Kulingana na maono na fikra sahihi za waungwana ndani ya jf,zenye mwangaza imara wa mapambazuko Tanzania, nashauri kwa mtu yeyote mwenye ndoto ya kuwaongoza watz kwa ngazi yoyote ile ktk ardhi ya...
UONGOZI WA SHULE YA AZIMIO DODOMA AMBAYO IMEJIPATIA UMAARUFU KWA KUCHAPA VIBOKO WANAFUNZI,
IMEWAFUKUZA SHULE WANAFUNZI WAFUATAO KWA KUWAKAMATA NA SIMU CHOONI WAKATI WA USIKU,na uongozi wa shule...
Leo nimekumbuka ule mchezo wa Jackpot Bingo uliokuwa unaendeshwa na ITV. Mchezo ule ulimnufaisha saana bwana Mengi kutokana na ugeni wake na uelewa wa wachezaji! Katika hali ya kawaida, hivi nani...
20. A snail can sleep for three years.
21. All polar bears are left handed.
22. American Airlines saved $40,000 in 1987 by eliminating one olive from each salad served in...
Nilikuwa kwenye harusi ya Jaquline Mjengwa, binti wa Kanali Mjengwa aliyewahi kuwa Mbunge wa Rujewa, Kanali Joel Ramadhan Mjegwa.
Kituko nilichokiona kwenye harusi ile ambayo ilikuwa ikiendeshwa...
Wakuu, natumai wazima wa afya! Mi ni mkazi wa jimbo la ubungo, kuna tatizo limejitokeza, hvyo nahitaji kuwasiliana mhe. mbunge wangu, nilikuwa naomba msaada wa namba ya simu ya mhe.John...
Oil Firm Floors TRA in Sh15.6 Billion Tax Row
Bernard James
July 2011
Dar es Salaam The Tanzania Revenue Authority (TRA) has lost a bid to have a Norwegian oil...
Wapinzani waibua ulaji wa mamilioni kwa posho Nishati na Madini
Send to a friend
Friday, 15 July 2011 20:28
0diggsdigg
Fidelis Butahe, Hussein Issa
WAKATI Kambi rasmi ya Upinzani...
Jamani wana wa jamii forums naomba kupata mchango wenu juu ya hili. Mara nyingi sana nimekuwa nikifuatilia utekelezaji unaofanywa na serikali kufuatia ripoti za tafiti mbalimbali kuhusu ufumbuzi...
Inawezakana unatamani kuwa mwanachama wa CHADEMA lakini hujui mahala zilipo ofc. Kuna wana-JF wengi ambao wanatoka sehemu mbalimbali Tanzania bara na visiwani zilipo ofc za Chadema.Tafadhali toa...
Jamani wana wa jamii forums naomba kupata mchango wenu juu ya hili. Mara nyingi sana nimekuwa nikifuatilia utekelezaji unaofanywa na serikali kufuatia ripoti za tafiti mbalimbali kuhusu ufumbuzi...
jamani nimeenda kwa rafiki yangu akanieleeza haya mambo nilichukua muda kukubali nikasema Mungu hivi Tanzania umeamua kuitenga kabis ajamani......kampuni ambayo aina hata miaka mitatu inaleta...
.....you dont have free will,,,,,you have the appeallants of free will,,,,you have free will of which toothpaste you use or which beverage to order, or which lunch but humanity doesn't mature...
Kwa nature ya watu wa hapa tarime,hatukupaswa kuongozwa na magamba,tamaa za watu wachache zimetupotezea jimbo letu kwa miaka mi5,inaniuma sana hali hii hasa ninapoliona hili gamba walilolichagua...
Pimp my rice paddy
19 Jul 2007
Each year, farmers in the town of Inakadate in Aomori prefecture create works of crop art by growing a little purple and yellow-leafed...
Kwa wale wa kemondo... mwasibayo muta waitu,wa Longido... subahi,wa Nyungu ya mawe... Moniri,wa kama ni vita... Mbuyole,wa mwisho wa reli... mlakomeye,walina asali... Mwandila,wanyalukoro...
Nimeenda hospitali moja huku Kaskazini, nilipoambiwa kutaja jina langu nikawatajia majina mawili ambayo yanatokeaga ktk oficial documents zangu zote. Wakanambia wanataka majina matatu na ni lazima...
Kama CHADEMA mmeanza hivi sasa hivi tu je mtaweza mkipewa nchi?
Tunataka maandamano ya nchi nzima kumtaka Ngeleja ajiuluzulu! Tumechoka kabisaaaaaaaaaaaaaa na mgao na huu sio mgao ni wizi...
Anavaa kanzu nyeupe, na anadai anumwa mguu kawekewa chuma na pia ana kisukari!!
yeye hana makuu, anajigongesha tu kwenye gari lako then anaanguka, badae anataka umpeleke
hospitali then anakuomba...
Kwenye kuchangia mjadala wa bajeti ya wizara ya ulinzi na kujenga taifa Zitto alitaka kujua tamko la serikali juu ya Meremeta, wazira akapiga chenga ya mwili na mwishoe akasema Mtoto wa Mkulima...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.