Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Ingawaje ninamiliki chumba kimoja bila sebule huku nikiwa na vifaa vichache kabisa vya umeme, lakini tayari chumbani kwangu kuna EXTENSION CABLES mbili ambazo ni mbovu!! Je, wewe ndani kwako...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kuna hili tatizo ambalo tukiliangalia na kulitatua ndani ya jamii yetu mabadiliko ya ya maendeleo ya kweli yanawezekana. Tatizo hili ni NIDHAMU YA WOGA wengi tumeezaliwa na kulelewa kwenye...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
BE AFRAID BE VERY AFRAID PEOPLE, MAID OH MAID…WHAT HATH THOU BROUGHT IN MY HOUSE In a today’s world, women have taken up challenges to emancipate themselves from the york of being “full house...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Yemeni airliner crashes in Indian Ocean Airbus 310 reportedly had about 150 people on board; fate unknown msnbc.com news services updated 2 hours, 35 minutes ago SAN'A, Yemen - A Yemenia Air...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa imani kubwa waliyokuwa nayo wanainchi kwa viongozi wao waliowachagua inaonekana kutoridhishwa nao. moja,baadhi yao hawajawahi kurudi nyuma toka kuchaguliwa au wengine wameonekana wakati wa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu najua wengi haswa wakazi wa DSM iwa mnafuatilia kwa makini maenyesho ya saba saba katika viwanja Mwl J.K Nyerere Mtoni..watoto kwa wakubwa ni muda muafaka wakwenda kuenjoy yataanza rasmi...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Vurugu Tunduma 88 watiwa mbaroni *Ndugu wa marehemu wagoma mwili wake kuchunguzwa WATU 88 wanashikiliwa kwa tuhuma za kushambulia kituo cha Polisi baada ya kutokea mauaji ya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Katika gazeti la Mwananchi toleo la leo, kuna habari yenye kichwa kisemacho "CCM wafanya mkutano kanisani, washambulia". Katika habari hiyo mwandishi kutoka Biharamulo anasema kuwa kundi la...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wana JF nimeona uchambuzi umefanyika huko GP. Nilipoangalia orodha ya hayo maamuzi yaliyowekwa sidhani kama yamewekwa kwa usahihi. Naona kama maamuzi muhimu makubwa yanayolitia hasara taifa hili...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Hivi karibuni nilitembelewa na rafiki yangu mmoja aitwae Mkude (Sio jina lake halisi) ambaye miaka ya tisini niliwahi kuishi nae jirani huko maeneo ya Mwananyamala, hapa jijini Dar Es Salaam...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Tips for eating while you workMany people find themselves having a quick lunch at their desk while trying to meet the day's deadlines. The bad news is that this can lead not only to poor...
0 Reactions
0 Replies
890 Views
Kuna hili tatizo ambalo tukiliangalia na kulitatua ndani ya jamii yetu mabadiliko ya ya maendeleo ya kweli yanawezekana. Tatizo hili ni NIDHAMU YA WOGA wengi tumeezaliwa na kulelewa kwenye...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Wana Jf, Nilipokea kwa masikitiko makubwa habari ya kifo cha Sheikh Gorogosi. Ufahamu wangu unanishawishi niamini kuwa alikuwa mtu muhimu ktk BAKWATA ingawa sifahamu kiwango chake cha elimu...
0 Reactions
19 Replies
8K Views
George Kahama pamoja na akina Rupia ni moja kati ya ma UNTOUCHABLES bongo na wamekuwa immune for such a long time humu JF Anyway kama mnavyojua kuwa yule bibie kwa jina la JILL amekuwa...
0 Reactions
112 Replies
20K Views
Kifungo kilivyowakatisha masomo wanafunzi Mara Mobini Sarya NI miaka 47 sasa imepita tangu nchi hii ijikomboa kutoka makucha ya wakoloni, lakini hali ilivyo sasa ni kama...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Wale wote walio kuwa wamepanda mbegu DECI Mabibo wanatakiwa kuliport mabibo tarehe 1 julai 2009 saa 4 asubuhi kuonana na wawakilishi wa serikali ili kupanga namna ya kurudishiwa mbegu zao.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Katika Bajeti ya Serikali ya Mwaka 2009/2010 kuna kauli mbiu ya KILIMO KWANZA ingawa haijapewa umuhimu wa kwanza kwa kutengewa fedha nyingi.Hata hivyo mafanikio yake yatafikiwa kwa kupokelewa...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Jamani sijui wenzangu mna mtazamo gani juu haya mashirika ya niliyoyataja hapo juu ne mengine kama hayo katika kuwawezesha wananchi. Binafsi naona mashirika haya kwa kiasi kikubwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Yametokea mapigano makali kati ya polisi na raia mji mdogo wa Tunduma mpakani mwa Tanzania na Zambia mida hii chanzo cha vurugu hizo kainzi ketu bado kanadodosa.
0 Reactions
16 Replies
4K Views
WAKATI jamii ikiendelea kufikiria hatima ya wachama zaidi ya 300,000 wa taasisi ya Deci, serikali imesema athari za taasisi hiyo ni ndogo kuliko za taasisi ya People’s Unity for Development in...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Back
Top Bottom