Maendeleo ya binadamu yanategemea sana watu. Watu ndio resource kubwa sana ambayo taifa lolote linalo, Kwa kiongozi mwenye akili atajua jinsi ya kutumia watu vizuri ili kujiletea maendeleo...
Ulaya na marekani wamehangaika sana katika uvumbuzi , swali la kujiuliza upande wetu huku Afrika wajibu wetu nini kwa sasa? Muelekeo wetu ni upi?
Ni kweli kwamba kwa vumbuzi zao wameturahisishia...
Leo siongei sana naongea kitu kifupi mno kwa wenye akili watanielewa. Ni kitu gani kinachofanya mataifa kuwa makubwa na kutawala mataifa mengine?
Ni uwezo wa mataifa hayo ku ''create'' ...
If you read Animal Farm by George Orwell, then you know how the 7 emancipation commandments were changed by the pigs, lead by Napoleon, after they came to power.
1. Before : Whatever goes upon...
Habari wana JF,
Kawaida kama wanadamu huwa tunakuwa na matarajio ya vitu mbali mbali, na matarajio hayo huegemea tokana na viashiria vinavyowezesha haya matarajio ku materialise. Tumetofautiana...
Hamu kubwa ya kupata maarifa na ufahamu wa mambo ni jambo lililofanya mataifa ya ulaya kukua.
Bila maarifa hakuna jamii itakayopiga hatua kimaendeleo. Jamii yeyote itakapoanza kuheshimu...
Haihitajiki kusubiri Jumatatu ya October 26 kuanza kutafakari Uchaguzi wa 2015. Matokeo ya uchaguzi kwa sisi wengine si kigezo sana tena cha kuona ni upande gani wa njia panda tunachukua kama...
kuna habari ambazo zinatumwa katika mitandao ya kijamii kuwa mawakili wa cdm/ukawa wapo uholanzi kufungua kesi kuhusu uchaguzi huu na namna ccm ilivyobaka demokrasia, sasa naomba wataalam wa...
Wasalaam wakuu.
Nianze kutoa pole kwa wafuasi/wanachama na waumini wa Upinzani wa kweli nchini bila kujali itikadi za vyama vyao. Pole zaidi zikiwa kwa wanaUKAWA lakini pia wanaCCM walioshindwa...
Wasalam wanajamvi!
Heka heka za viongozi kutoka chama kimoja cha siasa kwenda kingine zinaendelea.
Tofauti na miaka ya uchaguzi iliyopita mwaka kuanzia mwaka1995 hadi mwaka 2010, mwaka huu...
UTANGULIZI
Joto la uchaguzi 2015 linapanda kwa kasi.
Tofauti na nyuma,mwaka huu kutakuwa na mitazamo tofauti baina ya vyama na ndani ya vyama
CCM ikitaka kuendeleza utawala wa miaka 50...
Hisia hii ya kumuona mtu mwingine kama sehemu yako, ambaye mna sehemu katika taifa, mna haki na wajibu ndio msingi wa uraia.
Kujitambua huku ndiko kutakako tufanya kuwa taifa lililo kamilika...
Leo ningependa tujiulize wote kwa pamoja ni nini haswa maana ya elimu ? Tujiulize, tutafakari, tujaribu kupata majibu, ni nini haswa maana ya elimu? Na kwanini watu wanapelekwa shule ? Na...
Natatizwa sana kuona Serikali ya KIkwete ikijiimarisha "kiulinzi" kupitia Jeshi, Polisi na hata Usalama wa Taifa eti kudhibiti na kuzuia machafuko wakati wa uchaguzi mkuu.
Serikali imeweka...
Salaam.
Kampeni za uchaguzi zimefunguliwa na sasa Kumekucha Tanzania!
Nipende kuwapongeza wanaCCM kwa kufungua rasmi kampeni yao hapo jana (23.08.2015) lakini kwa namna mpya ya kejeli...
UTANGULIZI
Uchaguzi ni tukio la kidemokarasia la kuchagua au kuchaguliwa kupata watakaokupewa madaraka
Si tukio la kupata ''watawala'' bali viongozi watakaotumikia wananchi
Ni muhimu...
Katika binadamu kuna hazina iliyojificha ndani kabisa ya roho ya binadamu, Ni kazi ya fikra kuitafuta kwa kutafakari, na kwasababu pasipo kutafakari hazina hii haitofichuka
Ni wajibu wetu...
Kuna tabia ambazo hufanya mataifa kuendelea na kuna tabia ambazo zikiwepo katika mataifa, kamwe watu hao hawatoendelea. Jamii zozote ambazo zina thamini familia na mahusiano yao katika jamii, na...
With the electricity crisis ever worsening and the budget of the Ministry of Energy and Minerals having been withdrawn amid allegations of attempted corruption of MPs, more and more people are...
Nina uhakika kuna wengi wetu wameshaangalia sinema au kusoma vitabu vya kijajusi ambavyo Wapelelezi wa aina mbalimbali waliweza kupelekwa sehemu na kutulia kwa miaka mingi huku wakifanya kazi zao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.