Habari...
Ntafuta marafiki wa jinsia zote wa kupeana nao changamoto za kimaisha, ushauri na kubadilishana mawazo.
Nitafurahi sana wakiwa watu simple, watafutaji, wenye mawazo chanya, uvumilivu...
Habari za sikukuu wapendwa
Nikiwa kama mwanajamii asee haya mambo yanayofanyikaga siku kama hizi za sikukuu(ukitoa siku nyinginezo),hali ni mbaya mno mtaani
Ndani ya siku hizi 2 tu yaaani jana...
Nashangazwa sana ndoto nazoota,kuna wakati nawaota watu ambao nawajua,lani kuna wakati nawaota watu ambao sijawahi kuwaona hata siku moja,na sina uhusiano wowote nao.Wajuzi hebu nitoeni...
Habarini wanajamii forum!
Tuingie kwenye mada moja kwa moja..
Mimi ni kijana aged 24 years,katika kipindi fulani cha maisha nikiwa shule ya msingi nilipoteza uwezo wa kusikia (deafness) nasikia...
Hivi niseme kutafuta vyanzo vya mapato katika msikiti na kwanini ni wao tu mbona Makanisa katoliki hakunaga utaratibu huu?
Na wale wazee wanakuwepo pale Kkoo na bango la msaada wa ujenzi Msikiti...
Teknolojia ya AI na drones inaleta mapinduzi makubwa katika sekta ya kilimo cha misitu, ikilenga kuongeza uzalishaji kwa njia endelevu huku ikilinda mazingira ya asili.
Kwa kutumia teknolojia...
Wasalaam.
Zimesalia siku 20 tu mwaka 2019 uishe. Ni siku chache kweli kweli na zinakwenda kasi haswa.
Wengi watakuwa wanatafakari namna miezi 12 ilivyokwisha na huku wangali:
- Hawajatimiza...
Moja, haonekani.
Pili, anatetewa na binadamu.
Tatu, hakuna ushahidi wa kisayansi.
Nne, anaenezwa kwa imani na vitisho siyo ufahamu.
Tano, wanaomhubiri wanatofautiana na kuchukiana.
Sita...
Mtaani mchuano wa DStv na AzamTv ni Mkali sana.
DStv katika kuendana na kasi ya AzamTv ameamua kuachia ofa chaneli zote bure hata kama hujalipia kuanzia jana Desemba 27 mpaka kesho Desemba 29...
Naomba kujua changamoto mnazokutana nazo katika mfumo wa TARURA wakulipia maegesho watu mnaomiliki vyombo vya moto hasa katika vipengele hivi;
1.Uharaka katika kufanya malipo.
2.Usahihi katika...
Kurunzi la mwendawazimu mimi ,mtoto wa mkulima na mwananchi wakawaida najaribu kufikiria ,Katika 2024 na 2025, tunapoendelea na mabadiliko makubwa, tunapaswa kutathmini ni nini tunathamini leo...
Bado siku moja namba zibadilike kutoka 2024 kwenda 2025
Kiukweli mafanikio niliyo pata 2024
1. Afya njema, afya yangu ipo safi, sijapata ulemavu wowote, damu ipo safi, moyo upo safi, kiujumla...
Kuna uzi uliwekwa humu kuhusu mambo mema ambayo wametendewa na Mungu, cha kushangaza wengi walianza kushukuru kwa kupewa uhai.
Mimi kwa mtazamo wangu sidhani kama uhai una faida yeyote kwa...
Mimi si kkamilifu ninamapungufu yangu lakini ouna mambo unakutana nayo unaona hii ni zaidi ya mapungufu.
Sina nia mbaya lakini ni mawazo ambayo nadhani siko pekeangu.
Unaweza muona mtu anaumwa...
Wakuu Sallam
Siku chache zilizo pita Kuna mdau iliweka thread humu JF aliuliza kumbe ukitoka kwenye uislamu unahukumiwa kifo,mada ambayo imezua mjadala mkubwa sana wachangiaji wengi wameonekana...
A.Mikoa yenye amani
1.Lindi.
2.Iringa
3.pwani
4.Dodoma
5.singida
Vigezo
1.matukio ya mauaji machache na ukatili wa kijinsia
2.matumizi machache ya madawa ya kulevya
3.stress kidogo
B.mikoa yenye...
Baada ya kusikia kuna mdahalo, wengi wanaojiita wakristo hapa jamiiforums wamecharukwa as if mdahalo huo ni offensive.
Kuitwa Christopher, Judith n.k hakukufanyi uwe na umiliki na Yesu kristo...
Mamlaka ya Uhifadhi na uendeshaji wa Mji Mkongwe Zanzibar kwa kushirikiana na taasisi nyingine za serikali zimekubaliana kuwaruhusu vijana wa wapiga makachu katika eneo la Forodhani kuendelea na...
Sio Kila rafiki, ndugu, mke au majirani wako karibu na wewe kwa sababu ya Upendo sio kweli ni Njaa tu ndo zinazowafanya wawe karibu na wewe.
Siku wakizipata pesa au kuwa na uwezo wa kukidhi...
👉Wanasoma journalism miaka mitatu wanakuja kuajiriwa watu wanaojua kuropoka na kuongea mada za udaku ambao ni fomfour failure
👉Watu wanasoma masomo ya biashara Chuo lakini matajiri wanakuja kuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.