Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Huwa nashangaa unakuta mzazi anakua tegemezi Kwa kijana ambae amejitafuta Kwa jasho na damu amejipata mzazi anakua analandalanda kumnyonya huyu kijana Kwa lengo kwamba amemzaa kwani huyu mzazi...
41 Reactions
422 Replies
6K Views
Nimeiona hii huko mtandaoni sihitaji kueleza;
2 Reactions
14 Replies
446 Views
Kumekua na wimbi kubwa la watu wanaojiita manabii likiongezeka kila kukicha na manabii wote hao wameanzisha makanisa yao. Manabii hawa wamekua ni wengi kuliko hata wale ambao wametajwa kwenye...
6 Reactions
73 Replies
2K Views
Waraghbishi ni wananchi wanaofanya kazi ya kuichokoza jamii iweze kujitambua na kuona wao ni watendaji wakuu katika maendeleo ya maisha yao. Zaidi ya waraghibishi 170 kutoka Lindi, Mtwara, Dar es...
2 Reactions
1 Replies
713 Views
Eeeh tusichoshane kwa mijadala isiyo na afya ooh Lisu hana adabu katumia sana pesa ya Mbowe haya sasa nguvu ya umma tunamtaka Lissu nyie timu mbowe leteni gharama alizotumia boss wenu tumrudishie
2 Reactions
34 Replies
828 Views
Menejimenti ya Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki imekutana na Tume ya Rais ya Maboresho ya Kodi na kuwasilisha mapendekezo ya maboresho yanayoigusa moja kwa moja Wizara ya...
0 Reactions
0 Replies
225 Views
Naingia kwenye mada moja kwa moja bila kupepesa macho wala kutikisa masikio. Kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikifuatilia huduma zinazotolewa na hawa manabii na mitume wanaoibuka kama uyoga hapa...
21 Reactions
154 Replies
9K Views
Kwa muda mrefu, nimekuwa natafakari juu ya tabia za watu (kama kiburi, uvivu, ulevi, wizi na kila aina ya utovu wa nidhamu) na athari zake katika familia zao na hata kwa Jamii, nikagundua kwamba...
2 Reactions
6 Replies
300 Views
Ukipita kwenye Mitaa ya Miji yetu Mingi ni michafu kupindukia kuanzia masokoni Hadi kwenye mitaro ya maji Kila sehemu imegeuka kuwa dampo. Maeneo ya biashara hayana dustbin Wala ndoo za maji ya...
0 Reactions
5 Replies
170 Views
Wazee hapa mtusaidie tu kupaza sauti maana hali sio shwari kipindi hiki cha watu kurudi makazini kwao. Polisi kitengo cha usalama barabarani wamezuia magari kwa kigezo cha uhakiki wa leseni kitu...
2 Reactions
7 Replies
313 Views
Na huu ni ushauri kwa walevi wote wanaoishi Duniani. Walevi naongea na walevi wote dunia nzima wale wastaarabu nawaweka pembe ila walevi ambao sio wastaarabu huu uzi unawahusu, mkishalewa...
11 Reactions
112 Replies
2K Views
1. Put your kids in schools you can afford because expensive schools don't guarantee good results. Just ensure they attend a good affordable school 2. Rent apartments you can pay for...
2 Reactions
4 Replies
210 Views
Kwa utafiti wangu wa maandiko, manabii wa uongo bado hawajaanza kuja. Hawa tunaowatuhumu ni watafuta maisha, wanasaikolojia, waganga na wachawi wa kawaida tu. Biblia imetabiri watafanya Ishara...
10 Reactions
19 Replies
463 Views
Kama kuna watu whuni, wanyama katili na wenye rohombaya sana basi hawa ndugu wanaongoza. Wao wanachojua ni mashindano yq kukusanya pesa tuu na kuzitumia kwenye mambo binafsi ya kifahari na...
40 Reactions
136 Replies
3K Views
Wakuu habarini!! Nimeoa katika familia ya mzee mmoja msitafu,huyu mke wangu ni mtoto wa mwisho kwao... Leo nimeshangaa ameniita kwenda kuangalia kiwanja akasema kama nimekipenda nichukue...
8 Reactions
50 Replies
2K Views
Tunamalizia wiki iliyokuwa na drama nyingi kuhusiana na mwajiriwa wa Msanii Masanja mkandamizaji kwa cheo cha katibu kwenye shughuli zake za usanii na kanisa aliyepoteza uhai kwa kinachosemwa...
40 Reactions
154 Replies
14K Views
Habari!!!! Naomba kujua mnatunza vipi vyakula kwenye friji ili visiharibike? Mfano; samaki,nyama,nyanya,karoti,matunda,na mboga mboga? Je? Mnawasha friji kila siku bila kulipumzisha,au mnawasha...
18 Reactions
156 Replies
9K Views
Kuna kifungu niliwahi kusoma kinaruhusu kuwa Mtu akiwa sio Muislam na hataki kuwa Muislam anatakiwa kuuawa hilo ni agizo la Mtume ambalo neno hilo lina ruhusu kuua Ndio maana ya mafundisho ya...
12 Reactions
293 Replies
5K Views
Kwa mujibu wa matokeo ya sensa ya watu na Makazi ya 2022 toleo la majengo imekuja na takwimu zinazoonesha Hali duni za Makazi ya Wananchi Kwa maeneo mengi sana. Cha kushangaza Mikoa ambayo ni...
12 Reactions
86 Replies
3K Views
𝗧𝗔𝗡𝗭𝗔𝗡𝗜𝗔 𝗪𝗘𝗡𝗬𝗘 𝗞𝗨𝗧𝗨𝗠𝗔 𝗠𝗔𝗨𝗗𝗛𝗨𝗜 𝗠𝗔𝗖𝗛𝗔𝗙𝗨 𝗠𝗧𝗔𝗡𝗗𝗔𝗢𝗡𝗜 𝗞𝗨𝗞𝗔𝗠𝗔𝗧𝗪𝗔 Ongezeko la watumiaji wa intaneti Tanzania imezongezeka kutoka mwaka 2023 kwenda 2024/2025, huku zaidi ya watu Milioni 33.3 wanatumia...
2 Reactions
28 Replies
651 Views
Back
Top Bottom