Kutokana na kauli ya mbunge wa ilala bungeni kuwa wakenya wameingia mkataba na china ili Wajenge bandari ya Mombasa iwe ya kimataifa kwa nia ya kuzuia meli zisije Tanzania imetushtua wengi...
Mzee Farijara Hussein kada maarufu wa chama cha mapinduzi, siku ya ijumaa katika kipindi cha jambo Tanzania, kinachorushwa hewani na TBC1, alimtamka Dk. Jakaya Mrisho Kikwete ni al-hajji.
Tena kwa...
Imemkuta housegirl mmoja hapo mji kasoro bahari.Yeye alikuwa na jukumu la kumlea mtoto wa mwajiri wake ambaye inasemekana alipatikana kwa nguvu za madawa ya 'kalumanzila'.Siku moja huyo housegirl...
Kuna habari kuwa nyumba ya Mbunge wa Mbinga Magharibi Kpt John Komba iliyopo Litui-Mbinga inaungua. Tafadhali kwa mwenye taarifa zaidi au aliyeko-site.<br />
<br />
Source: Radio Wapo
Clouds Sasa kwa kweli Mna Boa... Kama Huyo Ruge Anahoja na anaona SUGU anamuonea Basi aitishe Press Conferrance na Ajibu Hoja Otherwise Kama hamna vya Kutangaza Zimeni hiyo radio. Mimi anayoongea...
Gazeti la Mwanahalisi liliweka scanned document ikionyesha Hoteli aliyofika Malima huko south na jina likiwa limebadilika.
Je Malima ame respond popote tangu kutoka gazeti,naomba mnijuze
Retired General Mirisho Sarakikya has flown to the United Kingdom for a reunion session with over 100 fellow Royal Military Academy Sandhurst alumni who were commissioned at RMAS fifty years ago...
Brethren, waswahili husema "kizuri mgaie na mwenzio" JF ndio ndio wenzangu. Kwa sasa kwa "Sisi" tunaopenda kutumia fursa za bure kurahisisha mawasiliano tumepata fursa Mpya to GMAIL ambapo hata...
Swali: naomba kuuliza ni kwanini siku zote kaburi huchimbwa kwa urefu wa futi Sita(6) kwenda chini? nimekuja kugundua kipimo hicho hakitumiki kwa Tanzania tu bali na sehemu nyingine duniani. Ni...
Wik iliyopita tuliona jinsi boss wa polisi anavyojaribu kuwaonyesha wabunge jesh linavyopiga kazi,! akisema jesh letu linazingatia USASA NA WEREDI..! Wewe mwema..usasa na weredi upi zaid ya...
Jamani hivi hili shirikisho la mpira wa mguu Tanzania{TFF}lina nia dhabiti ya kuendeleza soka la nchi hii?,mbona limekuwa ndio chanzo cha fitna, kuonyeshana ubabe,na hasa club mbili za simba na...
Kwa wale waliokuwa wanaijua atcl enzi hizo habari zilizopatikana wizarani na a kuthibitishwa na baadhi
ya wahusika wa wizara zinasema mh omar nundu amemteua mr chizi mfanyakazi aliekuwa...
Askari waliohusika kwenye mauaji yaliyomhusisha Zombe hawajakamatwa hadi sasa.Je polisi wameshindwa kuwapata au wanawaficha kwa kuwa ni wenzao?Watakuwa wametoroka nchi au wametoroshwa?
Kampuni ya Simon Group ambayo ina hisa kwenye Shirika la Usafirishaji Dar es Salaam (UDA) imekiri kuingiza sh. milioni 400 katika akaunti binafsi ya waziri wa zamani wa Viwanda na Biashara, Idd...
MNYAA: KASI YA MWEMA POVU LA SODA
Mbunge wa Mkanyageni (CUF), Habib Mohamed Mnyaa, alisema kasi aliyoingia nayo Mwema siyo kama ilivyo hivi sasa na kuifananisha na povu la soda.
Alisema ili kutii...
1. Mtafute jamaa mmoja (Jamaa X) kutoka nchi ambayo mnaweza kuipiga kirahisi
2. Piga nae dili mpromise ten percent yake
3. Lipua mabomu mawili matatu kwenye nchi yako kwenye maeneo yanayoweza...
Guys!
The above is an office for the DMO of Chunya District in Mbeya Region.
In fact it is this district where our honourable President was stoned by residents.
Does our Doctors deserve to work in...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.