Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Shirika la Posta Tanzania pamoja EMS kwa kweli mnachefua kwa jinsi mnavyofanya kazi zenu. Wizi umekubuhu katika mashirika haya. Cha kushangaza Posta pamoja na EMS mmeshindwa kabisa kufanya kazi...
0 Reactions
34 Replies
6K Views
Europe's highest minimum wages Luxembourg and the Netherlands top the list of the best places to earn bottom bucks. If you're having trouble managing to get a multimillion-dollar bonus from an...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Mchezaji wa COMEDI anayekufa kwa KANSA mwishowe amefanikiwa kufikia malengo yake ya maisha: ya kuonekana kwenye 'Late Show' Soma zaidi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Naomba sifa kuu za kuitwa Ntu "fataki" jamani yawezekana watu wanalitumia vibaya....
0 Reactions
0 Replies
2K Views
please i hv a qn tht need some help."who made you what u aren y?
0 Reactions
2 Replies
1K Views
SHIRIKA LA UMEME TANZANIA TANGAZO KWA WATEJA NA WANANCHI KWA UJUMLA: MALIPO YA USHURU KWA AJILI YA MFUKO WA UMEME VIJIJINI Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) linapenda kuwatangazia...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Hi All, I believe we have Pastors and Priests in this forum. Can they please enlighten me and tell me whether its okey for Pastors to sell anointing oil to the congregation saying that it will...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Akina mama wa Pemba wakionyesha vitambulisho vyao Friday, September 04, 2009 4:57 AM Zoezi la uandikishaji wa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Scottish First Minister Alex Salmond has announced an independence referendum bill as the centrepiece of the SNP's plans for the coming year. The Scottish Government wants to stage the...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Askari wa ffu arusha wamevamia gari moja mjini arusha na kuanza kumchapa makofi dereva kabla ya kuanza kushikilia msikano na kuaangusha gari kwenye mtaro.... Gari hilo t636 awx ilitokea leo...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
JAMANI NAOMBA KUULIZA SI UJINGA,,...NIMESHANGAA SANA HIVI KARIBUNI KULIKUJA NA SWALA LA KUPAKA RANGI KWENYE TAX...KAMANDA MMOJA WA POLISI AKAJITAHIDI SANA KUSHADADIA HILI...KBLA YA KUJA KUJUA MOJA...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Natanguliza salaam kwa wana jukwaa wote. Kama kuna kitu kinanikera sana basi ni foleni isiyo ya lazima inayosababishwa na askari wa usalama barabarani katika makutano ya barabara ya Morogoro na...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Wana Jf Nimesukumwa kuandika post hii baada ya kupata tetesi kuwa mwenyekiti anaenda Tabora kutowa msaada wakati mpaka leo hii hatuja pokea mishahara yetu. Mwezi ulopita tumepokea tar 8,juzi...
0 Reactions
25 Replies
5K Views
Wakuu kuna mshikaji wangu mmoja ndug yake yuko nje sasa kuna vitu anataka amatumie lakini kwa njia ya Diplomatic shipment transfer.ila kaaambiwa aulizie procedures. Sasa hajui hata hiyo njia...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
The First National Training of Male Circumcision Providers is being held at the Primary Health Care Institute in Iringa Town. Since 2006, the Ministry of Health and Social Welfare has been...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
HAKIMU wa Mahakama ya Mwanzo Misungwi mkoani Mwanza, Restuta Kamani (40) pamoja na karani wa Mahakama hiyo Scholastica John (40), wamefikishwa katika Mahakama ya Mkoa wa Mwanza kwa tuhuma za...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Askofu mkuu wa jimbo katoliki mbeye Everist Chengula amekemea vikali kitendo cha kakobe kuponda waraka uliotolewa na kanisa katoliki.Askofu huyo amedai kuwa kakobe haijulikani kapata vipi uaskofu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mheshimiwa Slaa, Inakuwaje chaguzi zote zinavurugika? Je hankujiandaa kwa hii mikutano? Uchaguzi wanawake Chadema nao balaa Imeandikwa na Lucy Lyatuu; Uchanguzi wa Mwenyekiti wa Baraza la...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nilipata bahati ya kuangalia kipindi cha uswazi kinachorushwa na channel 5. Wiki ya juzi waliahidi kwamba ktk kipindi kifuatacho wataonesha dokta Manyaunyau akitafuta 'nyoka' ambaye wananchi wa...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Back
Top Bottom