International Forum

News and Stories from rest of the World
China imefanya maamuzi magumu ya kusitisha usafiri wa umma hasa katika mkoa wa Wuhan, unaokaliwa na watu karibu milioni tisa, wakati wa mlipuko wa virusi vya ugonjwa wa Corona. Watu wanaoishi...
3 Reactions
7 Replies
3K Views
Shirika la kutetea haki za binaadamu la Human Rights Watch limesema Rwanda inataka kuhalalisha mchakato unaoonekana kuwa wa maonevu wa kuwakamata na kuwafungia watoto wa mitaani kwa kisingizio cha...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Taarifa zinaeleza ndege yenye abilia 83 imeanguka huko Afghanistan. Kikundi cha Taleban kimedai kuhusika na tukio hilo na kueleza ndege ni mali ya jeshi la anga la Marekani ilikuwa na viongoz...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Ndege ya abiria yaanguka Afghanistan, maafisa wanasema. Ndege hiyo ilianguka katika eneo la Deh Yak wilaya ya Ghazni, kusini magharibi ya mji wa Kabul, msemaji wa mkoa ameambia vyombo vya habari...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Mwanamke mmoja nchini Australia amefariki dunia baada ya kushiriki shindano la kula keki katika siku maalumu ya Australia (Australia Day) mjini Queensland. Mwanamke huyo mwenye umri wa miaka 60...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Senate Minority Leader Chuck Schumer (D-NY) talks to reporters who are restricted to a pen on the second floor of the US Capitol during a break in the impeachment trial of President Donald Trump...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Sultan Qaboos bin Said alizaliwa November 18, 1940 Muscat, Oman. Elimu yake aliipatia nchini Uingereza. Baba yake mzazi ni Sultan Said ibn Taymur aliyezaliwa February 1910 Muscat Oman. Mwaka...
8 Reactions
212 Replies
33K Views
Ma shaa Allah. Kwa heshima na taadhima kubwa serikali ya Japan ikishirikiana na makampuni mengine binafsi imewaenzi Waislam kwa kuwatengenezea sehemu maalumu za kuswalia. Kuanzia Airport mpaka...
13 Reactions
210 Replies
13K Views
Ndugu zangu, Walianza ''The Economist'' baada ya kukamatwa Kabendera na sasa ''Financial Times'', wamewachoka au maadili ya taarifa zao hayaruhusu ile ''na mwandishi wetu''? Si Zitto wala...
4 Reactions
14 Replies
2K Views
Mfanyakazi mmoja wa benki anayehusishwa na kesi ya ufujaji na ulanguzi wa fedha dhidi ya mwanamke tajiri barani Afrika, Isabel dos Santos amepatikana amefariki mjini Lisbon. Nuno Ribeiro da Cunha...
2 Reactions
6 Replies
2K Views
JE BBC SIKU HIZI IMEKUWA BIASED BROADCASTING CORPORATION? Kwa miaka ya hivi karibuni idhaa ya kiswahili ya BBC imejikita Tanzania kana kwamba hakuna habari katika nchi nyingine. Halitokei jambo...
5 Reactions
80 Replies
6K Views
Countess of Wessex, 55, is set to take on more royal responsibility and represent the Queen, 93, at more engagements after Prince Harry, 35, and Meghan Markle's, 38, decision to step back from the...
0 Reactions
18 Replies
1K Views
Mvua kali zilizonyesha nchini Brazil zimepelekea maporomoko ya ardhi ambayo yamesababisha uharibifu mkubwa wa miundombinu. Watu 46 wafariki katika maporomoko ya ardhi yaliosababishwa na mvua kali...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mji wa Wuhan unaharakisha kujenga Hospitali mpya kusaidia kutibu Wagonjwa waliokumbwa na Virusi vya Corona ambavyo vimeshaua watu 80 na zaidi ya 870 wameambukizwa nchini humo Kusambaa kwa virus...
1 Reactions
4 Replies
4K Views
Kasi ya maambukizo ya kirusi corona inaongezeka na kuna uwezekano idadi ya wagonjwa ikaongezeka pia, Kamisheni ya Afya ya Taifa ya China imesema Jumapili. Wakati huohuo watu zaidi ya 2,000...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Mauaji yamefikia viwango vya hali ya juu nchini Mexico, huku watu 95 wakiuawa kila siku nchini humo - hii ikimaanisha kuwa mtu mmoja huuawa kila baada ya dakika 15. Kwa mujibu wa taarifa rasmi...
2 Reactions
30 Replies
4K Views
Au labda wamehujumiwa hawa....dunia tutamalizwa kimya kimya, juzi tiba ya kuponya cancer imegunduliwa, hatujatulia hili nalo limeibuka, sasa haya Machina yalivyo na mazoea ya kuja huku Afrika...
1 Reactions
53 Replies
6K Views
Published: 26 Jan 2020 | 15:38 GMT A Tehran-bound passenger plane was forced to return to Gorgan airport in northern Iran, as one of its engines caught fire shortly after takeoff. Footage has...
0 Reactions
0 Replies
613 Views
These Are the 5 Iranian Leaders You Should Know About Tensions between the United States and Iran seem to be deescalating again, but the countries clearly are still at loggerheads. Much media...
4 Reactions
111 Replies
8K Views
Colonial-era treaties In 1929, Egypt and Britain signed the Nile Waters Agreement. Britain signed as a representative of Uganda, Kenya, Tanganyika (now Tanzania) and Sudan. The document...
1 Reactions
1 Replies
678 Views
Back
Top Bottom