Habari za mchana,
Maisha ya uswahili sio poa poa kama hujayazoea unaweza pata shida sana.
Kuna kipindi nilienda kwa Azizi Ally kumsalimia mtu huko sasa kufika pale tunapiga story gafla kaingia...
Nilikuwa nikifikiri pingu zinapatikana Polisi tu, lakini kumbe hata "watu wengine" wanaweza kuwa nazo!
"Watekaji" waliomteka marehemu Ally Kibao na hatimaye "kumpoteza", walikuwa na pingu. Lakini...
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Utangazaji Zanzibar (ZBC) Ramadhani Bukini leo ametembelea Ofisi za Ubalozi wa Tanzania nchini Comoro ambapo amefanya mazungumzo na Maafisa Ubalozini hapo wakiongozwa...
Wakuu kuna jamaa anaitwa amos nyanda ni nani hasa?
Jamaa ana madini sana aisee na kati vijana ambao miaka kadhaa watafika mbali sana.
Mshikaji yupo vizuri sana kule X anatoa madini sana ya...
Huku kuna vibaka na wahuni aisee! Ukiwa mgeni hujulikani unaweza ukakabwa hata mbele ya wamama wakaanga sambusa na wakabaji wasifanywe kitu chochote.
Kuna sehemu ya kuizidi Kiwalani kwa vibaka...
Kwa upande wa Usafiri wa Mabasi nitajikita zaidi Nyanda za Juu Kusini ambako Nina uzoefu Nako na nimeona Kuna uhitaji wa usafiri.
(A).Routes Kutoka Mbeya
1.Mbeya-Bukoba via Kahama...
Wakuu, kuna kisa nimekikumbuka kwamwe sitokisahau nikaone niweke hapa jukwaani ili tuweze kushare safari kutoka mkoa kwa mkoa ambayo huwezi isahau. Nakumbuka kipindi nipo chuo mwaka wa pili...
Kupitia jukwaa hili naomba, kuifahamisha Serikali...na isijifanye hailioni hili...
BAKWATA ni dhehebu la TWARIQA, miongoni mwa madhehebu tu kama vile lilivyo, HIZB TAHRIIR, TABLIIGH, SALAFY...
Kamishna wa Kodi za ndani wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Alfred Mregi (aliyemwakilisha Kamishna Mkuu wa TRA, Yussuph Mwenda), akizungumza wakati akifungua Mkutano wa Mwaka wa Kodi wa Kampuni...
Kwa mtu ambaye tayari ni muajiriwa, na anataka kusoma degree nyingine, je aanze na uhasibu then CPA ndio afanyiwe recategorization, au haiwezekani kusoma CPA bila kua na degree ya uhasibu? Kama...
Ni pale unapo kua masikini ndo utaubiliwa kwamba lazime uwe na mke mojo na hakuna kutengana hadi kifo, kwasbabu mmekua mwili moja Mungu amewaunganisha hamna wakuwatengenisha isipo kua kifo tu...
Wakuu kuna mahali nadai senti zangu sasa asubuhi nilitaarifiwa kwamba wametuma muamala kutoka akaunti yao ya CRDB kuja akaunti yangu ya NBC. Nimepita mchana kwa wakala pesa haijaingia. Nikapiga...
Binafsi mimi siyo mhaya wala mchaga ila nimeona nyuzi nyingi sana wanakosoana na kutaniana. Jambo la kushangaza zaidi hata kama uzi unahusu mambo mengine akitangulia mhaya kutoa maoni yake ujue...
WAZIRI MHAGAMA: TUTAENDELEA KUSHIRIKIANA KATIKA SEKTA YA AFYA
Waziri wa Afya, Mhe. Jenista Mhagama Novemba 13, 2024 amekutana na Mwakilishi mkazi wa Shirika la Afya Duniani (World Health...
Yeeeerrrrreeeeh!
Yani inasikitisha sana hii trend siku hizi wanaume tumebaki wachache sana.
Mwanaume unatakiwa kudhibiti hisia na uwoga.
Unakuwa Imara na thabiti kwa kila aina ya changamoto...
ARUSHA
WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi Dkt. Pindi Chana(Mb) ameipongeza Menejimenti na Watumishi wa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA),kwa kazi nzuri ya uhifadhi pamoja na...
Wanao ahidi kukuamsha watakuchelewesha makusudi halafu waseme walipitiwa😊
1. Jifunze kuamka bila kushikwa mkono
2. Jifunze kutembea hata kama una usafiri.
3. Jifunze kukaa chini hata kama una...
Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake (TAMWA) kwa kushirikiana na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) wameandaa tuzo za umahiri kwa waandishi wa habari Watanzania zinazojulikana kwa jina la...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.