Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Salaam WanaJF, Nimejikuta nikiukumbuka utaratibu wa aliyekuwa naibu waziri mkuu na waziri wa mambo ya ndani ya nchi ndugu yetu Mrema. Ukiwa unatoka Ubungo kuja Fire pembeni ya barabara kuna...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
http://lobsangrampa.org/data/Meditation.mp3
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Marehemu Swetu Fundikira Inaniwia vigumu sana kutoa shukran kwa mtu mmoja mmoja au kwa makundi kutokana na ushiriki wenu kuanzia kujeruhiwa mpaka mazishi ya mpendwa wetu Marehemu Swetu Ramadhan...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
http://lobsangrampa.org/data/Prayer.mp3
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wana jamvi asubuhi hii naelekea mkoani Singida hii ikiwa ni mara yangu ya pili baada ya miaka miwili; naambiwa mkoa umepiga hatua kimaendeleo; nakwenda kujionea! Lakini naleta kwenu kuwa huu ni...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Jamani inakuwaje Tanzania yangu wakati huu wa kuelekea kwenye Uchaguzi? Majambazi wamevamia hapa Shekilago dukani kwa jamaa na kupora pesa na watu 2 wamejaruhiwa na watu wote tuko ndani tumeogopa...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
WATU wanne wa familia moja wamekufa baada ya jenereta lililokuwa limefungiwa ndani ya nyumba hiyo kupasuka na kuwaka moto. Tukio hilo limetokea usiku wa kuamka leo, Kibwenzini Zanzibar wakati...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari kutoka kituo cha tv TBC nimeibamba hii usiku wa leo.... sijui ndiyo tuite maajabu/Miujiza ya yesu au mazingaombwe..Kyeruuu!...kijana ickson aliyefariki like kiezi kadhaa iliyopita,Leo...
0 Reactions
56 Replies
5K Views
Serikali ya Congo yazuia uuzaji madini Ng'ambo Kampuni kumi na sita za kuchimba madini zimepigwa marufuku ya kuuza bidhaa zao katika nchi ya ngambo, na utawala wa mkoa wa kusini mashariki mwa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kama tulijifunza tokea utoto wetu kuipenda sana nchi yetu Tanzania kwa Mioyo yetu yote na kuiota kila tulalapo na kuona heri kila tuamkapo, .... Na kama tunaiba tokea utoto wetu, mungu...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Maji yameingia mdudu.....heri kuchimba kisima chako mwenyewe....ili uyafaidi yaliyo salama, chupa kubwa na ndogo zote ni hatari....mengine hupatikana bure, unywe uishi kwa matumaini ....na baadae...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Moshi wa jenereta wauwa wanne Na Salma Said, WATU wanne wa familia mmoja wamefariki dunia baada ya kuvuta hewa inayosadikiwa kuwa na sumu iliyotokana na moshi wa jenereta katika eneo la Kibweni...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Kuna taarifa ambayo niliipata kwa mmoja wa marafiki zangu kuwa Kuna wafugaji wa kuku wanawalisha Kuku wao dawa za kurefusha maisha za wagonjwa wa ukimwi( ARV) , ili wanenepe na kuuzwa kwa bei...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
wadau kunataarifa kuwa kuna bomu limepatikana maeneo ya makazi ya watu msasani jijini leo na wanajeshi wamelipeleka lugalo. mwenye taarifa zaidi please...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Paka anayejulikana kwa jina la Oscar hujisogeza na kukaa karibu na kitanda cha mgonjwa aliyebakiza muda mchache kufariki. Iwapo ndugu wa mgonjwa huyo watamfukuza paka huyo nje ya chumba cha...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Hapo zamani Mwalimu alibainisha kuwa maendeleo ya taifa letu yalihitaji a)Watu b)Ardhi c)Siasa safi d)Uongozi bora Kwa muda wa sasa vipengele c) na d) ni debatable! Hali ya kipengele b)...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Jana jumatatu 01/02/2010,Nilikuwa naangalia TV ya channel 10 kipindi cha nyota zenu na sheikh Yahaya, nilishtushwa na utabiri wake ambao kimsingi alisema "Mwaka huu kutatokea kifo cha kiongozi...
0 Reactions
30 Replies
4K Views
By JEFF KAROUB, Associated Press Writer Jeff Karoub, Associated Press Writer – 1 hr 5 mins ago DETROIT – Many Jews consider Christmas Day an opportunity to serve their community while Christian...
0 Reactions
267 Replies
22K Views
Wana JF na Watanzania wote nawapeni pole sana kwa kilio hiki tena. Na wenye taarifa kamili kuhusu ajali hiyo iliyowaua watu zaidi ya 20 papo hapo huko Tanga watupashe kwa undani.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tuesday, 2 February 2010 E-mail this to a friend Printable version President for a day: 'Punish corruption worshippers' President for a day: 'Punish corruption worshippers' Imagine...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom