Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Ndugu wapendwa napongeza kwa viongozi wa vyma vya wafanyakazi katika kudai maslahi yao,..kwa upande wangu napendwa kuwaweka wazi hata mwenyekiti wa hivyo vyama,..vyama hivi hivi vimekuwa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mbunge wa Mbarali, mkoani Mbeya, Esterina Kilasi (CCM), amezua mjadala na malalamiko kutoka kwa wanachama na viongozi wa chama hicho katika wilaya hiyo, baada ya kuwamwagia makatibu wa siasa na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
The Guardian - 24th March 2010 About 720 pupils squat on the floor for eight hours daily Only 17 teachers for 1,080 pupils; two toilet holes for all...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hi Jf Tupeane updates ni wapi sehemu ya vituo vya uandikishaji updates za daftari la wapiga kura Binafsi nataka kujua Sinza ni sehemu gani, na wengine pia watakuwa wanataka kujua sehemu gani...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Jamani kwa wale tulioko Bongo, hasa tunaotumia ulabu aina ya Tusker tunateseka sas hivi maana Tusker zimeadimika kwenye mastarehe yetu. kuna anayejua nini kimetokea?
0 Reactions
11 Replies
2K Views
By David Leonhardt updated 8:05 a.m. ET March 24, 2010 For all the political and economic uncertainties about health reform, at least one thing seems clear: The bill that President Obama...
0 Reactions
0 Replies
867 Views
Hebu leo tuangalie mfano huu wa imani kwa kusoma habari hii ya mwanamke aliyekuwa akitokwa na damu, katika kitabu cha Marko 5:25-34. Nitanukuu “Na mwanamke mmoja mwenye kutoka damu muda wa miaka...
0 Reactions
10 Replies
5K Views
Wakuu, Niko kwenye hard time! Nimeachiwa familia ya Mzee mmoja ambae ameenda zake kijijini kulima baada ya kustaafu, ili niwaangalie watoto wao, lakini wanaendelea kuishi kwenye nyumba yao...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
The government is finalizing the process of re-possessing all shares in Tanzania Telecommunications Company (TTCL) after Zain pulled out of the partnership. Communications, Science and Technology...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kila sekunde moja wanazaliwa watoto watano hapa duniani, na wakati huo huo watu wawili wanafariki dunia, achilia mbali zile mimba zinazoharibika. Maana ya tofauti hiyo kati ya vizazi na vifo ni...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
SHEHENA ya kontena 20 za betri aina ya Tiger Head kutoka China zimekamatwa kutokana na kukosa ubora na viwango vya matumizi ya bidhaa hiyo.Kontena hizo zimekamatwa katika operesheni ya Shirika la...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Asia: Vijana hukaa na wazazi hadi anapofikia wakati wa kuoa na akisha oa au kuolewa huchagua mzazi mmoja na kuishi kwake kwa muda fulani ndipo huanza maisha. Australia: Mabinti huwaomba...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
WANAFUNZI wa vyuo vya elimu ya juu nchini wamemcharukia Waziri wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi Profesa Jumanne Maghembe kutokana na agizo lake la kufuta mfumo uliopo wa serikali za wanafunzi katika...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wana JF, Jana nilikuwa na Dine na rafiki yangu mmoja, binti wa Kijerumani katika mghahawa mmoja marufu ulioko maeneo ya Masaki.. Yeye, yuko hapa nchini kama Expert akiwa anafanya kazi katika...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
HUENDA ikawa ni swali la jumla mno kuelekea uchaguzi na nini wapinzani wafanye. Ukiangalia historia ya uchaguzi, tangu ule wa wa kwanza wa vyama vingi mwaka 1995 maswali mengi yanajitokeza...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
wanajamii mnaikumbuka hii miaka hiyo yaani vitabu vile vilikuwa na mafunzo sana na maadili pia kwa tuliosoma enzi zile tujikumbushe bas kwa hadithi hii kisha tuitolee maoni Brown ashika tama...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Kila mgombea nayemsikiliza anasema wananchi wameniomba nigombee niwe kiongozi wao wameniona nafaa.....mimi huu msemo hauningii kichwani hata kidogo. Nafikiri wewe kama kiongozi au unataka kuwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Tanzania yesterday lost its bid to sale part of its ivory stockpile by single vote. The Convention on International Trade in Endangered Species (Cites) meeting in Doha, Qatar, rejected the...
0 Reactions
0 Replies
679 Views
Kuna wanawake wengine bwana wameolewa lakini mambo yao tofauti utasema wenzangu na mie tunaotafuta kupiga mizinga;utakuta mwanamke kaolewa ana mume mlokole ama ametulia lakini kutwaa akirudi...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
MWENYEKITI wa NCCR-Mageuzi, James Mbatia amesema chama chake kitamuunga mkono Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe (Chadema) endapo atagombea ubunge katika jimbo lolote mkoani humo. Sambamba...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom