BAADHI YA MARAIS WA AFRIKA NA UMRI WALIO NAO
Hosni Mubarak ( Misri) miaka 82
Robert Mugabe ( Zimbabwe ) 86
Hifikepunye Pohamba ( Namibia ) 74
Rupiah Banda ( Zambia ) 73
Mwai Kibaki ( Kenya )...
Kwema jamanii washika dau? Hivi mnajua kwamba sasa Dar ni hatari sana kwa wale wanaotembea wamening'iniza laptop zao mabegani? Ndugu yangu kuna watu wako standby kuipora na kukimbia nayo. Najua...
Siku chache zilizopita nili-post makala moja kwenye tovuti ya Vijana FM | Karibuni kuhusu suala la utoaji mimba. Makala ni kama ifuatavyo: Vijana FM: Utoaji mimba
___________________
Kuna mambo...
Ni siku chache tu zimepita Rais kikwete amewabeza wafanyakazi na kutolea mifanoya mbayuwayu.
Sasa anajifanya kutembelea Dar es Salaam, najua atajifanya kuongea na wafanyakazi ktk maeneo yenu...
Judge Holds Woman In Contempt Because She Was Offended By Her T-Shirt
Jennifer LaPenta did not even have to be in court the day she was held in contempt and jailed. The 20-year-old woman...
KIJANA mmoja mwenye umri wa miaka 27 anatuhumiwa kumbaka kikongwe wa miaka 70, ambaye anasadikiwa kuwa ni bibi yake, na baadaye kumuua kwa kumchinja.
Kikongwe huyo, Kulwa Mahona, ambaye ni...
LEO katika gazeti hili tumechapisha habari inayomkariri Rais Jakaya Kikwete akipokea faru watano weusi kutoka Afrika Kusini akikiri kuwa ujangili na imani za wanaume wajinga kuwa unga wa pembe...
Maoni ya Katuni
Ni habari njema kufuatia taarifa kwamba huduma za usafiri kwa njia ya Reli ya kati kutoka Jijini Dar es Salaam kwenda mikoa ya Tabora...
Rais wa Zanzibar, Amani Abeid Karume.
Wakulima 417 katika bonde la mpunga la Mtwango, Zanzibar, wamekwama kutumia materekta mapya katika msimu wa kilimo...
Nimeona mara nyingi watanzania wanasafisha pua zao kwa kutumia vidole halafu wanataka kukupa mkono wakati wa kusaliamiana au (kwa wale wakristu kupeana amani kanisani), kushika milango vitu...
Njaa yakimbiza wanafunzi shule
Jumla ya wanafunzi 1,368 wa shule za sekondari Wilaya ya Handeni mkoani Tanga wamegundulika kuwa ni watoro kutokana na sababu mbalimbali ikiwemo ya kukosa chakula...
Mzee Ruksa aliwahi kuwaambia Taifa Stars kuwa wanafungwa mno mechi za kamataifa kiasi kwamba watu wa nje kutuona Tanzania kama kichwa cha mwendawazimu. Hivi na serikali ya CCM inayoongozwa na...
Jana nimebadilisha kata na jimbo la uchaguzi katika daftari la kudumu la wapiga kura. Mwandikishaji akaandika majina mawili tu badala ya matatu ambayo nilikuwa nimeandikisha awali (Jina la kwanza...
Ni tukio amablo limekuwa likijirudia karibu kila mara raia wa Somalia wamekuwa wakikamatiwa mjini Iringa pale kwenye chepoint ya polisi (Igumbilo).
Shida niiipatayo ni kuwa inakuwaje wanavuka...
Maoni ya katuni.
Kuna kila dalili kwamba ujambazi unarejea kwa kasi hasa kwenye maeneo ya pembezoni mwa Jiji la Dar es Salaam. Katika siku za hivi karibuni...
Waziri wa JK ashinikiza dhamana kwa watuhumiwa
Ni waliokutwa na viungo vya binadamu, DC, Polisi wakiri kupata maagizo
MMOJA wa mawaziri wa serikali ya Rais Jakaya Kikwete anatuhumiwa...
Je hukumu dhidi ya Liyumba leo inaweza kuwa ya pili baada ya kusota gerezani kwa muda mrefu tu kutokana na kunyimwa dhamana?Je kesi hii ina 'mengine binafsi' zaidi ya ubadhirifu wa fedha za...
They stabbed and pierced the body of the young boy Simon of Trent. They have also murdered other children...The sun never did shine on a more bloodthirsty and revengeful people as they who imagine...
NI WALIOKUTWA NA VIUNGO VYA BINADAMU, MKUU WA WILAYA, POLISI WAKIRI KUPATA MAAGIZOEditha MajuraMMOJA wa mawaziri wa serikali ya Rais Jakaya Kikwete anatuhumiwa kushinikiza kuachiwa kwa dhamana...
Nimeona hii makala na nikajiuliza je hali kama hii inawezekana hapa bongo au itakuwa ni uhaini?
Australian Micro-Nations: Rebels Begin Home Rule After Rejecting Local Council Authorities |...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.