Great Thinkers

JF's Great Thinkers' home | If you want to be enrolled, contact us

JF Prefixes:

Awali ya yote natangaza nina maslahi na hifadhi ya jamii. Pili, mimi siyo mwanasheria. Kwa hiyo inawezekana nimeelewa isivyo. Na, tatu: haya ni maoni binafsi yenye lengo la kuboresha nia njema ya...
10 Reactions
3 Replies
11K Views
President Nana Addo Dankwa Akufo-Addo’s remarks at a meeting with French President Emmanuel Macron have left many praising him. Find below 12 of the statements he made at last Thursday’s meeting...
16 Reactions
0 Replies
3K Views
Inavyoonekana pamekuwa na mkanganyiko wa kudahili wanafunzi vyuoni mwaka huu 2017/18. Baadhi ya wanafunzi wamepata admission nyinginyingi kutegemea ufaulu wao, wakati wengine wamekosa hata...
11 Reactions
0 Replies
4K Views
TLDR; Watumishi wasio na vyeti vya ufaulu kidato cha nne, na hawajadanganya sifa zao, wengine wana sifa zilizozidi au zilizo sawa na cheti cha kidato cha nne kutokana na uzoefu na mafunzo mengine...
24 Reactions
0 Replies
13K Views
Hivi pana sheria yoyote inayozuia biashara kufanyika usiku na mchana, siku saba kwa wiki (24/7) hapa Tanzania? Ni kwa nini basi biashara hizo hufungwa mapema, wakati wale waliokuwa maofisini...
20 Reactions
0 Replies
4K Views
  • Poll Poll
Nianze na kusema, nina shitariki ya mawazo ya udogo wa serikali (small Government), na, haki na wajibu kwa mtu binafsi (individual rights and responsibility); mawazo yanayoweza kujumuishwa kwa...
6 Reactions
2 Replies
6K Views
Elimu ya Ufundi Katika Utumishi wa Umma Serikali imeamua kutekeleza kwa vitendo uamuzi wake wa kutokuwa na watu wasio na elimu ya kutosha katika utumishi wa umma. Katika kutekeleza hilo, Serikali...
7 Reactions
10 Replies
13K Views
Haijalishi ukubwa wa harusi uliyofanya kitu cha muhimu ni unachokwenda kukijenga baada ya harusi, baada ya watu wote kuondoka na kuwaacha peke yenu mwende nyumbani, mkaanzishe maisha yenu...
47 Reactions
1 Replies
10K Views
Greetings Great Thinkers! President of Ghana Nana Akufo-Addo, 73, of NPP party who was inaugurated on 07/01/2017 has embarked on a remarkable journey to revolutionize and reform the economy and...
16 Reactions
3 Replies
5K Views
Sent using Jamii Forums mobile app
8 Reactions
0 Replies
4K Views
Guys... Who is legal advisor wa Rais Magufuli? Au advisor wa namna yeyote ile? Hii ziara ya Pwani yametokea matamko ya Rais ya kusema "katika utawala wangu" but kwangu naona hakuna jitihada...
25 Reactions
7 Replies
8K Views
Ni miezi 15 tangu awamu ya Tano chini ya Rais Magufuli na kaulimbiu za HapaKaziTu na Utumbuaji zilipoingia madarakani na kuongoza Taifa. Pamoja na shauku kubwa ya wananchi na Taifa zima kuona...
13 Reactions
19 Replies
7K Views
Wadau salaam, Kwa kawaida uamuzi wa kujenga taifa lenye watu wa aina fulani u mikononi mwa wananchi wenyewe na wananchi ni mimi na wewe. Kwa hiyo mchango wako wewe na mwingine na mwingine (uwe...
10 Reactions
17 Replies
8K Views
Siku zetu zinakwisha hapa duniani tukiwa tumevaa miili tofauti kwenye uhai wetu. Kwanza utoto kisha ujana na uzee. Tunaishi, tunakufa tunaacha kizazi kingine kikiendelea kuishi. Maisha yetu hapa...
64 Reactions
2 Replies
11K Views
Kuna kitu kimoja kimeendelea kwa muda mrefu sasa na si ajabu tangu tupate Uhuru wetu nacho chaendana sambamba na jinsi Chama Tawala (TANU/ASP mpaka sasa CCM) ambapo kuna nguvu kubwa sana za...
10 Reactions
6 Replies
4K Views
Utangulizi Serikali ya awamu ya Tano chini ya Rais J.P.Magufuli (CCM) imeanza kuwatumikia wananchi kwa kipindi cha (2015-2020) kwa mujibu wa katiba ya JMT(1977). Vipaumbele vikuu vya serikali...
21 Reactions
223 Replies
50K Views
SAFARI YA DODOMA Uamuzi wa kuhamia Dodoma ni tukio la 'kushtukiza' lililopokelewa kwa mshawasha na hisia Ni tukio lilozua taharuki kwa taasisi, watendaji ,wafanyakazi na jamii kwa ujumla Kadri...
7 Reactions
16 Replies
10K Views
NYONGEZA 13/04/2017 Kujamba kujisafisha, nilisema mwaka Jana Ndondo nikijazilisha, jambo hutowa laana Hisi nakukasirisha, uwanja mpana sana Weza amua kupisha, ama pualo kubana Maharagwe...
22 Reactions
0 Replies
4K Views
CHUNGU KIFUKAPO MOSHI, VIPIKWAVYO VYAUNGUA Ninaleta fikirishi, watunzi kulitengua Zimezidi kashikashi, si zile nilichagua Uzombi ninaoishi, kifuani naugua Chungu kifukapo Moshi, Vipikwavyo...
10 Reactions
0 Replies
3K Views
KUTUNGA NITUNGE NINI? Niseme ya Magogoni, "Hapa Kazi" mafisadi? Njipendekeze Chamani, Tumbo langu kulinadi? Nimsifu Gazetini, "Atenda aloahidi" ? Kutunga nitunge nini, ya kutunga yakizidi...
15 Reactions
0 Replies
3K Views
Back
Top Bottom