Ni Lini WatanzaniaTutaelewa Dhana ya Mabadiliko?
NA GODFREY KASSANGA
DHUMUNI kubwa la Tanganyika chiniya TANU, enzi zile za Mwl J K Nyerere, kudai uhuru kutoka kwa Wakoloni lilikuwani kuikomboa...
Katika siku za hivi karibuni dhana ya ukabila/udini na umimi imekuwa inachukua nafasi kubwa sana hasa baada ya msuguano wa kisiasa kuonekana unakuwa mkubwa hapa nchini. Nakumbuka katika hotuba...
Nini tunajifunza kutokana na kinachoendelea kwenye baadhi ya nchi za kiarabu hasa, Libya, Misri nk. Kabla ya mabadiliko ya tawala zao eg. Gadafi na kinachoendelea baada ya hayo mabadiliko...
Is...
Matatizo ya Nchi yetu yameongelewa kwa wingi wake na sasa imefikia hatua wananchi wanakata tamaa na kuona hawana cha kufanya juu ya yanayoendelea kutokea katika nchi yao. Hawawezi tena kukabiliana...
Sometimes I am thinking aloud while watching some of the documentaries:
Historia ya miaka 100 ya meli ya TITANIC, scientists are struggling to find out what went wrong and why the ship which was...
Katika mijadala mingi inaonyesha, inaonyesha kuwa watanzania wengi wanakubaliana kuwa chanzo cha matatizo ya nchi yetu ni uongozi. Wengine wanasema kuwa ni nchi inaongozwa bila dira. Wengine...
HELO GREAT THINKERS
NAOMBENI MNIKARIBISHE HUMU LEO NIMEWEKA MAMBO YA MAPENZI PEMBENI.
NAOMBENI MNIJIBU
KWANINI MZEE WETU NYERERE ALIACHIA MADARAKA MAPEMA BAADA YA KUTOA KATIKA MIKONO YA MKOLONI...
I have not taken enough time to study or read about the Tanzania economy but few days ago I have been asked to have a look ya ripoti mbalimbali na hasa hali ya kiuchumi. Well..almost everybody is...
Viumbe wote hawataki matatizo. Hata wanyama wakali kama simba, hawataki matatizo katika maisha yao, ndiyo maana huchukua tahadhari sana wakati wakiwinda ili wasijejikuta katika matatizo ya namna...
Tanzania kila unayekutana naye na kila idara ya serikali utakayokwenda utaambiwa kuna watu wa Usalama na PCCB
Sasa inawezekana vipi watu wanafanya ufisadi wa kutisha kuanzia mambo ya ndani...
Leo nimeamka nikimfikiria kijana wa kitanzania. Haswa baada ya kupokea maombi ya vijana 6 kwa sms wakitaka niwasaidie kupata mahala pa kujishikiza, kwa 'marafiki zangu'. Mtihani huu mgumu sana...
Naomba kujua kupitia Jukwaa hivi hapa tulipofika Je wa kulaumiwa ni Rais au ni System [mfumo] wetu. Manake hapa Taifa lilipofika system [A system is a way of working, organizing, or doing...
Kumfahamu mtu yeyote ni lazima utazame historia yake ya utotoni aliosoma nao, aliocheza nao... walimu wake... walezi wake, majirani na kadhalika...
Sasa sisi Tanzania ni nadra sana kusikia...
Kuna baadhi ya watu ambao wanataka tuamini kuwa siku Tanzania ikichukuliwa na wapinzani basi matatizo yote ya Tanzania yatatoweka kama ukungu! Baadhi ya watu hawa, hawaishi kuonesha udhaifu wa...
Salamu baba yangu,
Natumaini U mzima baba yangu mpendwa'
Kijana wako naendela kutafuta Maisha huku mjini na usiwe na wasiwasi kwani barua yako kuhusu kibanda chako cha majani kuvuja niliipata na...
Some few months ago (In April to be precise) I wrote this thread: https://www.jamiiforums.com/hoja-nzito/125963-on-the-brink-what-is-troubling-tanzanian-economy.html
In it I asked these...
..hii ni sehemu ya mahojiano ya Waziri Mkuu Mstaafu Sinde Warioba alipozungumza na gazeti la raia mwema.
..alianza hivi:
"Mwaka 1985 hatukuwa na akiba ya fedha za kigeni. Tulikuwa...
Hapana Haja ya Kuiogopa Historia ya Uhuru wa Tanganyika
MohamedSaid
Mzee Yusuf Halimoja karudi tena safari hii anasemakatika kichwa cha makala yake, "Sijasema Uhuru Uliletwa na...
Wadau,
Imekuwa jadi kubwa humu na kwenye mitandao mingine ya kijamii (haswa facebook) kwa watu kumkatisha tamaa sana NAPE na juhudi zake za kukisafisha chama. Kazi hii ni ngumu na mnaelewa fika...
Mods na Admin namomba muiache hii thread hapa kwani inaonyesha jinsi gani wanasiasa wanvyoirudisha nyuma hii nchi
Mary Nagu anasema wazi kuwa hawezi kufanya mkutano wa siku 3 mfululizo kila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.