Africa's telecom growth still the fastest, says ITU
By PHILIP NGUNJIRI
Special Correspondent
THE EAST AFRICAN
Africa continues to be the world's fastest growing market for communication...
Jamaniieee, nyie mnaokaa majuu kwasasa, hasa USA, tunaombeni mjitahidi msijeambukizwa huo uchafu wanaoufanya wamarekani. Jana niliangalia TV nikaona jinsi sheria za california zinavyowaruhu ma...
BAE chiefs held in corruption probe
Press Assoc. - Sunday, May 18 04:49 am
Two top BAE Systems executives have been detained by US authorities probing corruption allegations...
Habari zilizonifikia sasa hivi ni kwamba vibanda zaidi ya hamsini vimeteketea kabisa kwa moto katika Stendi ya Iringa. Vibanda hivyo ambavyo vilijengwa kuzunguka Stendi kuu ya Iringa vilijumuisha...
Baby buffalo's escape: the movie Amateur clip that became a YouTube sensation is made into a documentary by US wildlife channel
Robin McKie, science editor
The Observer, Sunday May 18 2008...
Hebu inakuweje serikali iwaamishe kwa nguvu watu toka ktk makazi yao kwa nguvu ? inakuweje serikali hiyohiyo itathimini yenyewe thamani bila kumuhusisha muhusika mwenye nyumba au kiwanja thamani...
California's Supreme Court quashed a ban on gay marriage in a historic ruling here Thursday, effectively leaving same-sex couples in America's most populous state free to tie the knot.
In an...
Serikali wanayadai haya hapa chini huku tovuti zao ziko ovyo kabisa; ni sawa na hakuna!!
Serikali yataka wananchi kuchangamkia teknolojia ya habari na mawasiliano
2008-05-14 16:01:40
Na...
Ndugu Watanzania wa DC, nafahamu Rais wa mapinduzi Zanzibar Mh. Karume alifanya maongezi na Watanzania wa hapo. Jee mswada mkuu ulikuwa nini?
Please naomba mtumegee hizo hint
Wameweka links tofauti na habari iliopo ndani.
BBC idhaa ya kiswahili inaonekana katika siku za hivi karibuni kuna dalili za uzembe.
Katika tovuti yake tegemeo kwa waswahili wengi hasa wale...
Nimesikia na kusikiliza mengi ila hili jina la CCM naona limebeba urefu wa maneno mengi kila mmoja na tafsiri yake ukilinganisha na vyama vingine vya siasa.
Je wewe kama mfuatiliaji wa siasa za...
Mwandishi Wetu
Daily News; Wednesday,May 14, 2008 @08:00
CHAMA cha Wananchi (CUF) kimeanika hadharani nyaraka zote zinazoonyesha kuwa mazungumzo baina yake na Chama Cha Mapinduzi (CCM)...
A look at some of the deadliest natural disasters around the world in the past 40 years:
May 2008: Earthquake (magnitude 7.9) hits Sichuan province in central China. Thousands are killed.
...
Kuna tetesi kwamba Mahita yupo kwenye jela ndogo (jela ya nyumbani) kwa sababu yupo chini ya uangalizi kwa kuwa alishirikiana na baadhi ya RPC na kina Zombe na kusupport mitandao ya majambazi hapa...
Ndugu wana JF na watanzania kwa ujumla,
Mahali fulani katika jukwaa hili suala la falsafa limehojiwa. hojaji hiyo imeambatana na madai ya kwamba taasisi zetu za kisiasa(vyama) havina misingi ya...
Kumbe hata ccm wamechukizwa na ufisadi wa jamaa zao? Wawaomba watanzania tuwaamini,tuwasadiki, je ni kweli ni vema kuwaamini kwa sasa kwa jinsi walivyotufikisha hapa tulipo?
Kwa kuwa umoja...
Nini Ajenda ya JF 2010?
Kama Tunavyoelewa kwamba sisi na Wananchi kwa ujumla tumechoshwa na ufisadi na uongozi mzima wa Siri-kali yetu.Tumebakiza miaka 2 kufikia uchaguzi wa 2010.
Ningependekeza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.