Georgia,
Ama kweli wahenga husema "kujua kwingi uondoa maarifa". Mmejua mkapitiliza. Ni kitu gani kimewafanya wewe na mume wako mshindwe kusoma alama za nyakati kwamba watuhumiwa wa ufisadi...
Nimekuwa najiuliza kwanini Mikoa mingi hapa Tanzania haina miji yake mikuu. Kwa mfano: Ukienda Bukoba, unajua uko Mkoa wa Kagera, Ukiwa Songea, tunajua uko Ruvuma, vile vile ukiwa Moshi,tunajua...
Mwananchi Communications Ltd inayomilikiwa na kampuni ya Nation Media Group Ltd ya Kenya imemteua Muhariri wa Habari wa Nipashe, Deniss Msacky kuwa Naibu Mhariri Mkuu wa Gazeti La Mwananchi...
South Africa's World Cup dry run has been hit by a robbery at the Egyptian team hotel in Johannesburg. Local police are investigating the theft of some US$2,400 from the rooms of five unnamed...
POLISI nchini Uganda inamshikilia mwanafunzi wa mwaka wa tatu anayechukua masomo ya Sayansi ya Jamii na uongozi katika Chuo Kikuu cha Kyambogo nchini humo, Sam Buyinza kwa tuhuma za kumuua rafiki...
Jerry Okungu
LAST week I was equally miffed by the so-called African envoys at the United Nations Human Rights Council that purported to have spoken on behalf of the continent regarding Prof...
HISTORIA ILIYOTUPWA
Nimerudi tena katika mambo ya historia leo naangalia baadhi ya vitu katika historia vilivyotupwa au kupotoshwa kwa makusudi kabisa kutokana na watu kuwa na maslahi yao au...
Siku ya jana na leo kumetokea tatizo kubwa sana la ununuzi wa Umeme (LUKU) katika mkoa mzima wa dar es salaam.watu wamejazana kwa mawakala toka jana asubuhi wakisubiri huduma bila mafanikio.Hakuna...
AVIATION is "basically very safe" and all the air crashes that happened with major airlines in recent years were combined results of "very rare" factors without a common trend for the crashes, a...
Utamaduni wetu umekuzwa kwa aina ya misemo mingi yenye malengo kama ifuatavyo.
Kutiana moyo.
Haba na haba hujaza kibaba,
maonyo
haraka haraka haina baraka , asiyefunzwa na mamaye hufunzwa...
Maelezo ya Serikali ujenzi wa Chalinze-Segera utata-Spika
Na Muhibu Said
19th June 2009B-pepeChapaMaoni
Spika wa Bunge Samuel Sitta.
Spika wa Bunge Samuel Sitta, amesema amepokea maelezo ya...
Mwandishi mahili wa gazeti la nipashe mwenye cheo cha News Editor Ndugu Dennis Msaki ameandika barua ya kuacha kazi kwa notice ya masaa 24 kuanzia saa sita mchana wa leo,kuna habari za kuaminika...
Imekuwa ni jambo la kawaida katika jiji la Dar es salaam kuona wasichana wadogo(ndizi kisukari) wakiwa na wazee wakizungu, wasichana hao ambao wengi wao ni wa miaka chini ya ishirini wamekuwa...
Misafara ya viongozi nje kupungua
Imeandikwa na Basil Msongo, Dodoma; Tarehe: 18th June 2009 @ 14:02 Habari Leo
Rais Jakaya Kikwete ameagiza kuangaliwa upya kwa idadi ya watu wanaosafiri na...
Waungwana,
Kuna mtu fulani aliniambia yafuatayo kuhusu mashindano ya ulimbwende ya Miss Tanzania.
1) Mashindano haya yanapokaribia kufikia hatua za mwisho yaani kabla ya kuingia Kambi Kuu, picha...
SALAMU ZA TAHADHARI
Ndugu Watanzania
Wiki iliyopita kulikuwa na Taarifa moja kubwa lakini haikupewa mkazo sana navyombo vingi vya kimataifa , inayohusu baadhi ya kampuni za mtandao katika...
Ndugu wana JF nauliza swali ambalo linaweza hata kuwasaidia waamuzi katika Serikali yetu. Kati ya Barabara zifuatazo ni ipi bora kiuchumi kwa njia nne kabla ya nyingine:-
1. Kimara - Mlandizi hadi...
Siku moja nilikuwa nasafiri kwenda Singida sasa nikapita kijiji kimoja abiria mwenzangu nilikuwa nimekaa nae akaniuonyesha katikati ya Tanzania Kule Dodoma na nikapaona ila mazingira DU...
Serikali yapoteza dola bil 1.5 sekta ya madini
na Prisca Nsemwa, Bagamoyo
Tanzania Daima~Sauti ya watu
PROFESA Ammon Mbelle wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Kitengo cha Uchumi, amesema...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.