Kampuni ya Magari ya Uber, ya Marekani, imekiri kutumia programu ya kisiri ya kompyuta, kuisaidi kutambua na kuwazuia wakaguzi kupata taarifa,inayotoa ushahidi wowote kwamba inavunja sheria...
Deadly floods hit southern Zimbabwe, destroying many homes
TSHOLOTSHO, Zimbabwe (AP) — From kitchen items to livestock and even her house, Assa Mkwananzi says she has "lost it all" to floods...
Moja ya habari iliyomake headline kwenye vyombo vya habari vya kimataifa ni pamoja na hii iliyotokea Hispania ambapo Waziri Mkuu wa nchi hiyo Mariano Rajoy amethibitisha uteuzi wa Edelmira...
Nimeshtuka sana na kutikisa kichwa kwa wamarekani wale waliombeza Obama. Sasa France april kuna uchaguzi na wanamtaka kugombea uraisi nchini humo.
Live BBC Mahakama wanaombwa watoe kibali.
The mineral is an essential component of batteries for smartphones and laptops, making billions for multinationals such as Apple and Samsung, yet many of those working to extract it are earning as...
Zimbabwean police have arrested two journalists in connection with a midweek news report that the President, Robert Mugabe,’ was in a ‘fresh health scare.’
Editor of the privately-owned News Day...
Muungano wa Upinzani nchini Jamhuri ya Kidemokrasi ya Kongo hatimaye umepata kiongozi wake mpya baada ya kifo cha aliyekuwa kiongozi wa Muungano huo, Etienne Tshisekedi wa Mulumba aliyefariki...
Nimekaa na kutafakari upya na kuja kugundua kuwa Donald Trump atakuja kuwa Rais bora Marekani baada ya Ronald Reagan. Donald Trump kitaaluma ni mchumi alichukua degree ya uchumi kutoka Wharton...
The European Parliament has voted to end visa-free travel for Americans within the EU.
It comes after the US failed to agree visa-free travel for citizens of five EU countries – Bulgaria...
Breaking news: Attorney General Jeff Sessions will recuse himself from any probe related to the 2016 presidential campaign.
Attorney General Jeff Sessions will recuse himself from any...
Safari ya ndege kutoka uwanja wa Heathrow hadi San Francisco, ilichelewa kwa saa kadhaa baada ya panya kuonekana ndani ya ndege.
Abiria waliokuwa wakisafiri kwa ndege hiyo ya shirika la...
Wasalaam,
Kuna huyu mzee anaitwa Vitaly Churkin kama mtu anapenda kufuatilia sana UNSC (United Nations Security Council) Sessions unaweza kuwa unamfahamu vizuri.
Amefariki leo dunia ambapo...
Mwanasheria mkuu wa Donald Trump amehutumiwa kuwa alifanya mawasiliano na balozi wa urusi wakati wa kampeni. Hivyo ameombwa kujiweka pembeni ili uchunguzi dhidi yake ufanyike. Je ,hapa kwetu nani...
STRANGE IMAGES APPEAR IN THE SKY IN KITWE
There was drama today in Kitwe at mukuba mall when a strange image that look like a human appeared in the clouds.
According to eye witnesses say the...
DR CONGO: Watu watano akiwemo Mtanzania mmoja wametekwa nyara na wapiganaji wenye silaha za moto walipokuwa katika mgodi wa Banro.
Mmoja wa maafisa wa Mgodi huo amethibitisha kuwa msako mkali...
Uganda imetajwa kuwa nchi yenye raia wanaozungumza lugha ya kingereza kwa ufasaha barani Afrika
Utafiti uliofanywa na Shirika la Lugha duniani World Linguistic Society umesema Uganda inaongoza...
Katika hotuba yake ya juzi na waandishi wa habari nimepata vitu ishirini ambavyo hutavisika kwenye vyombo vya habari.
1. Amezungumzia hili jambo zima la yeye kuhusishwa na urusi ni njama...
Mutumishi wa umma alizikwa na zaidi ya Sh200 milioni za Uganda (Sh5.7 milioni za Kenya) ili akamhonge Mungu asipewe hukumu kali atakapokutana na muumba wake
Bw. Charles Obong mwenye umri wa...
Mwanasheria mkuu nchini Marekani jenerali Jeff Sessions alikutana na balozi wa Urusi wakati wa uchaguzi licha ya kuthibitisha kuwa hakufanya mawasiliano yoyote na Urusi.
Idara ya haki...
Huko Afrika Kusini katika kisa cha kushangaza mama mmoja aliyefahamika kwa jina la Mildred Mashego na binti yake, Patricia Mashego wa miaka 19, walitungwa mimba na mwanamume mmoja na wamejifungua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.