Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane

JF Prefixes:

Wakati wa pre-match press conference, na kwa wale wataalamu wa saikolojia mtakubaliana nami kwamba Msemaji wa Simba na semaji la CAF Bwana Ahmed Ally alionesha ishara zote za Leo timu yake...
0 Reactions
1 Replies
205 Views
Kuna muda nilikaa na wafanyakazi wenzangu tukaulizana hivi ni nani kati yetu anamiliki gari kali kama G-wagon na AudiRs7 kupitia ujira ule ule unaotokana na kazi yetu jibu likawa hakuna...
37 Reactions
124 Replies
7K Views
Wakuu, Hata nguvu ya kutoa salam leo sina! Nikaona tangazo huko Instagram mgahawa umepambwa, vyakula vinavutia, wakisema kuna bufee ambalo haliishi chakula mpaka saa nne. Nikajibeba na swaum...
5 Reactions
37 Replies
940 Views
  • Redirect
0 Reactions
Replies
Views
Sheikh Sharif Firdaus ,muuza maji na mafuta ,mtoto aliyekuzwa na Mazinge anasema amekuwa akifturisha Hadi majini https://www.facebook.com/share/v/1H2A3tCEky/
2 Reactions
20 Replies
310 Views
Inajulikana mama aliyetakasika,bikra Maria ambaye ni mama yake Yesu alayhi sallaam alivaa kwa heshima sana na mapokezi ya mavazi yake yaliyotufikia kwa njia ya mchoro inamuonesha hivyo. Masista...
4 Reactions
24 Replies
401 Views
Habari! Wanajukwaa siku za hivi karibuni bandarini kumekuwa na hali mbaya sana katika uingiaji na utokaji wa malori bandarini lori ambalo linaanzia foleni malawi cargo mpaka lifike kitopeni...
0 Reactions
12 Replies
470 Views
Nimekaa mda huu hapa mbezi stand...jua linachoma halafu tumepangwa kwenye foleni masaa mawili sasa hakuna dalili ya gari...nahisi kichwa kuuma unaweza kuzimia kabisa....hii foleni utafikiri ya kwa...
4 Reactions
10 Replies
387 Views
Habarini za wakati huu wana jamii forums, ni matumaini yangu mu wazima, kwa wale wenye changamoto za kiafya Mungu awafanyie wepesi. Kuna kisa kilitokea miaka kadhaa iliyopita, nimekikumbuka...
16 Reactions
81 Replies
1K Views
Marekani imekuwa, na inaendelea kuwa, nguvu kuu inayotawala siasa za kimataifa kwa mkono wa chuma uliofunikwa kwa glavu ya hariri. Hakuna taifa linalojiita huru lakini likakubali kuwa na mahusiano...
2 Reactions
6 Replies
165 Views
Wakuu hivi huu mradi kuna mwenye taarifa ya utekelezaji wake? Mwanzoni mwa mwaka huu tuliambiwa Serikali imesaini mkopo wa mabilioni kwa ajili ya kujenga miundombinu katika jiji la Dar es Salaam...
4 Reactions
14 Replies
649 Views
Huu wimbo uliachiliwa Mwaka 2001, katika albam yake ya Machozi, Jasho na Damu. Nitachambua na kuunganisha na Matukio ya sasa ambayo enzi hizo yalikuwepo ila baadhi ya watu wanayafanya kama ni...
21 Reactions
67 Replies
4K Views
Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Barabara Tanzania (TANROADS), Mhandisi Mohamed Besta amesema wameiona video clip iliyopostiwa na Mtangazaji wa Clouds media Khan Mbarouk siku mbili zilizopita...
4 Reactions
49 Replies
1K Views
Hivyo ndivyo ninavyomuona Tundu Lissu kama nabii au mtume namimi najiona kama mfuasi wake. Yani kama wale wanafunzi 12 wa Yesu ndio Mimi na Lissu ndio Yesu.
1 Reactions
7 Replies
126 Views
Duh? Mimi siamini kampuni za kibongo hata kidogo,hadi leo walioweka Pesa zao DECI zimepotea hawajalipwa,vp kuhusu hii Rifaro Africa? Hapana hii ni DECI nyingine. Hii kampuni inajihusisha na uuzaji...
0 Reactions
61 Replies
19K Views
Unakuta jitu linakaribia kugonga 50 yrs , ila likiwa mbele ya hadhara linasema lina miaka 32yrs au hata miaka 15yrs, hii yote mnafanya ili iweje..??.. Kuna faida gani ukijulikana una umri mdogo...
4 Reactions
27 Replies
277 Views
Wakuu kwema, naomba nishare mapito yangu ya utafutaji maisha toka 2019 hadi 2024. Maana nashindwa kuelewa kwanini kila kitu nachokifanya hakifanikiwi. Naamini kupitia huu uzi nitapata abc za...
12 Reactions
81 Replies
3K Views
"Kokote alipo Laazizi wangu Advocate Gwajima anisikie yeye ndiyo injinia wangu na saa kumi na mbili asubuhi kashanipigia simu na tumezungumza yanayotuhusu na ratiba zake nazijua na yeye zangu...
13 Reactions
40 Replies
1K Views
Back
Top Bottom