Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Ni mara ngapi unachunguza salio lako? Km uko ktk mtandao wa tiGo, angalia salio kabla ya kutuma SMS, kisha, km Delivery Report inachelewa au msg iko pending, angalia tena salio. Utagundua kuwa...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
WanaJF hebu isomeni hiyo attachment ingawaje ni nefu kidogo kisha mtoe comments zenu
0 Reactions
0 Replies
1K Views
WAMACHINGA, WAPUUZENI HAWA HAWANA SERIKALI HOTUBA YA MGENI RASMI NDUGU.MHONGA SAID RUHANYWA(MB) VITI MAALUMU CHADEMA KATIKA MKUTANO NA WAFANYABIASHARA NDOGONDOGO WA MKOA WA DAR ES SALAAM...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
WanaJf, Tulikuwa tukifuatilia Afya ya aliyekuwa Gavana na kushinikiza serikali imrejeshe ili aje kuhukumiwa kwa makosa aliyoyatenda. Wakati tukifuatilia hayo sisiem na sirikali wakaunda Tume...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Hapa mjini kumezuka kwa sasa sijui niite bahati nasibu au la katika sijui niita makampuni kama FOREVER la marekani NA POWER CLUB kutoka Italy. Kwa kifupi mtu unaweka kiasi flani cha pesa mfano...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Mafisadi wamefanikiwa Kwa takribani wiki nzima hapa JF na hata kwenye baa hapa nyumbani kote mjadala ulioshika kasi ni mkopo wa Mbowe. Je, mafisadi wamefanikiwa kutugeuza mawazo? Mbona...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Ni usiku wa saa 6 nimetoka katika pilika za maisha za kila siku , gari linasimama katika mataa ya magomeni mapipa , ghafla watoto wadogo zaidi ya 5 wanakuja upande wa dereva kama vile wanahitaji...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Jamani mimi nina swala, nina mdogo wangu kamaliza form four na hataki kwenda A-level. Nauliza kuna vyuo vinavyotoa degree kwa credentential za form fours? Kama US colleges au Canada ambazo...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kutokana na ramani nyingi ( mfano ni hiyo hapo juu) mpaka huu uko ukingoni mwa ziwa Nyasa/Malawi na ziwa lote ni la Malawi.Ina maana kuwa wavuvi na boti zetu zinaposafiri mno zinaingia bila kibali...
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Arthur C. Clarke, that British institution, visionary,pioneer, scientist, author, essayist and arguably the most fitting successor to H.G Wells, is no more.He was up there with Carl Sagan and...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
I don't own one, may be in the near future!... Anyway, what's your take on this turning point lawsuit?! Supreme Court considers 'right to bear arms' Justices set to mull gun rights...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Mali za vigogo sasa zaanza kukamatwa ::Ni wale waliokopa Mfuko wa Pembejeo na mwandishi wetu (Mtanzania) SERIKALI imeanza kukamata na kuuza mali za wadaiwa sugu waliokopa mabilioni ya...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hebu acha kujitembeza. Njoo hapa ujibu maswali yako na ya mwenyekiti wako, usijifiche miongoni mwa wamachinga Chadema kutetea wamachinga Na Muhibu Said CHAMA cha Demokrasia na...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Ndugu wana JF mwishoni mwa mwezi huu, kutakuwa na tukio moja la ajabu litakalo tokea kwenye ardhi alimo lala baba wa taifa. Jaribu kufikiri mkusanyika wa mafisadi watu wanaonuka kama hawa...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Hii kwa mujibu wa BBC leo.Hawa mabwana vipi tena ama wameona Kenya kumeiva basi na kwao je.....Soma link ya BBC kisha mgombe..CUF aisee wana kazi hawa watu...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Posted Date::3/14/2008 Timu ya Rais yatakiwa kuwataja mafisadi Na Ramadhan Semtawa Mwananchi MJADALA wa kutaka kutajwa majina ya watuhumiwa wa ufisadi katika Akaunti ya Madeni ya Nje...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Mtu aliyepotea njia hajitendei haki kwa kuendelea na njia ile ile aliyopotea akitegemea kuwa kwa "bahati" ataweza kufika kule anakotaka kufika. Tanzania tuliyo nayo leo hii ni matokeo ya safari...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Mnyika, naomba upokee ushauri wangu huu na utimize ninachokuomba. Kijana kwa kweli kwa muda mrefu sasa umekuwa ukipush kuhusu baraza la vijana taifa, kitu ambacho kinanishawishi kwamba hiyo ni...
0 Reactions
28 Replies
5K Views
By Helen Nyambura-Mwaura DAR ES SALAAM (Reuters) The Tanzanian soldiers burst into the water utility in Dar es Salaam last month and demanded to be shown the main distribution taps. When the...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Jukwaa la Siasa Tanzania (Tz Politics Forum) Tanzania & The World Politics General Discussion Forum. Click above to get connected! You need to be registered in order to post kwa sababu SIASA...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom