Wakati wazee zaidi ya miaka 80 ni waathirika wakubwa wa Korona huyu ajuza wa miaka 102 aliugua lakini kasepa
Siri yake ni tizi, hupenda kucheza dansi haswa nyimbo za Fred Mercury yule mzawa wa...
Habari za mda huu wapendwa, tumaini kila mmoja Ni mzima wa afya pamoja na mapambano ya Corona.
Niende moja kwa moja kwenye lengo la uzi huu. Tanzania tumejaliwa kuwa na watu maarufu ambao...
Marekani wao hunusuru zaidi makampuni lakini Ulaya hulenga kunusuru watu moja kwa moja
Pamoja na kupitishwa matrilioni mawili na ushee bado waliopoteza kazi Marekani ni 3,3 m
Denmark kama mfano...
Wenye Wivu mpooo!? Acha kagame aitwe kagame bana!mzalendo na mchapa kazi,Kigali arena imejengwa ndani ya 6moths.10,000 seats, NBA Modern Stadium yenye all facilities inside.
Rwanda has deployed policemen and soldiers across the country to enforce a lockdown that went into effect last weekend and has warned that anyone found violating the lockdown will be arrested or...
Eric Torales is facing 15 years for failing to self isolate
A CORONAVIRUS “spreader” is facing 15 years in jail after reportedly infecting 11 people at a birthday bash with the killer disease...
Watu**(title editing).
TEHRAN, Iran (AP) — Standing over the still body of an intubated 5-year-old boy wearing nothing but a plastic diaper, an Iranian health care worker in a hazmat suit and...
Imetoaa tangazo kwa madaktari wa nchi yoyote duniani, wote wenye ndoto ya kuishi na kufanya kazi Marekani, wawasilishe maombi yao kwenye ubalozi wowote karibu nao, wajiandae kuondoka, hii ndio...
Rais wa China amesema nchi yake na Marekani lazima ziungane kupambana na janga la Corona, huku mawaziri wa fedha wa Umoja wa Ulaya wakitakiwa kufikia mpango wa kuuokoa uchumi wao uliodhoofishwa...
Prime Minister Boris Johnson has tested positive for coronavirus, Downing Street has said.
Kupitia ukurasa wake wa Twitter, Waziri huyo amethibitisha kuwa na maambukizi huku akiwa na dalili za...
Katika hypothesis yangu nimejaribu kukusanya Dots jinsi Sayansi inavyosema na Nadharia ya kiimani . Naweza Sema hata kama huamini Mungu sasa anza kuamini.
Ni jambo lisilowezekana kisayansi kusema...
Dunia ijiandae kwa ongezeko la idadi ya binadamu maana kama tutabaki ndani kwenye nyumba zetu, basi itakua mwendo wa kuzaliana tu, viwanda vya mipira ya kondomu vimefunga havizalishi halafu huku...
Wakuu hamjambo?
Nimekuwa nafuatilia kuhusu hili gonjwa la Corona kwa wataliano, naona linawapukutusha kama mti unavyopukutisha majani wakati wa kiangazi.
Idadi ya vifo inasoma 400+ kila...
Wakati tumeambiwa hela zetu haziambukizi vidudu vya corona kwamba vina madini ya kuzuia corona, nchini Australia pesa za noti na coin zimepigwa marufuku kwa madai ya kusambaza virusi vya corona...
The COVID-19 pandemic has shown clearly how evil the West is.Those who believe rhetorics of the West about human rights,democracy,good governance, social responsibility,interests of the people...
Pamoja na kujifungia ndani, vifo vinavyotokana na kirusi Italy havipungui kitu......
An overwhelmed Italian city at the heart of the coronavirus pandemic on Thursday sent more of its dead to...
Wasalaam!
Kumekuwepo na jitihada mbali mbali ambazo serikali za Afrika zimezichukua dhidi kuikabili Covic-19
Baadhi ya hizo jitihada Ni kufunga mipaka ya nchi, watu kusalia majumbani mwao bila...
Hali inazidi kuwa balaa Afrika, sasa kule South wanajeshi wameanza doria, thubutu kutoa pua nje unakutana nalo.....
South African National Defence Force soldiers march at the Doornkop Military...
Watu wawili waliokuwa na maambukizi ya Corona Virus wamefariki dunia nchini Afrika Kusini, na vifo hivyo vinakuwa vya kwanza kuripotiwa
Waziri wa Afya Dkt. Zwelini Mkhize amesema idadi ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.