Siku ya wapendanao sio siku ya impress demu wako. Kupenda ni KUTOA upendo na KUPOKEA upendo. Don't make execuse kwa mwanamke ambaye anataka kupokea tu. Mtupilie mbali.
Yani kuna mtu leo...
Wauza maua wa NAMANGA-KINONDONI wananunua maua meupe -reject na yaliyobaki kwenye maharusi , wanapulizia rangi nyeupe na kuyauza kwa wanunuzi , Tshs 30,000 kwa bando moja ambapo maua original...
Niende Moja Kwa Moja kwenye mada, enyi waislamu kwanini hamtambui uwepo wa mtoto wa nje ya ndoa wakati wa mirathi?
Eti mtoto wa nje ya ndoa hana haki ya kirithi mali za baba ake mzazi hivi sheria...
Cancer inapojitokeza mguuni ujue ilishasambaa sehemu kubwa ya huo mguu .. Mtu anapoumwa malaria huo ni mchakato wa zaidi ya wiki tangu siku alipoumwa na umbu mwenye vimelea!
Sakata la bandari...
Habari za jioni wakuu, naomba kuuliza, DP world amepewa aendeshe Bandari ya Dar Pekee au zimo na za mikoani pamoja na Tanga na Mtwara?
Pia kampuni ya MRC pale bandarini inajihusisha na Nini?
Mzee John Samwel Swai(61) mstaafu wa Jeshi la Polisi amemuomba Rais Samia Suluhu Hassan kumsaidia asiondolewe katika kambi anayoishi kwani bado hajalipwa fedha za mizigo pamoja na fedha za likizo...
Wenye kusema wamesema wapo waliolaani kupitishwa kwa mkataba huu wenye kushauri wameshauri njia nzuri za kuuvunja mkataba huu bila kuleta madhara makubwa watu wameziba masikio tutembee na msemo...
Mbunge wa Jimbo la Kisesa, Luhaga Mpina, ameitaka Serikali kueleza kwa nini mikataba ya uwekezaji wa Bandari ya Dar es Salaam na kampuni ya DP World haijawasilishwa Bungeni ili wabunge waweze...
Wakati Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) ikikabidhi Bandari ya Dar es Salaam kwa Kampuni ya DP World, Serikali inaangalia namna ya kufanya upanuzi wa bandari hiyo ili kuendana na ongezeko la...
Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji, Profesa Kitila Mkumbo amekanusha taarifa zilizozagaa mtandaoni kuwa serikali imeingia mkataba na kampuni mojawapo ya Saudi Arabia, kuwekeza eneo...
Dar es Salaam ni special case maana nadhani hata police wameshindwa kudhibithi ili janga, nilipata nafasi ya kutembelea huko jijiji dar in short sehemu yoyote ile ndani ya dar ukitaka utelezi ni...
John Peter ni nani kwake? Kwanini ametoa taarifa kwa umma ya kumlinda kwa kusema dereva alishambuliwa na kitu chenye ncha kali wakati alishambuliwa kwa risasi...
Wakuu habari..
Aseee nataman kuhama hapa dar, hapa mjini pamoto sana, gharama zipo juu kinoma, na matumizi ya pesa ni kila siku , just imagine hata kuuliza sehem kama umepotea wata wanaku charge...
Msajili wa Mabaraza ya Ardhi na Nyumba ya Wilaya nchini, Bi. Stella Tullo, amesisitiza umuhimu wa mashauri kumalizika kwa wakati na kwa Haki ili kuhakikisha wananchi wanapata haki za umiliki wa...
Zaidi ya satellite 120 za Elon musk zinaanguka toka Angani
Kuna kipindi ulikua unaangalia Angani unakutana na rangi nyingi juu zinakimbia kwa kasi zikiwa mchanganyiko hizo ni satellite za Elon...
Ukraine imekubali kuipa Marekani madini yake yenye thamani ya $500B
Moscow imepiga kelele isiyo na madhara
Ulaya imefuata nyayo za Trump
Marekani hadi muda huu imetumia $183 B kama msaada wa...
MAOMBI MAALUM YA KUVUNJA LAANA(ROHO) YA KUPOTEZA VITU VYA THAMANI VINAVYOINGIA KWENYE MAISHA YAKO...
PIA KUSAMBARATISHA ROHO YA HASARA...
👇👇👇👇👇👇👇👇👇
Naongea na wewe ambaye kila kitu cha thamani...
Serikali imeingia mkataba wa kuanza Ujenzi wa uwanja Mpya Jijini Arusha Maarufu kama Samia Suluhu Hassan Stadium ambao ni Mahsusi Kwa Ajili ya Maandalizi ya AFCON 2027.
Uwanja huo utagharimu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.