Man Sues Doctors After Penis Amputated
--------------------------------------------------------------------------------
LOUISVILLE, Ky - A Kentucky man and his wife said two doctors...
Nimekuwa najiuliza sana mwenendo wa ma polisi na mapesa yao .Kuporomosha majumba makubwa kila koma kama Mahita na Tibaigana.Mtoa habari mmoja anasema kwamba kila aliye wahi kuwa RPC ama RCO Arusha...
KAZI ZA Amiri Jeshi wa nchi ni kuhakikisha maslahi ya WOTE yanalindwa na hakuna wanaotumia nafasi au mali zao ili kuwanyonya, kuwanyanyasa au kuwadhulumu wengine.
Pili ni lazima ahakikishe...
Jamani, jana sikwenda kazini, nikafungulia radio fulani hivi, sijui inaitwa radio heri au nini ile, ya waislam. kulikuwa na shehe mmoja hivi alikuwa anaongoza mjadala wa "kwanini wakristo wanakuwa...
2008-09-23 11:05:05
Na Salome Kitomary, PST Moshi
Watu wasiofahamika, wamembaka hadi kufa msichana mkazi wa Majengo kwa Mtei, Manispaa ya Moshi.
Baada ya kufanya unyama huo, watu hao...
Nimeangalia mwenendo wa sisi Watanzania kwa muda mrefu,mwenzenu si uelewi.Mtanzania mmoja akianzisha biashara fulani wengine tutaanzisha hiyo hiyo;Rais au kiongozi yeyote wa ngazi za juu...
Kwanza, kuna kauli ya waziri wa fedha Mustafa Mkullo kwamba fedha za EPA si za serikali. Kauli hii haijapingwa na JK
Pili kuna suala la fedha hizo ni kiasi gani? Wengi tunajua kuwa fedha...
CREDIT CRUNCH: WAR IS MORE EXPENSIVE THAN PEACE
What is happening in those nations that are in forefront as self-declared police and army of the world is financial mess.
Unfortunately, none...
Majuma kama mawili yaliyopita nilikuwa na mshikaji mmoja kwenye public transportation (train). Sasa kila nikimwongelesha kiswahili, yeye ananijibu kwa kizungu.
Mimi - "Hivi umeshaiona ile movie...
Jamani tusaidiane kaatika hili.Nimeikuta kwenye web ya wanazuoni wa huko nje.Ni kweli hivi ndivyo tulivyo kwa kila hali????
Chungulia humu (iadaiwa kuwa kinachooonekana ni Videokino/jumba la...
Wana-JF,
Pamoja na Waheshimiwa Wabunge kuukataa muswada wa kurekebisha sekta ya umeme nchini, ili kuleta ushindani zaidi na unafuu wa bei kwa mteja, Waheshimiwa Wabunge wameukataa muswada huo...
STATEMENT BY H.E. JAKAYA MRISHO KIKWETE, PRESIDENT OF
THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA, AT THE HIGH LEVEL
MEETING ON AFRICAS DEVELOPMENT NEEDS,
UN NEW YORK, 22ND SEPTEMBER 2008...
Je Migomo ya wafanyakazi - Tumesikia TUCTA - wametangaza kuwa na mgomo baada ya wiki mbili ikiwa hawatalipwa ile nyongeza ya mishahara waliyokopwa tangu Januari, - Walimu nao wametoa tangazo la...
Wanajukwaa,
Nimeona ni wakati muafaka kuwapa nafasi ya kusoma na kutoa maoni yenu juu ya mtizamo huu wa mtanzania mwenzetu kuhusu mustakabali wa taifa hili lenye umri wa miaka 47 ya kujitawala na...
ALIYEKUWA Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai nchini (DCI), Adadi Rajabu, jana alitajwa kuhusishwa na vifo vya wafanyabiashara watatu na dereva teksi katika kesi inayomkabili aliyekuwa Kaimu Kamanda wa...
Kwa wakazi wa Jiji la Dar es Salaam wanaoitumia barabara ya Mandela (zamani Port Access) mtakubaliana na mimi kuwa kwa miezi miwili barabara ile mekuwa hovyo kupita maelezo.
Mpango umekuwepo...
Warioba abashiri mafisadi wa EPA kutikisa nchi
Tanzania kama Taifa lenye dola kamili (sovereign) litatikisika na kudhalilika mno machoni pa wananchi wake na katika jumuiya ya kimataifa...
TRA, TIC wakubali lawama za kupungua kwa makusanyo ya kodi
Oscar Mbuza
Daily News; Monday,September 22, 2008 @20:01
HIVI karibuni Waziri wa Fedha na Uchumi, Mustafa Mkulo, alifanya ziara ya...
Tuition pale Ardhi nafikiri ni kama TShs. 1,000,000. Matumizi ya JK NY kwa siku 10 kama atakuwa na entorage ya watu kama 10 hivi, itakuwa ni kama U$100,000. Hii inatosha 40% tuition fees ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.