Tafakuri Tunduizi:
Vijana wa kitanzania wana ndoto za kuishi maisha mazuri. wanahangaika kujenga nyumba zao mbali na mji, wengine itawachukua lifetime kukamilisha ujenzi wa nyumba zao na mara...
Ok enough with punch and judy politics.
With a 2010 population of approximately 43 million, Tanzania apparently the 7th most populous country in Africa. Our annual population growth rate is...
Nakala hii imebeba mambo matano makubwa
1. Historia ya daraja la kigamboni
2. Ufisadi
3. Uwezo na tabia ya magufuli
4. NSSF na kutoa misaada
5. UUzwaji wanyumba za serikali
Update:
1...
Umewahi kujiuliza kwa nini nchi za Ulaya zinaendelea kutajirika kila kukicha huku za kwetu zikiendelea Kumasikinika?
Umewahi kujiuliza kwa nini wakati Life Expectancy kwao Ikiongezeka kwetu ndiyo...
I am forced to post this kwenye jamii intelligence kwani naamini mgomo wa madaktari umesababisha huge damages to our system na hasa kwenye kulinda usalama wa raia ingawa media na serikali...
Ikulu wanasema kuwa kuwa na website sio muhimu
Staff wa ikulu wanatumia e-mails za YAHOO
Ikulu wanasema kwa mwenye malalamiko anashauriwa aandike kwenye official e-mail ya ikulu...
Wakuu,
Ni muda sasa toka nianzishe mada yoyote hapa JF. Sababu zipo nyingi ila kubwa ni kukosa muda.
Hivi kweli migomo ya mara kwa mara ndio suluhisho la matatizo ya wafanyakazi au wanafunzi au...
Pamoja na ukweli kwamba vyama vingi vya siasa Tanzania vinaendeshwa kwa mujibu wa Katiba, Kanuni, na Taratibu, pia kuna ukweli kwamba vyama vyote vikubwa CCM, Chadema na CUF, vina udhaifu mkubwa...
Kwanini Waziri Magufuli amekosea Tunapoongelea utawala wa haki na sheria tunazungumzia ufuataji wa sheria na taratibu zilizopo katika uendeshaji wa nchi yetu kila siku kwa maana tunajua nchi...
Habari zilizozagaa mtaani ni kuwa Bakari mwapachu, yule mzee aliyeshindwa ubunge na Omar Nundu kule Tanga analobby Kikwete amteue kama mwenyekiti wa shirika la ndege la ATCL. Ukweli ni kwamba kama...
Monday, 05 December 2011 21:07
Gavana wa BoT, Profesa Benno Ndulu
Ramadhan Semtawa
BENKI Kuu Tanzania (BoT) imesema haitakurupuka kuamua kulipa au kutolipa madeni yaliyopo katika Akaunti ya...
Heshima wanajamvi.
Historia ya Tanganyika kabla ya uhuru na baada ya uhuru imeacha mambo mengi mazuri ambayo si vibaya tukajaribu kuyapitia kwa faida yetu na vizazi vijavyo.
Ningependa kujuzwa...
By JENERALI ULIMWENGU
Posted Sunday, November 6 2011 at 13:11
For a country that once had ambitions of becoming a self-reliant nation, Tanzania is a surprisingly donor-dependent place.
The...
Wakuu pole kwa majukumu mengi ya kujenga taifa hili gumu.
Mie nimepata shida kidogo. Nimekuwa nikiona matangazo mengi kuwa kuna sherehe kubwa sana zaja za kusheherekea miaka 50 ya uhuru wetu...
Naamini kabisa hakuna serikali isyo kosa mazuri yake na mabaya yake japo uwiano kati ya mazuri na mabaya ndiyo hutofautiana. Vivyo hivyo naamini serikali ya awamu ya nne haikosi mazuri yake na...
Ee Bwana, kumbuka yaliyotupata, utazame na kuiona aibu yetu. Urithi wetu umegeuka kuwa mali ya wageni, na nyumba zetu kuwa mali za makafiri... tumekunywa maji yetu kwa fedha na kuni zetu...
Wadau, natamani sana CCM ishindwe uchaguzi Igunga, lkn akili yangu haikubali kabisa kuwa CCM, hata ikishindwa; itakuwa radhi kuachia Jimbo la Igunga kwa sababu zifuatazo;
1. Kushimdwa na kuachia...
Ipo wazi sana sasa kuwa hali ni mbaya!
Kwa yanayoshuhudiwa kutokea katika medani ya siasa zetu,
Hali mbaya hii imefasiliwa na kila msoma alama za nyakati,
Wadau mbalimbali kutoka kila kada wametoa...
To those JK knows personally, I imagine, he is probably quite a nice man.a loving father; a loving husband & obviously, someone who looks out for his friends.
But unfortunately personal isn't...