Bil. 90/- zatumika kuwalipa walinzi wa Kiwira
na Moses Ng?wat, Mbeya
WAFANYAKAZI wa kampuni ya ulinzi ya New Imara Security wanaolinda mgodi wa makaa ya mawe wa Kiwira wanalipwa malimbikizo...
WAKATI Serikali kupitia vyombo vya Dola ikipambana na dawa za kulevya nchini na kutangaza kila mara watu inaowakamata kwa tuhuma za kuhusika na dawa hizo, polisi mwenye cheo cha Konstebo wa Dar es...
When thinking of the "new breed" of celebrity - from the Kardashians to Paris Hilton to the stars of "The Hills" - fame seems to depend on the fact that they're already fabulously wealthy. Well...
Wana JF nimekuwa nikifuatilia historia ya Tanzania na hasa ya viongozi wake na nimegundua njama za makusudi zikifanyika kuipotosha.
Kwa faida ya vizazi vijavyo ni jukumu letu popote pale tulipo...
Mkijirekebisha Mtakaribishwa!
Siku moja nilikuwa nimesimama sehemu fulani nikizungumza na mwenzangu mmoja. Akapita kijana mmoja. Nilikuwa nikimfahamu siku nyingi. Alikuwa ni kijana mwenye...
CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimewashambulia viongozi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) kikiwashutumu kwa kuwavalisha Watanzania fulana za kunadi sura za viongozi wake, badala ya...
Na Mbasha Asenga
SAFARI hii tumekuwa makini sana katika kufikia mkataba na Rites kuendesha TRL, hii ilikuwa ni sehemu tu ya kauli ya aliyekuwa Waziri wa Miundombinu, Andrew Chenge, wakati...
NINA kila sababu ya kumtukuza Mungu kwa uzima na afya, pia natoa pole kwa Watanzania kwa kuwapoteza ndugu na jamaa zao katika ajali iliyotokea Alhamisi wiki hii eneo la Kibamba, jijini Dar es...
Mchungaji Mtikila apata pigo
na Datus Boniface
MWENYEKITI wa Chama cha Kidemokrasia (DP), Mchungaji Christopher Mtikila, amepata pigo baada ya Naibu Katibu Mkuu wa Wanawake wa chama hicho...
Kwa niaba ya familia nawatakia Ibada njema wale wote wenye mapenzi mema na wanaotaraji kwenda kumuabudu mungu katika roho na kweli siku ya kesho
usikubali kukaa nyumbani nenda ukamwabudu mungu...
MWANASIASA wa siku nyingi, Sir George Kahama ameungama mbele ya Rais Jakaya Kikwete, mambo matatu ambayo hakuyafanikisha wakati akiwa mtumishi wa umma na mojawapo ni ujenzi wa Makao Makuu ya Taifa...
ONENI HII. JK NYERERE ,1994.........
Nchi yetu bado changa. Tusione haya kuendeleza taratibu ambazo zinaonekana kuwa zinafaa, na wala kubadili zile ambazo japokuwa huko nyuma zimetufaa, lakini...
Dk Slaa awashukia Spika Sitta na WeremaHemed Kivuyo, Arusha
MBUNGE wa Karatu Dk Wilbrod Slaa, amewashukia spika wa bunge, Samuel Sitta na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Warema...
jamani nashindana na kabinti fulani kanangangania kudeka kila siku kakiwa kwa mama yetu ndogo..ni 25 yrs lakini kakienda kwao pamoja na kuolewa kama kachanga kanavyoishi sasa huu ni ugonjwa ...
Kuuliza sio ujinga wanakwetu, kutojua ndo ujinga!!
Nisaidieni nijue maana /madhumuni/sababu na faida ya diaspora maanake nimengia kwenye blog ya michuzi naona picha na maelezo kibao ya...
Matukio ya raia kufa kwa ajali za umeme wilayani Moshi kufuatia hitilafu za wazi katika miundombinu ambazo TANESCO walitaarifiwa mapema na zikapuuziwa sasa yamezidi. Hivi majuzi kafa baba mmoja...
Muda unaenda wacha twende zetu makumbusho ;nikaona ni vyema tutakiane heri na fanaka bila kuwekana sawa kwenye uhai wetu..si wote wale wenzetu wanaolewa wanajishindwa kujihimili basi kumbuka hata...
Captain Adeline Champagnat, a senior member of the police cyber crimes unit, said the 25-year-old man gained access to passwords of Twitter administrators and used them to try to break into the...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.