Yaani mnakuwa kama watu wa ajabu inakuwaje kuwaje mnaiungisha ITV na CNN au BBC ,naona huu ni uzezeta na kijidhalilisha ,mbona wao huko hawaiunganishi ITV na BBC au CNN nina wasiwasi hata hawajui...
Cleric claims to have discovered HIV/Aids `cure`
Charles Ole Ngereza
Hundreds of people living with HIV/Aids from different regions yesterday thronged the residence of a former priest with the...
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) inatangaza bei elekezi na bei kikomo za mafuta ya petroli hapa nchini. Bei hizi zitaanza kutumika kuanzia Jumatano, Tarehe 10 Novemba 2010...
Wakuu jana baadhi ya mahujaji wamekwama airport kwa kile kinachodhaniwa ni kutapeliwa na mawakala wa kuwasafirisha.
Lakini hii mbona imeanza kua tabia na imejitokeza hasa katika kipindi hichi...
Kwa zaidi ya wiki moja sasa mji wa kigoma umekuwa katika shida kubwa ya maji ambapo wananchi wanailalamikia serikali ya mkoa huu kutokana na tatizo hilo. Mamlaka ya maji (KUWSA) katika kuelezea...
Source: Yahoo friends
Mobile Phone Tips
----- 4 THINGS YOU PROBABLY NEVER KNEW
YOUR MOBILE PHONE COULD DO
There are a few things that can be
done in times of grave emergencies.
Your...
[B]CCM YEYE TWAONA ANA MABAYA TU HANA MAZURI, ILA CHADEMA YEYE NI MAZURI TU,wadau rejeeni post aliyoweka ndugu Ng'wanangwa "VIKUKU BUNGENI",ivi alipoamua kuwaweka hao wanawake hapo ili tuwaone...
Tulizungumza sana wakati wa uchaguzi kwamba CCM inachukua pesa kutoka kwa wafanya biashara iwe kwa mtindo wa kuchangia (kinafiki) au kwa kulazimishwa (kutishwa). Katika hali hii tulitazamia kuona...
Wanajamii nimekutana asubuhi hii pale ubungo Bus terminal na kijana aliye chaguliwa kuanza masomo pale IFM Kozi ya Banking and Finance. Amenyimwa mkopo na loan board hata wa asilimia 0. Tuition...
It is not my aim to diverge you from current political issues burning but I want us to think of other important issues at hand. It is no secret that much of our leaders have no interest in...
Kwa nini pccb wanamsafisha chenge wakati sfo bado hata awaja aanza case courtini huko uk... I think they should stop acting on the orders of the top commanders when doing their work and stick to...
Ungeliwategemea CC ya CCM kuwa imejifunza kutokana kujiingiza katika kudumaza demokrasia hapa nchini pale ambapo waliwachagulia waliotoa maoni ndani ya CCM wale wagombea ambao hawauziki na...
Gazeti la "Habari Leo" la leo limetuhabarisha ya kuwa mitihani ya kidato cha pili imeibwa....................Hili sakata za kuvuja kwa mitihani Baraza la Mitihani sasa limekuwa ni ngonjera ambayo...
Huyu mheshimiwa magufuli jamani anastaili kupewa wizara nyeti maana sasa anakuja na vituko eti sheria ya kunyanyasa wanyama kwa bongo ityawzekana kweli msikilize kwenye hii audio clip...
Woman puts red-hot knife in girl's genitals
From MARC NKWAME in Arusha, 10th November 2010
ARUSHA is increasingly becoming home to bizarre incidents as evidenced, this time, by a blood...
Tangu kuwepo kwangu kwenye hii Forums nimekuwa nikiona hoja mbalimbali!!ila nimeona Jukwaa lenye umaarufu nijukwaa la Mahusiano, mapenzi, urafiki Ukitoa kipindi cha uchaguzi! anayepingana na mimi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.