Kutokana umasiki kuzidi, kukosa vyakula, umeme, madawa hospitalini na unyanyasaji wanaofanyiwa na taasisi za kisheria kwa wananchi wake, wananchi nchini Venezuela wameendelea na maandamano makubwa...
Mataifa mawili ya bara Asia, yametoa onyo kali dhidi ya utawala wa Pyongyang, kwamba itaadhibiwa vikali, iwapo itadhubutu tena kufanyia majaribio zana zake za kinuklia.
Mataifa hayo, Korea Kusini...
Wote kwa pamoja wanasema, kile wanachokifanya marekani hakikubaliki, na watajibu marekani Kwa nguvu wakivuka mstari mwekundu tena na Marekani wanajua wao wanauwezo wa kujibu.
Kauli ya pamoja...
Dunia inaendelea kufuatilia joto la ubabe mikwara na sintofahamu na harufu za vita.
Trump ametweet akijibu onyo lililotolewa na kiongozi wa North Korea kuwa "wanajitafutia Matatizo"
Wakorea...
kwamtazamo wangu haya mambo ya kutishiana kati ya marekan na korea ya kaskazini yataitumbukiza dunia katika vita vya tatu kama ni mfuatiliaji vita vya kwanza na vya pili ilikua ktu kidogo tu...
Maafisa wa usalama wa Somalia wamewaokoa mabaharia wanane ambao walikuwa wametekwa nyara na maharamia.
Maharamia hao waliteka nyara meli ya kihindi ya mizigo mwezi uliopita na kuwashika watu wote...
Kununua kitu kwa njia ya online kupitia mitandao ni rahisi sana na ni nafuu mno lakini wengi kati yetu tuna wasi
wasi na woga mkubwa wa kutapeliwa
TUPIA SUALI LINALOKUSUMBUA HAPA KWA...
Raia wa Afrika wanaojaribu kuvuka na kuelekea barani Ulaya, wanauzwa na watekaji wao na kuuzwa katika "soko la utumwa" nchini Libya. Hayo yamesemwa na shirika la kuwahudumia wahamiaji duniani...
Explosion at Army ammunition plant in Missouri kills 1
KANSAS CITY, Mo. — An explosion Tuesday at a sprawling ammunition plant near Kansas City, Missouri, killed one worker and injured four...
Viongozi wa Marekani na Uingereza wamesema kuna fursa ya kuishawishi Urusi kuacha kumuunga mkono kiongozi wa Syria, Bashar al-Assad.
Katika mazungumzo kupitia njia ya simu jana, Donald Trump na...
Aliyekuwa rais wa Afrika Kusini Thabo Mbeki anawataka wabunge wa chama cha ANC kutenda yatakayowafaa raia na sio kile kitakachofaidi chama, wakati wa kujadili mswada wa kutokuwa na imani na rais...
Duh aisee RUSSIA imepeleka Warship Mediterranean ocean kuzikabiri fighting jets za USA zinazorusha makombora sasa hivi Syria kutokea kwenye Destroyers ambazo zipo Pia mediterranean ocean.Hii ni...
Shirika la Kimataifa la Wahamiaji(IOM) limesema wahamiaji wengi nchini Libya huuzwa kama watumwa wa ngono na wafanyakazi majumbani.
- Aidha wahamiaji hao hutoka nje ya Libya katika mataifa ya...
Bw Hakainde Hichilema, ni kiongozi mkuu wa upinzani nchini Zambia
Kiongozi Mkuu wa upinzani nchini Zambia Hakainde Hichilema, alizuia msafara wa Rais wa nchi hiyo Edgar Lungu mwishoni mwa juma...
Wanigeria wazuia ndege ya KLM isiruke kutoka Amsterdam schiphol airport ili raia mmoja wa Nigeria aliyefungwa minyorororo ateremshwe. Mabishano na matakwa ya Wanigeria hao yalizuka baada ya...
Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki nchini Afrika ya Kusini limeandika barua kumtaka Rais Jacob Zuma wa nchi hiyo ajiuzuru kutokana na hali ya kisiasa ya nchi hiyo sasa hivi...
(CNN)ISIS claimed responsibility for bombings that killed 43 at two Coptic churches in Egypt on Palm Sunday -- brazen strikes against a vulnerable minority on one of the most important days on the...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.