Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Wanandugu ni furha ya ajabu tuliokuwa tukiisubiria miaka nenda rudi hatmae nikiwa naelekea mwanza asb nkapata mshtko kuona watu wakiwa wengi pembeni ya ndege akaja mfanyakazi mmoja wa ndege...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
At least 23 people in Indonesia were crushed to death when a crowd surged forward to receive a cash hand-out from a wealthy family, part of a tradition during the Islamic holy month of Ramadan. In...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hii kampuni isifutwe mpaka irudishe pesa ilizolipwa shilingi 152 millioni kwa siku kwa zaidi ya miaka miwili ambazo haikustahili kulipwa Date::9/15/2008 Brela kuomba maoni ya wadau kuhusu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Tanganyika Oil Company Ltd. TSX VENTURE: TYK OMX: TYKS Sep 15, 2008 02:30 ETTanganyika to Commence Trading on Toronto Stock Exchange on September 16, 2008 CALGARY, ALBERTA--(Marketwire...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Coaster, DCM nazo kuondolewa Dar 2008-09-12 11:18:07 Na Richard Makore Mamlaka ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra), inatarajia kubadili mfumo wa usafiri kwa mabasi...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
WAKATI mijadala kuhusu kuanzishwa kwa mahakama za kidini, unaoongozwa na mjadala wa kuundwa kwa Mahakama ya kadhi, inapamba moto, nadhani ni wakati muafaka wa kukaa chini na kutafakari kwa kina na...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ndugu zangu hii nchi imeshaposwa inangojea mwenyewe aje kuchukua chake? Haiingii akilini kukuta ghaidi kama huyu anapokelewa kama mwekezaji? From don to druglord: Dawood gets a career change...
0 Reactions
16 Replies
3K Views
Ndugu zangu waumini wa Islam na wafuasi wa mtume Muhamed SAW, naomba mpokee salamu zangu kuwatakia kila laheri kuanza mfungo wa Mwezi Mtakatifu wa Ramadhani. Katika Uislamu, tunaambiwa kuna...
0 Reactions
35 Replies
19K Views
Kwa wale ambao hawajasoma hii bado.
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Mahakama yamwachia huru Mtikila katika kesi ya uchochezi Na Tausi Ally MAHAKAMA ya hakimu mkazi wa Kisutu jijini Dar es Salaam, imemuachia huru mwenyekiti wa Chama cha Democratic (DP)...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wana CCM wajipanga 'kuikomboa' Moshi Mjini Na Heckton Chuwa, Moshi BAADHI ya wanachama wa CCM wanadaiwa kuunda timu maalumu ya siri ndani ya chama hicho, kijulikanacho kama...
0 Reactions
34 Replies
5K Views
Na Joseph Mwendapole Mfanyabiashara maarufu wa Zanzibar, Mohamed Ibrahim Raza, ameunga mkono kauli iliyotolewa na Mwenyekiti Mtendaji wa IPP, Reginald Mengi, ya kukemea kundi la mafisadi...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Kwangu mimi na ninaamini kwa watu wengi wanaoitakia nchi yetu maendeleo ya haraka, ni wazo mwanana,lisilo na ubishi, kwamba kwa mikoa iliyoko pembezoni mwa nchi yetu,jawabu la kuwafanya...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Katika matukio ya siku hizi mbili zilizopita kuna kitu ambacho kila nikikisikia na kukifikiria naona kama vile sielewi vizuri labda wenye upeo zaidi watusaidie kuelewa. Huyu mtanzania mgonjwa wa...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Takukuru yaenguliwa Timu ya EPA Na Mwandishi wetu BAADA ya Timu Maalum ya Rais ya kuchunguza wizi wa fedha kwenye Akaunti ya Madeni ya Nje katika Benki Kuu ya Tanzania (EPA) kukabidhi...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Date::9/13/2008 Nape aendelea kukingiwa kifua, adai Nchimbi ana ajenda binafsi Na Kizitto Noya Mwananchi SIKU moja baada ya Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi (UVCCM), Dk...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Hatma nyumba za serikali yapata kigugumizi 2008-09-14 11:12:02 Na Restuta James Ikiwa imebaikia siku moja tu serikali itwae nyumba zake ilizoziuza kwa maofisa wake wakati wa Serikali ya...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Uhalali wa Muungano shakani na Mwandishi Wetu Tanzania Daima~Sauti ya Watu UTAFITI uliofanywa na mwanazuoni aliyebobea katika sheria, Profesa Issa Shivji, ambao matokeo yake ameyachapisha...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Bonded warehouses crackdown: Government revenue down by almost 40bn/- in August -But deputy minister says it has nothing to do with customs law violations FINNIGAN WA SIMBEYE Dar es...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
After 21 years of marriage, I discovered a new way of keeping alive the spark of love. A little while ago I had started to go out with another woman. It was really my wife's idea. "I know that you...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom