Ukweli ni kwamba kama unanipenda utaniheshimu. Huwezi kuniambia unanipenda wakati huniheshimu. Mapenzi huonekana katika heshima. Kama unampenda mke wako utamheshimu na kama una mpenda mume wako...
Hiki ni kitabu kidogo cha busara. Ni matokeo ya tafakuri kuhusu maisha na mwenendo ulio bora. Kitabu hiki ni nuru na mwongozo uliobora. Kitaongeza ufahamu kwa wasio na ufamu na kukuza uelewa wao...
Ufalme uliogawanyika wenyewe kwa wenyewe hauwezi kusimama. Usemi huu una maana gani kwetu kama taifa? Je tunaweza kukaa na kutafakari kuhusu usemi huu? Nawaomba tukae na kufikiria kwa makini...
Kila wakati sisi binadamu ni muhimu kupata nafasi ya kufanya reflection. Tafakari ya kina kuhusu maisha yetu, kuhusu tabia zetu, kuhusu uwepo wetu duniani. Kuhusu mahusiano yetu. Ukuaji wa...
Ukitaka kuijua Marekani na CIA angalia hio mivie yenye title kill the messenger.
Hii ni kwa ajili ya ma anko ruckus wote wanaojipendekeza na ulaya na kuona wazungu wao ni malaika. Sitataja majina...
Je kwanini wapiga kura wamemtema Jonathan ?
Raia wa Nigeria wameshazoea kuwa rais anayeongoza hawezikushindwa katika uchaguzi wa Nigeria!
Lakini leo Nigeria imefungua ukurasa mpya.
Rais aliyeko...
Kuielewa rasimu ya katiba inahitaji kujua kusoma, kuandika, na kuhesabu. Kupiga kura kunahitaji kujua kusoma, kuandika, na kuhesabu. Sensa ya 2012 inaoesha kuna jumla ya watanzania 5.5m (milioni...
Viongozi wetu ni muhimu sana kujiepusha na kufanya biashara kama wanataka kuongoza taifa hili vyema, huwezi kuviweka vitu hivi pamoja na vikafanya kazi katika ufanisi wa hali ya juu. (Uongozi +...
Maarifa ni kitu cha msingi sana katika maisha ya binadamu, ili tuendeshe maisha yetu ya kila siku tunahitaji maarifa. Na kama maarifa yakituongoza katika kila kitu tunachofanya na kutenda...
MARIDHIANO NI BORA KULIKO KATIBA YENYEWE
CCM HAINA HOJA, SASA INATEMBEZA KIPIGO KWA KASI NA VIWANGO
WARIOBA KATETEA NCHI, WANANCHI MTAMWANGALIA HADI LINI?
Wana duru,
Kutokana na mazingira ya...
Katika gazeti la Citizen la tarehe 16/3 kuna makala inayoelezea shuhuri za Ocean Road cancer Institute. Nilipata mshangao mkubwa sana pale niliposoma kuwa yule aliyekuwa msaidizi mkuu wa dr. Ngoma...
Wakale walisema actions speaks louder than words. Kwa matendo yake, over the last 10 years, it is obvious to everyone kuwa kuwa Falsafa ya Uongozi wa Rais Jakaya Kikwete, na serikali yake ya awamu...
:thinking: Tanzania need better and capable people in making development changes, and those changes wont happen if the large part of our human resources is left hanging without a better platform...
Elimu na ujengaji wa tabia tunaweza kuvitenganisha vitu hivi viwili?
kwanini tunaenda shule kama tabia zetu hazito imarika na kutenda vyema zaidi?
Kwanini tunaenda shule kama elimu yetu...
DURU: TATHMINI YA CHAGUZI ZA SERIKALI ZA MITAA
Uchaguzi wa serikali za mitaa unaendelea kukiwa na marudio, mikanganyiko na kila aina ya vurugu.
Kuna dalili maandalizi hayakuwa mazuri kwa...
Hakuna taifa lolote lililoendelea pasipo maaarifa. Huu ni ukweli ambao wengi wetu hatupendi kuusikia. Mataifa ambayo kwa sasa yako juu yote ni mataifa ambayo yamehangaika kutafuta maarifa na...
NAUTAMANI ULE MTAA WAO
Wakati anakuwepo, alikuwa ni yeye pekee aliyehitaji kuwa kama anavyotaka kuwa. Aliufikia uwezo wake wa kimaumbile aliojaliwa, na kujitambua kuwa yampasa autumie vema ili...
A university is a place where young men are trained to think critically and independent (Nyerere 1922-1999). Kwamba, chuo kikuu ni mahali ambapo vijana hufunzwa jinsi ya kufikiri na kujitegemea...
Maendeleo yetu kama taifa yanategemea sana ni kiasi gani watu wetu wameelimika pasipo elimu hakuna maendeleo ya maana tutakayofanya.
Ili twende mbele kama taifa ni lazima tuwe na watu...