi chetu cha maisha hapa...
Kitu kimoja ambacho ninajua na serikali inapaswa kujua ni kwamba umoja wa nchi haupaswi kuchezewa. Nguvu ya taifa lolote lile inategemea sana umoja wa watu wake na sio ukubwa wa jeshi au silaha...
Ni matumaini yangu kwamba nitakachoandika hapa leo kitakuwa ni chenye manufaa na chenye kunyanyua uwezo wa akili na kufikirisha.
Tafakuri yangu ni kuhusu nchi ya demokrasia. Na ninadhani ya...
Usipotenda kwa umakini unaweza kujichukia na mambo mengi hayatoenda sawa. Kila mtu anahitaji mtu mwenye nguvu zaidi yake amnyanyue. Na mtu mwenye nguvu ni yule mwenye busara. Kwasababu hata kama...
Ni dhahiri bila elimu iliyobora maendeleo na amani ya nchi yetu itakuwa matatani. Ili taifa lolote lile liwe na amani ya kudumu watu wake lazima wawe na elimu.
Elimu ni kitu gani hiki ambacho...