Great Thinkers

JF's Great Thinkers' home | If you want to be enrolled, contact us

JF Prefixes:

Habari hii imenisisimua na kunifurahisha sana. Ni wazi kabisa Buhari na Babantunde wamekuja kwa nia safi ya kufufua uchumi na kuimarisha thamani ya sarafu ya Nigeria Naira. Tanzania tumefungulia...
6 Reactions
1 Replies
3K Views
Josephus: What’s Stronger—Wine, Women, or Truth? Now, in the first year of the king’s reign, Darius feasted those that were about him, and those born in his house, with the rulers of the...
3 Reactions
0 Replies
3K Views
Sio lengo la elimu kuzalisha watu wenye tabia mbaya. Bali ni lengo la elimu kuzalisha watu wenye tabia njema ambao watasaidia kupeleka mbele taifa letu. Elimu inapozalisha watu wenye tabia...
10 Reactions
0 Replies
3K Views
Kumekuwa na mashindano ya kuongelea uadilifu Tanzania mwaka huu na hasa kuangalia wagombea Urais. Kuna kundi moja kwa nguvu linadai Mgombea Edward Lowassa ni fisadi mkubwa na hastahili kuwa Rais...
4 Reactions
1 Replies
5K Views
Kitu kimoja ambacho nimejifunza katika maisha, huwezi ku control matendo ya watu wengine. Unaweza ku control matendo yako pekee, ambayo uko responsible nayo. Na maisha yetu yanategemea...
9 Reactions
0 Replies
3K Views
Siasa lazima iongozwe na mantiki huwezi tenganisha siasa na mantiki. Nchi za kipuuzi pekee huweka mantiki pembeni. Tunapoacha mantiki na kufuata maslahi yetu binafsi huku maslahi ya taifa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Huu ni wakati wenu ambao mnaishi kwa sasa duniani. Kumbukeni mabadiliko yako ndani yenu. Mnabadilika kutoka utoto kwenda ujana na uzee. Utakapokuwa mzee, hautokuwa kama ulivyokuwa kijana. Unajua...
12 Reactions
0 Replies
3K Views
Niliandika kipande hiki tarehe 8 August 2009 WARAKA WA REVERAND KISHOKA KWA WA TANZANIA Nimefuatilia kwa karibu sana kuhusu kile kinachoitwa vita ya ufisadi nchini mwetu inayoendeshwa katika...
1 Reactions
4 Replies
3K Views
Waraka wa Mchungaji kwa Watanzania Ndugu Mtanzania, Naomba kuwasilisha kwako waraka huu ukiwa ni mwamsho na na hamasa kwetu kama Wananchi na Taifa ili kulikwamua taifa letu kutoka katika...
1 Reactions
103 Replies
19K Views
Ni katika kuitafuta haki, kuondoa fitina, majungu au habari zisizo na mshiko na za kusadikikasadikika. 1. Ufisadi wa Richmond ukoje? Je tunaupembua kama rushwa, kukiukwa sheria & taratibu...
10 Reactions
12 Replies
5K Views
CCM wameshaamua nani watawawakilisha kwenye Ubunge, wamechuja chuya, wametupa makapi na mizoga. Sasa natoa tahadhari kwa CHADEMA; Ole wenu mkiipokea hii mizoga ya CCM na kuipa kadi na hata...
11 Reactions
185 Replies
26K Views
The Obituary, In Memorium... In throngs they cheered him, showering and bestowed him praises. And he puffed his chest victoriously as they knighted him The Doc.." But.. But in reality he was...
5 Reactions
3 Replies
2K Views
Wanajamvi, Hiki kifungu kimenitatiza kidogo nikiona kwa tafsiri na uelewa wangu ni nguvu gani Serikali Kuu inayo kwenye masuala ya matumizi ya fedha na/au mapato kwamaba bunge halina sauti bali...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Kwanini ni muhimu kwa taifa kujitegemea na ina maana gani taifa kujitegemea ?. Hili ni swalii muhimu kujiuliza kama taifa. Je ni jambo lenye thamani kwetu ama hapana?. Siku za hivi karibuni jamii...
2 Reactions
0 Replies
2K Views
Napenda kuhamasisha wenye kuweza kutujuza reasonable comparison kati ya Magufuli na Lowassa katika kusimamia rasilimali za Taifa. Hili lizingatie wajibu na majukumu yao kama mawaziri, na usimamizi...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Mabibi na mabwana taifa letu linapitia katika kipindi chake kigumu na katika kipindi hiki tunahitajika kutafakari kujua nini changamoto zetu na suluhisho la changamoto hizo. Changamoto hizi...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Mwaka huu ni mwaka muhimu sana kwetu kama taifa. Ni mwaka ambao taifa letu linaenda kwenye uchaguzi kuchagua viongozi wapya katika taifa letu. Kwahiyo nimeona nisikae bila kuandika kitu chochote...
2 Reactions
2 Replies
2K Views
Salaam. Hivi karibuni tumeshuhudia wimbi kubwa la wanachama mbalimbali wakiwemo na na viongozi wa ngazi ya Udiwani hadi Taifa kukimbia vyama vyao kuelekea vingine. Hasa hili liitwalo...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
CCM ni chama, kinaongozwa na watu ambao wako Serikalini kama viongoZi wenye mamlaka ambao wanajilimbikizia mali kiujanjaujanja, kuruhusu upotevu wa mali ya umma (CAG report) na ufisadi mwingi tuu...
5 Reactions
0 Replies
2K Views
Nilitarajia Operesheni sangara ingeingia kila Wilaya na Mkoa si kujiuza kuhusu CHADEMA na kupiga vita CCM na kuioanisha na UFISADI, bali ni kuwatikisa Wabunge na Serikali za Wilaya. Naangalia...
0 Reactions
120 Replies
14K Views
Back
Top Bottom