Rais wa Iran Hassan Rouhani leo ameondowa uwezekano wa kufanya mazungumzo yoyote ya moja kwa moja na Marekani na kutishia kuchukua hatua zaidi ya kupunguza ushirikiano wa Iran katika makubaliano...
Wabunge walioasi kutoka chama tawala cha Conservatives pamoja na wale wa vyama vya upinzani wameishinda serikali ya Uingereza katika awamu ya kwanza ya kuzuia Uingereza kujitoa Umoja wa Ulaya (EU)...
Nimesikia kwenye habari za dunia Leo jioni kuwa, Serikali ya Nigeria imemuita nyumbani balozi wake nchini Afrika Kusini kufuatia vurugu kubwa katika jijj la biashara, J'bug ambapo baadhi ya...
Baadhi ya Watanzania wanaoishi nchini Afrika Kusini wamelalamikia vurugu ambazo zinazoendelea nchini humo kuwa ni muendelezo wa chuki ya wenyeji dhidi ya raia wa kigeni.
Watanzania hao wamedai...
Authorities in the Bahamas made a last-minute plea to residents and tourists on Saturday to seek shelter as time ran out before powerful Hurricane Dorian hits, warning those that refused to move...
Hadi jana usiku wa saa 5 Bunge la Uingereza lilikuwa kwenye mjadala mkali kuhusu nia ya Waziri Mkuu Wao kutaka kujitoa EU bila maelewano.
Bunge hasa Upinzani Wao wakitaka kumzuia Waziri Mkuu...
Hong Kong inaendelea kukumbwa na maandamano. Baada ya vurugu mwishoni mwa wiki hii iliyopoita kati ya polisi na waandamanaji, maandamano mapya yanatarajia kufanyika leo, wanafunzi wakiwa katika...
Wabunge wa Uingereza wamepiga kura 328 dhidi ya 301, kuunga mkono juhudi za kuzuia mpango wa taifa hilo kujiondoa kutoka Umoja wa Ulaya bila ya makubaliano.
Hatua hiyo sasa inapisha njia kwa...
Walipotuma Drone lebanon waliambiwa watajibiwa kisawa sawa
Walivyo pata taarifa hizo Israel ikajipanga kisawa sawa na kutuma wanajeshi kaskazini mwa nchi wakafunga ni mitambo ya 24 hours ya...
Al Manar: Kamanda wa jeshi la utawala wa Kizayuni aangamizwa kwenye oparesheni ya Hizbullah ya Lebanon
Sep 01, 2019 17:16 UTC
Televisheni ya al Manar imetangaza kuwa harakati ya Hizbullah ya...
Hawa jamaa tunaodai ni ndugu zetu leo wameamua kutembeza mkong'oto za kupora mali za wageni hasa wa asili ya Africa. Kuna watu tumewambia humu. Huu udugu wa CCM na ANC hauna uhusiano wowote na...
Wananchi wa Burundi hii leo wanaadhimisha kumbukizi ya miaka 57 toka taifa hilo lilipojipatia uhuru wake toka kwa wakoloni wa Ubelgiji Julai 1, 1962, wakati huu taifa hilo likiendelea kushuhudia...
Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Francis keshokutwa Jumatano anaanza ziara ya wiki moja, akitembelea nchi za Afrika ambazo zimekumbwa na umaskini, vita na majanga ya asili.
Papa Francis...
Israel mocked for using mannequins to prevent Lebanese retaliation
Fri Aug 30, 2019 09:20AM
Home
Middle East
Palestine
[https://cdn]Photo of a jeep with a mannequin allegedly positioned by...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.