Hivi vituzo uchwara vya Nobel ni mpango wa mabeberu tu huu kuendelea kunyonya rasilimali.
Eti miongoni mwa sababu za kupewa tuzo ni kukubali ubinafsishaji/ubepari kubinafsisha rasilimali za nchi...
Men of the Lagos State Fire Service, Tuesday, prevented a situation which could have turned into an explosion and possible loss of lives and properties when they secured a fuel spilling tanker...
Kuanzia leo,jeshi la russia litaanza mazoezi ya kuzifanyia majaribio silaha zake zote za kijeshi,
ikiwemo icbm & cruse missile,ndege na meli za kivita,na vifaa vingine lukuki.
Kila kukicha tunaletewa habari moto moto jinsi gani Unyarwanda inavyopiga hatua kwenda mbele kimaendeleo, mara sijui wanaassemble magari, sasa nasikia wanatengeneza smart phones, yote heri na...
Kwanza nimpongeze kwa kununua lindege likubwa na la kisasa la maonesho. Inasemekana ni ndege ya kisasa hasa. Ndege hii yenye thaman ya Bilioni 450 Tsh au USD mil 200. Wanasema kwa Afrika ni ndege...
Amani iwe nanyi wadau!!
To be honest mimi nimekuwa fun wa Trump tangu wakati wa kampeni 2016.
Na nimekuwa nikikubali maamuzi na movements za Trump kwa 100%,since day one.
Moja kati ya mambo...
Hongera za dhati kwa Abiy Ahmed, Waziri Mkuu wa Ethiopia kwa kunyakua tuzo maarufu ya amani duniani "Nobel Peace Prize".
Soma zaidi...
Nobel Peace Prize: Ethiopia PM Abiy Ahmed wins
The 2019...
Taasisi ya kimataifa ya *Scimago Institutions* inayopima, kuhakiki na kulinganisha tafiti na Machapisho (Research Reports) za Uhandisi katika Sayansi na Teknolojia imetangaza katika Ripoti yake ya...
Iran yakamata meli ya Uingereza eneo la Ghuba
Haki miliki ya pichaERWIN WILLEMSEImage captionStena Impero
Kutakuwa na 'madhara makubwa''ikiwa Iran haitaachia meli ya mafuta ya uingereza...
Iran yazindua mfumo wa kiulinzi wenye uwezo wa kuona na kuharibu cruise na ballistic missiles na drones kwa umbali wa 400km.
Yetu ni macho na masikio.
Iran unveils 'upgraded missile defense...
Habari!
Rais wa Shirikisho la Urusi, ndugu Vladimir Putin anatarajiwa kuwasili nchini Saudi Arabia, tarehe 14 mwezi Oktoba mwaka huu na kwa mara ya mwisho kufanya ziara nchini humo ilikuwa mnamo...
Kampala. Askari polisi mmoja katika Wilaya a Sironko nchini Uganda amekamatwa kwa kumuua mtuhumiwa kwa risasi.
Askari huyo anayefanya katika Kituo cha Masaba anadaiwa kupiga risasi Mathew Wodeya...
Waziri wa haki wa Korea Kusini Cho Kuk ametangaza kuondoka madarakani wakati huu akichunguzwa kwa tuhuma za uhalifu wa kifedha na upendeleo wa kitaaluma kwa familia yake.
Akitoa tamko la...
Brigedia Jenerali Nilforooshan: Israel imezungukwa na Iran kila upande
Sep 28, 2019 12:23 UTC
Kamanda wa ngazi za juu wa Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu (IRGC) amesema utawala wa...
As Xenophobia has recently increased in SA, these fulls should watch this and learn from how Tanzania has immensely contributed to their liberation...
Watch this tremendous speech by Mwalim...
Dhoruba kali kabisa kuwahi kushuhudiwa tangu miongo kadhaa iliyopita nchini Japan imeangamiza maisha ya watu wasiopungua 23 na wengine zaidi ya 16 hawajulikani waliko.
Kwa mujibu wa kituo cha...
The plane, carrying President Felix Tshisekedi’s driver, a logistics manager and some soldiers, was headed from Goma to the capital Kinshasa and went off radar on Thursday afternoon, an hour after...
Maafisa hao wa Polisi wa Kambi ya Harhar GSU iliyopo katika Kaunti ya Garissa walikuwa katika doria kwenye barabara ya Damajale Harehare
Mkuu wa Polisi, Hilary Mutyambai amesema kuwa tukio hilo...
KIMBUNGA HAGABIS CHAIKUMBA JAPAN
Msemaji wa Serikali, Yoshihide Sugar amesema Wanajeshi 27,000 wamepelekwa eneo la Mashariki mwa Japan kwa ajili ya kuwaokoa watu
Kimbunga Hagabis kimesababisha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.