Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Halimashauri ya wilaya ya Temeke ni Halimashauri mojawapo inayo ongoza nchini kwa ukusanyaji wa mapato ikifatiwa kwa karibu sana na Kahama. Cha kushangaza na kusikitisha wilaya hii katika barabara...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Nimekutana na hii habari kwenye Blog ya Michuzi nikaona ni bora niilete hapa kwa mjadala zaidi. Nimeunganisha na baadhi ya maoni na matukio yanaoendelea katika jiji la Dar Es Salaam. uporaji...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mtanzania auawa kikatili Dubai 2009-03-04 10:56:04 Na Mashaka Mgeta Raia wa Tanzania ameuawa kinyama kwa kutupwa katika mashine za kusaga vyakula huko Dubai, Falme za Kiarabu na mwili...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Date::3/3/2009 BoT yabana wanaotorosha mabilioni ya fedha nje Na Ramadhan Semtawa Mwananchi BENKI Kuu Tanzania (BoT) imeanza utekelezaji wa taratibu mpya za uendeshaji Maduka ya...
0 Reactions
17 Replies
3K Views
Watanzania wenzangu nimekuwa nikitatizwa na mawazo kila nikisikia kipindi cha matangazo ya kifo kuwa mipango ya mazishi inafanyika BAA FULANI. Natatizwa na moyo wangu hasa nikiangalia jinsi...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Juzi nilipokuwa naangalia habari ya saa 2 usiku ITV tulionyeshwa watu wakilalamika wilayani Sengerema mkoani Mwanza baada ya Tanroads kuweka mzani wa kupimia magari(weightbridge) kwenye barabara...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Cheki kwenye link hapo chini jinsi Jamaa alivyoponea chupuchupu kufariki dunia BBC NEWS | World | Europe | 'Miraculous' survival in Turkey
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Sometimes I wonder why I was born a Tanzanian . But is there really any thing that can change that? Maybe if my parents had gone on a honey moon out of country before my birth (like is common...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Daily News; Tuesday,March 03, 2009 @20:14 Hatma ya nauli ya mabasi kushuka inatarajiwa kufahamika baada ya Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA) kukamilisha mchakato...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kwa wanaojulia lugha za Eastern Europe, Hii artical ipo kwenye Swiss air page (Poland). Nimejaribu kuibadilisha iwe ya Kiingereza ila hawa google wanatafasiri kivyao baadhi ya maneno. Anyway...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
2009-03-01 13:13:38 Na Mwandishi Maalum, Ireland Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, amesema kuwa mgogoro wa kifedha duniani usiwe kisingizio cha nchi wafadhili kuacha kutimiza ahadi zao za kuzisaidia...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Karume amkwaza Kikwete John Bwire, Butiama Aprili 2, 2008 Raia Mwema~Muungwana ni Vitendo CUF yadai Kikwete dhaifu, haitashiriki tena majadiliano Wajumbe NEC Zanzibar wakumbuka ASP...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Habari za uhakika zinasema kuwa Polisi wameua kwa kuwapiga risasi vijana wawili jana usiku eneo la Kijenge/Mwananama karibu na Mount Meru Petrol Station Kijenge. Tukio hilo lilitokea baada ya...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Chief Justice Augustino Ramadhani has described the shortage of magistrates in Tanzania as artificial, saying it was caused by the government`s inability to get the funds it needs to employ enough...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kilwa: Mji wa kihistoria uliodorora Kwa wanaofuatilia historia ya nchi hii, Kilwa si jina geni masikioni mwao hata kidogo. Hiyo inatokana na ukweli kwamba mji huo una umaarufu mkubwa kihistoria...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
BEDA MSIMBE, Daily News; Sunday,March 01, 2009 @19:00 Moja ya miji ya zamani kabisa katika barabara ya kwenda Zambia, Tanzania, ni Mikumi. Mji huu ambao upo mwendo wa saa takribani nne na...
0 Reactions
3 Replies
5K Views
Deputy Minister stresses education for Muslims ABDULWAKIL SAIBOKO, 1st March 2009 @ 09:52 Deputy Minister for Education and Vocational Training Ms Mwantumu Mahiza has urged Muslim parents...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Utupaji taka ngumu kwenye mifereji ya maji machafu ni tatizo sugu katika jiji la Dar es Salaam. Maeneo yanayokumbwa na tatizo la taka ngumu ni maeneo mengi yakiwepo Tandale, Manzese, Buguruni na...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Maabara ya Kituo cha Afya Kigamboni inatumia vifaa vya kupimia Malaria visivyoaminika.Vifaa hivyo vinadaiwa kutolewa kwa msaada na Marekani.Watu na Watoto wanaopimwa Malaria kwa kutumia vifaa...
0 Reactions
16 Replies
4K Views
Uncertainty clouds 300MW power plan By Levina Kato and Tom Mosoba Uncertainty hangs over the proposed 300MW natural gas electricity project to connect the southern regions of Mtwara, Lindi...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom