Hii haijakaa sawa, haiwezekani JF sasa hivi ndio inaongoza kupambana na ufisadi nchini halafu tunaruhusa watu wanajiita Fisadi humu tunawaruhusu, jamani tuonyeshe mfano. Pamoja na uhuru tulio nao...
Hivi progress ikoje kuhusu yale maandamano tuliyoambiwa yatakuwa somewhere in early feb? nimeitafuta thread sijaiona.
who is the organizer?
the information was valid?
No mum we are not attacking you because you're a woman, but we are attacking you because you lied to Tanzanians and you are trying your level best to make sure the BOT report is not released to...
CIA Director Michael Hayden told the Washington Post that the former Pakistani prime minister was killed by fighters allied to Baitullah Mehsud.
The Pakistani government accused Mehsud of the...
Wabongo waishio MD,DC na VA hivi karibuni watachagua viongozi wapya baada ya viongozi wa sasa muda wao kuisha,kuna wabongo wengi wanataka kugombea nafasi mbalimbali za uongozi,uchunguzi umeonyesha...
Heshima Mbele wnabodi,Tayari Jaji Mstaafu Lewis Makame keshatangaza tarehe ya uchaguzi wa jimbo la kiteto ambalo Mbunge wake alifariki Desemba 16 mwaka jana,marehemu Benedict Kiroya...
Posted Date:: 15.01.2008 @00:40 EAT
Cotton cooking oil puts men's fertility at stake
By Patty Magubira, Mwanza
THE CITIZEN
Widespread production of unrefined cottonseed oil is said to...
Jamani wakubwa Heshima zenu!
Kuna kitu mimi sijakipatia jibu maana sielewi kuna umakusudi au watanzani wenye tuu ndio magumashi kwenye suala la kupata Visa.
Majuzi nina jamaa yangu alienda...
Wakuu wote heshima mbele, toka siku nilipo-post dataz kwenye ishu ya Mwana-Halisi na acid, na kuahidi kuwa nitaleta zaidi nimekuwa siwezi tena kuingia JF kuna maneno mazito ya kutisha ati kutoka...
VITENDO vya kishirikina vimekigubika Kijiji cha Kasala, wilayani Kyela, baada ya mwanamke mmoja, Maria Asukenie (20) aliyekuwa mjamzito kujifungua ndama mweusi.
Ndama huyo alifariki dunia muda...
BARUA YA WAZI KWA MKUU WA WILAYA YA TARIME
Ndugu Mhariri,
Sisi ni kati ya wanafunzi wa shule ya sekondari Mwera Vision iliyo katika wilaya ya Tarime.
Tunachukua nafasi hii kuipongeza serikali...
Hivi karibuni pametokea majina yanayochanganya kidogo. Nilizoea kumwona MTOTO WA MKULIMA sasa naona kuna MTOT WA MKULIMA, vile vile nilimzoea MzalendoHalisi naona sasa kuna ZalendoHalisi. Hivi...
Niko kwenye kijibaa kimoja mitaa ya uswahilini na scene ninayoishuhudia mbele yangu ni kama ndoto vile. Yupo dada mmoja amejipiga mkorogo wa kueleweka na kwa kumtazama taratibu umbo lake na sura-...
Doubts grow over Iranian boat threats
· Pentagon climbdown over 'you will explode' video
· Mystery remains over where voice came from
Ed Pilkington New York
Friday January 11...
Sioni kwanini waliamua kulifanya hili swala la Balalli kujiuzulu siri. Muungwana angesema nimepokea barua ya kujiuzulu toka kwa Gavana wa BOT Ballali, lakini nimeikataa barua hiyi mpaka hapo...
Heshima Mbele.Kuna Taarifa ambazo nimezipata kutoka kwa Afisa mmoja Mwandamizi wa Usalama,Kaniambia Ndugu yetu Daud Balali Amefariki Dunia.Nimejaribu kuwasiliana na Mzee Mwanakijiji kasema ataweka...
ndugu wahusika.
ninaomba tuangalie hii adhaa wanayopata wananchi wa wanaotumia vivuko kigamboni.
kigamboni ni kati ya maeneo ya yanayokua kwa kasi sana katika nyanja za kibiashara,kilimo,utalii...
Posted Date::1/5/2008
Serikali bado yaiota Real Madrid
Na Vicky Kimaro
Mwananchi
SERIKALI bado inaiota ziara ya vigogo wa Hispania, Real Madrid, ambao walialikwa mwaka jana kwa ajili ya...
Aided by video cameras mounted on buses, San Francisco has launched an initiative to punish drivers who illegally park in transit-only lanes.
The goal is to clear traffic lanes for Muni buses...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.