Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Habarini wana jukwaa, kwa muda mrefu sijashiriki katika jukwaa hili ingawa mara kadhaa nimekuwa nikiingia kama mgeni, kuna jambo ambalo nahitaji undani wake kama kuna mtu ambaye atakuwa anaelewa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hivi nyie mnaendeshaje hii. Ebu nijibuni ni lini tutaanza kutumia currency moja mana sasa hv hatuelewi huu mfumo wa kutumia noti za aina mbilimbili utaisha lini? Wageni wanatuona nchi nzima kama...
0 Reactions
0 Replies
882 Views
Heshima yenu wakuu. mimi nmejaribu kujiuliza baadhi ya mambo yananichanganya lakini bado yanaendekezwa. ukiangalia noti mpya zilizotoka zimeharibu historia ya Tanzania.hizo noti zinasomeka...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Viongozi wa dini ya kiislaam mkoa wa DSM wamelaani mauaji ya canar Ghadaffi. Wamesema Ghadaffi amejanga misikiti mingi sana barani Africa ikiwamo Tanzania. Pia wamesema pale Dodoma Ghadaffi...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
  • Closed
CCM walitangaza Kuvuana Magamba Kukinusuriu Chama, kwa Kuanzia Wakawapoint wananchama wake Watatu kwamba Ndiyo Magamba Ndani ya Chama na kwamba wakijivua Uanachama pamoja na Nafasi zao zote basi...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
WanaJF naomba kujua kama kweli jana Umma uliweza kumfikishia ujumbe Kikwete kuwa hatumtaki na tumemchoka huku nchi ikiwa imemshinda.
0 Reactions
48 Replies
6K Views
Kwa mujibu wa taarifa zilizotoka jana kutokana na utafit ulofanywa kuhusu rushwa Afrika mashariki na kati, Tanzania katika nchi tano za ukanda huo imepanda hadi kuwa ya tatu,tofauti na ambavyo...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
tanzaniaaaaaaaaaa tanzaniaaaaaaaaaaaaaa nakupenda kwa moyo woooteeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee eeeeeeeeeeeeeeehnchi tamu tanzaniaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa jina lako ni tamuu...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimekuwa nisikia watu wengi wakidai kuwa vijana wa Libya huwa wanalipiwa maali, wana pewa nyumba n.k wanapo-oa. Mbali na hilo nilishasikia kwamba huduma muhimu za kijamii kama vile maji, umeme na...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
kwa wanywaji wa beer wanaijua beer ya WINDHOEK. Kinywaji hiki kinautangaza mji mkuu wa nchi ya Namibia unaoitwa Windhoek. vipi Tanzania Breweries (TBL) wasiutangaze mji wa Dar es salaam kwa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ndg.wanajamvi mimi na wengine 2napenda kujua,hivi ni nchi ngapi au zipo?ambazo zinatoa huduma kwa wananchi kama alivyokuwa Gaddafi na walibya.Make watz wengi sasa point yao juu ya Libya ni kuhusu...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wana jf nimepita tanesco makao makuu ubungo nikaona waandishi wa habari kibao sijui kuna nini anayefahamu atujuze usikute shirika linauzwa hatujui
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Jana kulikua na hali tete pale UDSM hasa baada ya wanafunz wa chuo hiko kuanza kunyanyua mabango na pia kumzomea!kwao wao ndo ilikua ndo njia pekee ya kufikisha ujumbe huo kwani hawakua na njia ya...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Mwendesha mashtaka mkuu ezekiel feleshi amewasilisha hati ya kufuta kesi iliyokua ikiwakabili watu 2 akiwemo meneja muhindi wa hotel ya SBR. Wana jf ina maana yule kijana kauliwa na nani...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Jamani wadau binafsi nina watu 20, na wazee wakiwemo ambao wamekubali kusaidia kuitoa CCM madarakani kwa kuinyima kura zao 2015.JE WEWE UMEWAELIMISHA WANGAPI JUU YA UMUHIMU WA KUPIGA KURA NA...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wapendwa salam, Shirika la utangazaji la Taifa TBC limekuwa likirusha vipindi maalumu kadhaa featuring makampuni na authorities kama TANESCO na EURA to name the few, katika vipindi hivi ambavyo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
What ever the truth is about the man killed in Pakistan and dumped 'Islamically', but in secret, into the Arabian Sea, whether that man was Osama Bin Laden or not, in his real life, Osama Bin...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wakuu nipo ndani ya al saedy natoka dom naelekea dar, kwa naomba zile namba za maofisa wanaohusika na usafiri naskia walitoa juzi ili kikiwaka tu nitoe taarifa.....safari njema kwangu
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Wanafunzi UDSM wachafua hali ya hewa ujio wa JK Source: Mwananchi Thursday, 20 October 2011 By Fidelis Butahe; WANAFUNZI wa Chuo Kikuu Dar es Salaam (UDSM) jana walichafua hali ya...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ndugu Mwana JF, Unatoa ushauri gani kwa hawa watu waliojihalalishia nyumba za serikali??endapo serikali nyingine itaingia madarakani kutoka nje ya CCM??na wakati wameishashusha maghorofa?? Je hiyo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom