m
Mtoto mdogo ambaye alikutwa hivi karibuni huko Temeke akimuuguza mama yake Mzazi. Tafakari wewe mwenyewe...
(Picture by: Yahya Charahani Courtesy of Haki-hakingowi.blogspot.com)
It may sounds ridiculous but hey, kujifanya unajua kumbe hujui ni upumbavu!
Can someone explain Rep Power to me and may be to the advantage of other members, I know it is probably quite simple...
Ndugu zangu kipindi hiki ambapo tunaelekea kwenye msuguano wa hali ya juu kutokana na hali halisi ya mambo ya kisiasa ambayo Taifa letu changa linayapitia nimeonelea nizungumzie jambo moja.
Hivi...
Ni aibu ya hali ya juu mwanasiasa ambaya anasema anatetea wananchi kuficha jina lake halisi akiwemo humu JF!
Binafsi nampongeza Dr. Slaa na Mh. Zitto kwa mara nyingine kuweka majina yao...
Obama team decry satirical image
BBC News Online
The magazine said the image "combines... fantastical images"
Barack Obama's team has decried The New Yorker magazine for a cartoon...
Waheshimiwa wana JF, nimevutiwa na hiki kituko cha Makamba kuzomewa na kuitwa fisadi na vijana wa kidato cha tano na sita. Hii ni dalili njema kuonyesha kwamba kuna mwamko wa kweli katika jamii...
JK: Wafanyabiashara chanzo cha ufisadi
Na Mwandishi Wetu
RAIS Jakaya Kikwete, amepasua ukweli mbele ya wenye viwanda, akisema kuwa, rushwa kubwa nchini zina mkono wa baadhi ya...
Tumechoka na hotuba za ufisadi, sasa ni wakati wa kuwashughulikia mafisadi wa EPA, Richmond, Kiwira n.k. Pia kwa taarifa yako wanasiasa ndiyo chanzo cha ufisadi. Porojo sasa basi...
Date::7/12/2008
Kambi ya upinzani wafurahia waziri kuitosa serikali bungeni
Na Kizitto Noya
Mwananchi
KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk Willibrod Slaa amesema...
Isles AG joins Zanzibar-a-country furore
2008-07-12 10:15:27
By Mwinyi Sadallah, Zanzibar
Zanzibar Attorney General Idd Pandu Hassan announced yesterday that he accepted Prime Minister...
US crisis over $5 trillion loans liability
White House scrambles for options to rescue mortgage companies Fannie Mae and Freddie Mac
James Doran in New York The Observer,
Sunday July 13...
ANALYSIS: CCM cadres' new book revisits Mkapa's troubled legacy
THIS DAY
IN our society, there is a group of people who felt relieved, perhaps, that the death of the country's founder Father...
Magazeti mengi ya leo Tanzania yamepambwa na taarifa za Mbatia wa NCCR kumtaka Spika wa Bunge ajiuzulu ati kwa kushabikia ushirikina Bungeni. Hii ni mara ya nne namwona Mbatia akitumika kama...
Katika pita pita zangu nimekuta ajali leo eneo la veta inayohusisha lorry aina ya Scania lililokuwa limebeba steel plate rolls kutoka bandarini
Chanzo cha ajali hiyo inasemekana ni uzembe wa...
Viongozi wetu wananipa raha sana kwenye mambo ya namna hii haa haoo! kama wametiwa umeme haikosi kusikia kila wakati kashfa zao na warembo hawa.
Wasomi kibao wanakwenda mikoani kwa reseach au...
Shelys staff comprises mainly of Indian and British expatriates. Tanzanian staff is still the minority and it was mentioned by the CEO that this is a major problem. Shelys would prefer to employ...
Leo nawakumbusha maneno ya Chacha Wangwe mara baada ya kuchaguliwa Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA. Alifanya mkutano na waandishi wa habari pale makao makuu ya CHADEMA ambapo pamoja na mambo mengine...
Invisible,
Naomba sana ulinde tunayoandika humu. Hiyo miaka ya baadaye, iwe 20 au 50 kutoka leo, tuliyoyasema yawe ya msingi, mzaha au kebehi, yabakie kama zilipendwa na tujikumbushe...
The Fox News Radio host that went to work for President Bush as his chief press secretary died Saturday of colon cancer. In a statement, Mr. Bush says "America has lost a devoted public servant...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.