Napenda kuwataatharisha kuwa muwe makini zaidi mkiwa barabaran hasa kwenye foleni.Kuna kundi la vijana zaidi ya 30 wanavamia magari wakiwa na mapanga,nondo na visu kwa lengo la kupora chochote...
Hatimaye imethibitika rasmi kwamba kampuni ya aliyodaiwa kuipendelea Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Lawrence Masha, ya Sagem Securite katika mchakato wa zabuni ya Mradi wa Vitambulisho vya...
Ni nani atakaye kuja siku moja kuliona jambo hili, kuuona ukweli huu, kwamba nchi hii haina umaskini wa rasilimali, wala umasikini wa nguvu kazi, bali ina umasikini mkubwa wenye kutisha na kukera...
Naomba kama kuna mwana jamii atanisaidia. Nina Computer HP M9150F for some reason haijionyeshi kwenye monitor, Computer ina miezi 5 na ilikuwa inafanya kazi ila aubuhi moja naiwasha inawaka lakini...
Wachangiaji wa Bima ya Afya hawapati matibabu sahihi katika vituo vinavyotoa huduma hiyo.Kuna Vituo viwili Kigamboni yaani Navy Dispensary na Kituo cha Afya Kigamboni vimekuwa na usumbufu katika...
How to disable a STOLEN mobile phone?
To check your Mobile phone's serial number, key in the following digits on your phone:
* # 0 6 #
A 15 digit code will appear on the screen. This...
Have you locked your keys in the car? Does you car have remote keys?
This may come in handy someday. Good reason to own a cell phone:
If you lock your keys in the car and the spare keys...
Leo nina kisa nataka kuwasimulia.
Bwana mmoja alikuwa amekwenda kazini kama ilivyo kawaida yake, akiwa ndio anafika kazini akapigiwa simu kujulishwa kwamba nyumba yake inaungua.
Bwana yule...
Knowing the history of Valentine,it's hard to believe why Tanzanians should be so much attracted to it.However careful scrutiny of our moral standards, points to only one reason,moral decay.Most...
Ndugu wanaJf,
Watanzania ni wakati sasa umefika wa kudhamini maisha yetu zaidi kuliko pesa. Ugumu wa maisha usiwe ni chanzo cha kurisk maisha yetu kwa sababu ya hela za haraka haraka...
Rockingham
Remembered
Wilson's Picks
Dad, I'm Borrowing
the Car!
$1,000,000 FERRARI
FERRARI Hits A Power Pole at 200mph!!!!
The driver only had some bruising (seat belt)
And 2...
Wadau kuna taarifa kuwa kuna shehena ya sumu hatari ya "Cyanide" iliyokuwa ikisafirishwa kwenda kwenye moja ya migodi kanda ya ziwa imezuiliwa katika kituo cha polisi cha Chalinze kwa karibu wiki...
Lile wimbi la ujambazi jijini dare s salaam liliendelea jana baada ya majambazi 2 kukamatwa eneo la rombo ( ubungo ) wakijaribu kutorosha gari walilipora maeneo ya mbagara baada ya kumtishia...
Heshima mbele wakuu..Kufuatia Askari watatu waliokuwa miongoni mwa watuhumiwa katika kesi inayomhusu ACP Abdallah Zombe na wenzake kuachiwa huru na Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu Salum Masati(baada...
Katika hali isiyo ya kawaida makampuni ya bia nchini yamejipandishia bei za bia kienyeji bila kuwataarifu wateja wao.Hali hii imetokea kuanzia jumapili tr 08 feb 2009.
Tumezoea kunywa kwa mfano...
Jamani,
Naomba tuongelee maswala ya usafi na vivutio vya Dar es Salaam kama Jiji Kuu la Tanzania. Hivi taka kuzagaa kila mahali, mashimo kwenye barabara kuu za jiji, mitaro iliyojaa uchau na...
Wauza mafuta wachekelea viwango vya faini za Ewura
Na Jackson Odoyo
MIEZI miwili baada ya Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Madini nchini (Ewura), kupewa meno kwa ajili ya kuwadhibiti...
Laid-Off Foreigners Flee as Dubai Spirals Down
The New York Times
With Dubais economy in free fall, newspapers have reported that more than 3,000 cars sit abandoned in the parking lot at...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.