Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Hakuna mahali pagumu na pachungu kama kwenye mazishi yanayowakutanisha watu mahasimu wasiopatana au kuelewana, iwe ni ndugu, majirani wafanyabiashara, wanasiasa n.k. Ni mwendo wa kunafikiana tu.
4 Reactions
14 Replies
471 Views
Baada kusoma taarifa nyingi na maoni mbalimbali za Chadema, Mbowe anaonekana ni king'ang'anizi kama kupe wanachama hawamtaki wanamuona mzigo kama vurushi la nnya lakini hataki kutoka kwa heshima...
2 Reactions
12 Replies
207 Views
Miaka mingi iliyopita, nilipokuwa katika ujana wangu uliojaa wasiwasi na mashaka, nilikutana na mwanamke mzee mwenye busara nyingi, aliyekuwa na umri wa miaka sabini na tano. Alinipa nasaha za...
11 Reactions
10 Replies
495 Views
Waafrika wengi hung'ang'ania madaraka kwa hofu ya kurudia kuishi maisha yao ya kawaida ya zamani. Lakini aliyekuwa Rais wa zamani wa Liberia, ambaye alishindwa kwenye uchaguzi Mkuu wa nchi hiyo...
29 Reactions
79 Replies
4K Views
Yaani huwezi kuamini Wananchi baadhi huku wamekuwa wanateseka saaana na kero ya umeme! Umeme unakata saa moja usiku na kurudi saa 5 usiku! Mchana unakatika na kurudi.. "This is too much" Hii ni...
1 Reactions
23 Replies
479 Views
Wakuu naomba kujua kama hawa makomandoo ni kama wale ambao huwa nawaona kwenye video. Kuna mmoja nilipanda nae daladala la posta G/mboto na pale begani pameandikwa kabisa komandoo ,,, ,,,, ...
11 Reactions
346 Replies
86K Views
Kwa wasichana ni unyago, na kwa wavulana ni jando! Katika huu uzi, ,neno "jando" limetumika kama neno la jumla kwa wavulana na wasichana! Haya, twende sasa! Kama umeshafika kwa Wakurya, Wamasai...
0 Reactions
23 Replies
361 Views
Jambo hili haliwezekani ndani na nje ya sayari yetu. Chama cha kupigania demokrasia kuwa na mtu ambaye haamini kama kuna watu wanaweza kuchukua nafasi yake Chama cha kupigania demokrasia...
5 Reactions
21 Replies
493 Views
Rais Mwinyi ndani ya miaka 4 kaifanyia Zanzibar Mambo makubwa sana hasa ukizingatia uwezo wa kibajeti ni mdogo. Mfano mdogo tu, ndani ya miaka yake yake 4, amejenga shule za ghorofa 34. Kwahiyo...
0 Reactions
8 Replies
381 Views
Kwamba Mume wa marehemu hajulikani jina au jina limehifadhiwa Kwa sababu za kiuchunguzi? Wanaume tambueni kwamba ukiona msomi tena mtumishi usiwe na moyo mdogo vinginevyo yatakukuta. =========...
6 Reactions
50 Replies
5K Views
Katibu mkuu wa Baraza la maaskofu katoliki Tanzania anafaa kujitafakari, kwasababu anatajwa kuacha majukumu yake ya kuhubiri neno la Mungu na kuhusika kuligawanya kanisa hilo kisiasa na kushindwa...
0 Reactions
43 Replies
1K Views
Serikali imekuja na utaratibu Mpya wa utoaji wa Elimu ambapo imebadili mitaala na kuwa na mfumo unaolenga zaidi kutoa maarifa na ujuzi yaani Competency Based Curriculum.(CBC). Kwa Sasa utaratibu...
11 Reactions
63 Replies
2K Views
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa amezindua Mikakati sita ya Mawasiliano ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi na Vyombo vya Usalama na kuagiza utekelezaji wa mikakati hiyo kuanza...
1 Reactions
0 Replies
137 Views
ni mjomba lakini, yani TECNO zina ringtone mbaya sana, ukienda mjni kua na busara simu yako weka vibration. tuwe na busara
13 Reactions
57 Replies
1K Views
2011 kulikuwa na Maandamano ya Machinga, Askari wa FFU baadhi waliuawa na mabomu ya machozi yaliisha, Muda huo Kikwete yupo njiani kuelekea Mbeya, Ilibidi watumwe JWTZ kutuliza hali (hakukuwa na...
3 Reactions
27 Replies
760 Views
Mzee wa ujasusi napenda kukinukisha kwamba pamoja na tofauti za itikadi baina yetu wawili ila natambua uwezo wako mkubwa wa kusoma na kuandika. Unastahili tuzo hata kama ukikosa basi tambua wewe...
8 Reactions
27 Replies
1K Views
Baadhi ya waendesha Pikipiki ‘Bodaboda” wa Manispaa ya Kigoma Ujiji wameandamana wakidai kupinga tabia ya Askari wa Jeshi la Polisi Mkoani hapo kuwakamata mara kwa mara kuwatoza faini na wengine...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Wakuu nimevumilia nimechoka! Kuna Siri Gani kati ya jezi iliyoandikwa CREFISA na watoto wa kike? Au ninyi wenzangu huko mliko hamkutani nao? Najua na vijana wa kiume wanavaa ila sijawahi ona...
6 Reactions
27 Replies
1K Views
Je, hilo swali ungejibuje? Mimi kwangu kwanza maisha yangekuwa ya maana sana. Ningeishi kitakatifu zaidi. Wekeni majibu yenu tusome!
4 Reactions
34 Replies
585 Views
Mungu awabariki JWTZ! Uzalendo wao kwa taifa letu si wa kutiliwa mashaka! Lakini hata hivyo sizungumzii majeshi kwenye hii mada! Ninaawalenga viongozi na raia kwa ujumla! Japo siyo wote, lakini...
3 Reactions
19 Replies
403 Views
Back
Top Bottom