Nimekuwa nikisoma habari mara kwa mara kwa wamiliki wa bastola kuzitoa na kutishia watu hadharani pale wanapoona wanabughudhiwa. Kikomo cha hali hiyo kilitokea pale marehemu Ditopile alipotoa...
Hivi hizi ajali za kupanga zitaisha lini au wanaopanga ajali hizi kwa mashujaa wetu wa kupinga ufisadi tuwatafute ili wasiendelee na hujuma zao.Wana JF wapanga ajali wanajulikana kuanzia ya Salome...
Wadau wa Forum,
Heshima kwenu nyote!! Sina uhakika kuwa kwa kuwasilisha swali langu hapa nitaweza kupata ufafanuzi ama nitakwaza maslahi ya baadhi ya watu fulani fulani. Pamoja na wasisasi...
In every country there are stereotypes about certain groups of people whether good or bad. Tanzania has a lot of stereotypes especially according to tribes. So what are the stereotypes in...
Wana ukumbi twambieni nyie mlooko karibu huko na sakata hili la kufukuzwa kwa aliyekuwa Jaji "Makamba" (Bin Manyuzi wa Bin Ununu wa Bin Utembo) eti wale wote walioamuliwa kesi zao na Jaji huyo...
Ukikata tiketi ya basi au ndege utakuta kwenye tiketi hiyo kuna masharti kadha wa kadha ambayo yanamuweka abiria kuwajibia. Lakini haki za abiria huwa haziwekwi wazi kwenye tiketi hizo. Je haki za...
Maisha ya sasa yamekuwa ni tete na siku zinaposonga hakuna kinachoeleweka, hii imekuwa kama laana kwani hata kama unapata pesa basi hazisaidii ktk kuitengeneza hiyo baadaye yetu na wale watokao...
Jamani naomba kueleweshwa hili Kwanini nchi kama Ethiopia ina shirika la ndege(Ethiopia airline) ambalo linatesa sambamba na mashirika makubwa ya ndege na wakati nchi kama hiyo haina any source of...
Wakuu,
Nimeona hii niifungulie thread yake peke yake ili tuijadili maana siku moja inaweza kuwa msaada kwenye jamii yetu. Tafadhali, TUSIMLENGE MWAKYEMBE hapa maana ametumia tu kama mfano ila...
In mathematics there is a very interesting principle known as the law of inverse proportion. For those who are math shy, popularly known as penguins (ngwini) at Mlimani, I will explain. This...
Ni mwaka sasa nimejaribu kuingia website ya mwanahalisi lakini inaonekana haijawa updated almost mwaka sasa kwani habari iliyopo pale ni ile ya May 21 2008 (Dr. Slaa: Nimeshinda Mafisadi). Vipi...
Naomba msaada jinsi ya kusajiri simu aina ya G1 Google (iliyotolewa na Tmobile) nchini Tanzania. Wafanyakazi wa mitandao yote Bongo wamechemsha mpaka sasa na kuifanya simu iwe useless...
CEO Roundtable of Tanzania Supports Police Fight Against Cyber-Crime
The Chairman of the CEO Roundtable of Tanzania Mr. Ali A. Mufuruki speaks during the...
Nadhani kuna shida kubwa sana na waandishi wetu wa habari, sidhani kama wahariri huwa wanafanya kazi yao...nimeona hii habari the guardian nimechoka kabisa
All public hospitals to get new...
Silence in issue we ought to speak strongly against, may mean agreement, participation or both. Tanzanians at different levels of social strata has tendency to remain silence in issue that we...
`Kuna wauguzi wananyanyapaa waathirika wa Virusi vya ukimwi`
Mwandishi Wetu
Baadhi ya vituo vya afya nchini, vimelalamikiwa kwa unyanyapaa na ubaguzi kwa watu wanaoishi na virusi vya ukimwi...
Saturday May 30, 2009
587bn/- lost in tax waivers
PIUS RUGONZIBWA, 30th May 2009 @ 00:28
The government has given away over 587bn/- in tax exemptions in the past 10 months alone...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.