Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Jamani natamani kununua nissan xtrail; tafadhali nawaomba wanaozijua hizi gari wanipe ushauri kama ni gari nzuri za kununua. Ushauir tafadahli. Thanx in advance
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wikiendi iliyopita, gazeti hili lilituma waandishi wake katika kona mbalimbali jijini Dar es Salaam ili kuona hali halisi ya biashara ya ukahaba, sambamba na kupokea nukuu za wanawake wanaofanya...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Bado sijafikia kuamini kuwa kiu yetu ni kuona watuhumiwa wanajiuzuru tu bila hatua zaidi kuchukluliwa dhidi yao.Akina Johnson mwanyika,arthu mwakapugi,na wengine sioni kama ni haki...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Ile bustani ya forodhani pale zanzibar kwa watanzania wote tuna la kujifunza. La kwanza ni USAFI, hili eneo usiku mambo yanayopatikana pale kwa waliofika ni bites,juice hata uwanja woote unajaa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Upendeleo kwa mtoto mmoja Swali: Nataka kujua zaidi katika malezi ya watoto kuna kitu inaitwa parental favouratism. Iwapo mtoto mmoja anajisikia kutopendwa sana kama mwenzake au wenzake na...
0 Reactions
0 Replies
4K Views
Tuesday, October 20, 2009 Usisahau kutaja jina lake! Mke si barabara asiwe na jina!Tendo la ndoa ni sanaa kama sanaa zingine na hakuna mtu anaweza kukufundisha kwamba unapotaka kuwa mwili...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Marriage is not a noun; it's a verb. It isn't something you get. It's something you do. It's the way you love your partner every day.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wabongo bana sijui tukoje! Inakuwaje hatuwi wakweli ikija kwenye masuala ya kushirikiana kikazi/kibiashara? Kwa nini tunapenda kupeana matumaini yasiyo na matumani? Nimekuja kwako kuongea nawe...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Enyi Watanzania wenzangu hebu niambieni,KWANINI ICT TUMETAWALIWA NA WAHINDI?Jaribuni kuangalia kampuni zote Tanzania zinazojihusisha na mambo ya IT.Je wao wananini cha zaidi ya kutushinda sisi...
0 Reactions
21 Replies
5K Views
Hellow great thinkers, Juzi, na jana kumekuwa kukivurumishwa baruti na wahindi kwa kiwango kisicho cha kawaida. Enzi za Kamanda Tibaigana hawa jamaa walipewa saa moja tu kuvurumisha hayo mafataki...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
By Bernard James The Citizen October 21, 2009 Two men who presented themselves in court as sureties for a senior Bank of Tanzania (BoT) official charged along three others allegedly for the loss...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
UGONJWA wa kuhara ambao umeripotiwa kuwa wa pili kuwakumba Watanzania wengi baada ya Malaria huenda ukaendelea kuwatesa Watanzania wengi iwapo utaratibu wa kunawa mikono kabla ya kuandaa chakula...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Jana nilikua pale mlimani city sasa nilikua nataka kununua kitu fulani lakini nilikua na upungufu wa pesa, sasa kwa sababu eneo hilo lina ATM nikaamua kwenda kwenye hii bank ya makabweli lakini...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jina la "Guantanamo" limevunja ndoa ya miaka 17 Tuesday, October 20, 2009 2:23 AM Ndoa ya miaka 17 imevunjika...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa wale wanaojua maandiko, naomba msaada wenu Inakuwaje Yesu acholwe akiwa wa kizungu, lakini shetani anachorwa akiwa wa kizungu? Je huu sio udhalilishaji kwetu waafrika?
0 Reactions
11 Replies
8K Views
SERIKALI ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) imesema mgao wa umeme ulionaza huko Tanzania Bara hautovikumba visiwa vya Zanzibar kwa kuwa wao ni walipaji wazuri huduma hiyo. Naibu Waziri wa Maji, Ujenzi...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Wakulu ni muda mrefu nimekuwa nikisikia kuwa takwimU zinasema kuwa idadi ya wanawake ni wengi kuliko ile ya wanaume wanaoshi dunia kwa muda wote! Mbaya zaidi nikasikia kuwa kwa siku za hivi...
0 Reactions
18 Replies
8K Views
Nasikitika kuwatangazia kuwa meneja wa uwanja wa taifa amefariki, Meneja huyo ni ndugu Masanja, amefariki leo kwa ajari baada ya kuangukiwa na ukuta wa nyumba, Marehemu Massanja jana alikuwa...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Hivi nini kitatokea pale chanjo ya UKIMWI itakapothibitika kuwa inafanya kazi?
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Sijui kama ni mimi peke yangu ndo nakereka na hii tabia ya ofisi za serikali na oftisi zingine nyingi zenye simu za landline unapopiga hazipokelewi, yaani ni masaa ya kazi unapiga simu inaita wee...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom